Ulishawahi kula tunda kimasihara?
leo mchana niliingia mgahawa flani mbali kidogo na home ili nipate lunch, baada ya kula nikajikuta nalopoka kwa mhudumu (binti wa makamo 30+) "chakula chako kitamu kama wewe wenyewe " jibu lililotoka hapo likisindikizwa na bonge la sonyo ibaki siri yangu,

sio kwenda tuh pale hata ile njia sipiti tena...
 
Nipo mahali kwa ndugu yangu nilienda kusalimia maeneo ya pwanii sasa kama ujuavyo pwani na vigomaaa noma sanaa tumekaa usiku sebuleni nikasikia kigoma kinapita ila nikaona nikitoka ntaonekana kijana wa ovyoo sana wakati pale kwa aunt naheshimika so nikaacha kipite lakini Mungu mwema kigoma hakikua kinaendaa mbali ni hatua 10 kutoka pale aise baada ya nusu saa kupita nikaona sasa nijidai naenda kununua vochaa nikapiga hatua kadhaa kigoma hiki hapaa yani nafika tu nakutanaaa na pisi ndani ya delaa lakini takoo lilee linatikisika kama hajavaa nguo nikajiosgeza mpaka kumfikia nikajidai nimemgusa kwa bahati mbaya walahi chupi hanaaaa 😀 😀 😀 sikumficha nikamwambia umenitia nyege balaa akajidai hajanisikia akaingia kati kuchezaa nyie zile sio radhi ni laanaa na nusu.... nikawa namuangalia kwa mbali dak 5 mbele macho yakakutana nikamkonyezaa akajiongeza akanifata nilipokuwa nimekaa nikamsogeza kwenye kagiza hivii.. nikamwambia andika namba yako hapa chap nikasepa zilipita siku 2 sikumtafuta then nikaona nimchek kumbe nae anaishi dar sema kule alikuja kwenye sherehe nkaona hapa ndo penyewe. Nimerudi dar nkamcheck aje sehem flani tip top tukaanza kula nyama na bia palee nikawa napitisha mkono kushika mapaja nae habishi hata sema demu anapiga bia balaaa nkamwambia tusogee ndani bhasi maana pale pana lodge eti unataka ukanifanye nini anajichekesha me nkaamka nkajua lazima anifate kweli huyoo anakuja kufika hamna maneno mengi sema tu ile kuvuaa ile shape naona ilikuwa nzuri kwenye Nguo tu😀😀 sema nikaona fresh hata mzuka wa kumuandaa ukaishaa sema alikuwa ashajiandaa mweyewee nilipigaa hasaaaa... nkaweka doggy takoo laini lileeee tukalala kuamkaa nkapiga kimoja nkampa nauli sema kama kawaida tatizo kuliliwa shida na sikuona kama she worth my money...
Sema demu anapiga bia uyu[emoji1787][emoji1787]
 
leo mchana niliingia mgahawa flani mbali kidogo na home ili nipate lunch, baada ya kula nikajikuta nalopoka kwa mhudumu (binti wa makamo 30+) "chakula chako kitamu kama wewe wenyewe " jibu lililotoka hapo likisindikizwa na bonge la sonyo ibaki siri yangu,

sio kwenda tuh pale hata ile njia sipiti tena...
[emoji23] pole
 
leo mchana niliingia mgahawa flani mbali kidogo na home ili nipate lunch, baada ya kula nikajikuta nalopoka kwa mhudumu (binti wa makamo 30+) "chakula chako kitamu kama wewe wenyewe " jibu lililotoka hapo likisindikizwa na bonge la sonyo ibaki siri yangu,

sio kwenda tuh pale hata ile njia sipiti tena...
Nenda tena[emoji1787][emoji1787][emoji1787]hakuna kuacha mbususu
 
Kuna mdada nilikuwaga nammezea mate mda mrefu. Tumezoeana Sana ila namba sikuwa nayo. Maana Mimi nikishamiliki namba simcheleweshi. Kwa hiyo kabla sijachukua namba lazima nipime upepo kama nitakula. Yaani udhaifu wake upo wapi?
Ijumaa jioni iliyopita nikamkuta kanisani wanasubiliana na wanakwaya wenzie, walikuwa na kisafari kwenda kuimba sehemu Fulani kulikuwa na sherehe ya katekista.
Aliponiona kanikimbilia, mara naomba unisaidie elfu 5 ya nauli tumekurupushwa hatujajiandaa. Ili kummakinisha zaidi nikamwambia utapitia ofisini kwangu. Baadae kweli akapitia nkampa na namba akasepa.
Jumamosi akarudi mapema akadai ameugua, nkampa pole pale, nkapotezea.
Jumapl kwenye saa tatu usiku nikampigia. "Vipi mgonjwa unaendeleaje? Nakuja kukusalimu ila sitaki kufika kwako, nataka nikuone wewe tu. Tukutane sehem fulani". Dem akarespond, nkamkuta eneo la tukio. Sikumpa ata salamu, nikamwambia hapa si salama, nifate. Nikaongoza njia akaongoza mpaka kwenye jumba halijaisha. Hatukingia ndani tukaa kwenye velanda ya ile nyumba.
Hapo ndo nikamuliza za homa na kumpa pole nyingi.
Nikaona hapa namaliza mchezo. Nkawa najaribu kushika maeneo muhimu Wala sipati pingamizi. Tatizo alikuwa amevaa njisi kwa ndani, afu ataki nicheze na ikulu.
Nikajisemea hapa Ni kukomaa mpaka kieleweke, Kuna mda nkawa nmekata tamaa. Kumbe anavunga tu alikuwa amechoka. Akaniambia, ungekuwa na salama ningekupa. Akiwa anajua kabisa Sina. Wakati kanuni yangu namba moja Kama naenda kukutana na mwanamke kwa lengo la kumtongoza Cha kwanza nabeba kondom, yaan Bora nikose ****, nikarudi na ndomu zangu.
Nikamwambia Hilo sio tatizo.
Mara nirudi home kwanza nitakukuta hapa.
Nikasema poa ila nyie hamuaminiki, nikampokonya mtandio na alikuwa ameufungia fundo la hela, kiasi sikukijua. We nenda usiporudi mtandio na hela halali yangu. Na utanikuta pale. Akasema poa.
Kaenda kuoga karudi na kanga moko.
Nilimpa show moja. Leo siku ya tatu ananimwagia sifa kedekede kila mara.
 
Mimi nina kimasihara nyingi kidogo ila leo ngoja nitoe hii.
Baada ya kumaliza chuo tu sikusota mtaani nkapata kazi, sasa eneo la kazi linapokea wanafunzi wa field wengi sana.

Miezi kama minne hivi baada ya kuanza kazi walikuja wanafunzi wa field kutoka chuo nilichosomea. Basi kuna bidada mmoja yeye alikuwa busy sana kupiga story na wenzake tu na anapiga kazi sana pia. Sasa siku hiyo nkakuta wapo watatu na wenzie wakiume wawili wanazungumzia mambo ya kutoa au kutokutoa namba.


Nilipofika nkamwambia "toa namba dada, boyfriend anaweza kufa muda wowote" akacheka tu. Baadae tunakaribia kutoka nkamfata nkamwambia vipi sasa hebu andika namba huwezi jua mapenzi huwa yanaanza hata kabla boyfriend hajafa,akacheka then akaandika nkamtext akasave.

Kimasihara sasa, nilimpigia simu kama siku 2 mfululizo tunaongea vizuri tu. Sasa siku ya tatu na nne sikumpigia na hatukuwa tumeonana sababu alikuwa amehama department yetu. Jumamosi kama saa 2 ananpgia analia anauliza kama aniamini ili anieleze mambo yanasomsibu. Nilipomkubalia akasema amepigiwa video call na mshikaji wake akiwa na manzi mwingine so imemuuma. Basi nkamwambia usijali usikae pekeako kama vipi njoo home you deserve better. Haikupita saa 1 huyu hapa.


Nikamweleza kuwa ni mzuri so ikiwezekana usimtafte sababu amefanya hivyo anajua huwezi muacha incase utahitaji wa kumpigia check me anytime. Basi akachangamka na kunizoea nikawasha TV nkaweka movie sasa akawa kama anasinzia nikamvuta kwangu alale miguuni, nywele za kichwani kama nazigusagusa naona binti wa watu miguu haitulii nkaongeza kuzichezea na miguno ikaanza kusikika nkajua huyu tutatongozana baada ya uji mzito kumwagika.
Nilipata utamu kuanzia kwenye kochi mpaka chumbani, baadae akaniuliza kama nna mpenzi nkamwambia ndiyo basi tukawa friend with benefit mpaka anamaliza field yake.
 
Back
Top Bottom