Kaa mbali na huu uzi unaweza kumrudia mzee shetani
 

Nashukuru kwa Ushauri. Wale unaona walikwazwa ila huelewi angeendelea kidogo angeharibu maagano yao walioingia na miungu yao ya kigeni. Mizimu na kila aina ya uchafu, biashara zao za kutegemea giza hivo lazima wawe wakali. Maana NURU IMEINGIA INA MULIKA GIZA Ukiona mtu mkali ujue ndani yake ipo shida. Baba yangu wakati napokea Neema ya Mungu alinambia atahakikisha ananikata panga ama nihame. Mimi sikuitaka Neema ya Mungu niliwatukana watu kama hao waliokuwa wakija kwetu kutuhubir nliona ni wapumbafu na wajinga wamekosa mda. Huku nikitumikia Rc na Mweka hazina kwenye Jumuiya.

Baba alitaka kunikata panga sbb ya kusali. Ndipo nlikumbuka maneno ya Yesu kwamba hakuja kuleta Amani bali uadui. Sasa wamezoea baada ya kusimama kuomba kwa ajir yao. Ila wanawah misa ya kwanza jumapil[emoji16][emoji16].

Mafanikio yoyote ni vita kali kwenye ulimwengu wa Roho mwanadamu ndio uwanja.

Mimi Nipo sehemu sahihi maana hata watu wote wanavosimlia sio takwa la Jukwaa. Sichoki sbb mtu anaweza kuni ignore tu kwan lazima kusoma. Lakini mtu akisoma kale ka kitu ambako sio ka ki Mungu ndani yake kanaripuka. Herode alijitahidi sana kuzuia mapenzi ya Mungu kwa Yesu ikiwemo kuua watoto wote. Hivo mambo ya Mungu ni ukakasi.

HAKUNA SEHEMU NIMEMWAMBIA MTU AACHE KUFANYA MAPENZI.ila nimesisitiza kutubu tu. Sijazuia mtu ndugu yangu sina mamlaka hayo mimi si unaona wana ignore ni jambo zuri tu.

MAWAZO MABAYA HUARIBU TABIA NJEMA. HEKIMA YA MWANADAMU NI UPUMBAFU MBELE ZA MUNGU NA UPUMBAFU WA MUNGU NDIZO HEKIMA ZAKE SASA[emoji3059][emoji3059][emoji3059]
 
Nikiwa reception najaza details zangu, akaja mdada mzuri mrembo kabisa, nikamuacha nae anajaza details nikapanda lift huyo room kwangu.

Mida flani ya usiku, nikasema acha niende cask kupata chochote kitu, natoka room najisogeza kwenye lift ile naingia nakutana na yule mtoto nae anashuka chini, kama kawaida yangu huwa ni bati kama husalimii sikusalimii, binti akawa mstaarabu akaniaalimia nikaitika nikala bati tena.

Nikatoka nikaingia kwenye chuma yangu huyo, nikiwa nimemuacha pale, huyo Cask, nimekaa nimeagiza zangu mbuzi mbavu napenda mafuta ya mbuzi, na ndizi taamu, kipindi nasubiri nikawa napata kafee, kunyanyua kichwa namuona yule mdada nae pale anaingia, sijui alikuwa na harakati zipi. Badae nikajipitisha tuonane, nikamsemesha aah .." upo hapa " akaita ndio nilikuja onana na wenzangun ila wao wamefikia hotelin jirani, nikasema poa fresh. Nikazunguka nikarudi tena nikamuambia karibu , nipo hapo napata chochote kitu badae nirudi kupumzika. Akasema asante

Nimekaa hadi saa nne usiku nikasema, acha nijipitishe tena nikamkuta wanapata vitu vyao vikali , akanikaribisha nikasema asante mie hizo hapana shukrani, ila nakuja kidogo tupige mawili matatu, nikajizungusha badae nikarudi nika join nao, ngoma hadi sita kasoro nikawa nimechoka nikawaaga, akasema subiri kama nusu saa tuondoke wote.

Nikavuta subira, imepita kweli wakawa wazungu, wao walikuwa wanne, nikawaambia na gari yangu, wakasema ooh! haina haja ya Tax nitawapitisha wanapo lala na sie tutaenda wakasema okay.

Wakaingia kwenye chuma , gari imetulia ndani dada mmoja akasema jamani toka nimezaliwa leo ndio napanda hii gari , nikachukua credit kama baharia πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„

Nimewapitisha wale wenzake, tunarudi nikiwa bati, naulizwa najibu nakausha. Tumefika pale reception kachukua card ananisubiri na mie na mie nikachukua. Pale nikasema hizi second kadhaa za kuwa ndani ya lift nizijaribu. Ile kuingia nikamtania sasa unadaje kulala mwenyewe , akacheka nikasema basi nikusindikize akacheka mie nilikuwa flow ya tatu yeye flow ya nne, nikapitiliza πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„

Mwanamke anasema upo serious kabisa, nimefika pale nikashuka nikasema haya niemekufikisha salama au hadi kwako, akasema haya bwana nipeleke kwakua umeanua.. πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„

Fika pale kafungua mlango nikasema haya sister asante uwe na usiku mwema, akasema asante afungi mlango na mie siondoki tunaangalia huku tunacheka, nika test validity kumshika mkono kiutani, ikawa positive πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ nikajivuta ndani kama nyoka, pale pale mlango nikausukuma nikapigia pale pale mlangoni nilimkumbatia nikamgeuza kwa nguma, niliuza mechi maana no ndom haikuwapo.. sijawai tena kukutana na huyo dada na sikuchukuaga namba dar.. kama ni member jf kwa hii story fupi anaweza nitambua so aje PM tukumbushie πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Uko vizuri mkuu,ukajipigia mlangoni,dah[emoji28]..Ngoja na Mimi punde niilete kimasikhara yangu Kwa mara ya Kwanza hapa jf
 
Uko vizuri mkuu,ukajipigia mlangoni,dah[emoji28]..Ngoja na Mimi punde niilete kimasikhara yangu Kwa mara ya Kwanza hapa jf
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ mkuu wale hawaeleweki, unaweza sema uende kitandani akabadirisha mawazo, au ufate ndom ukakuta kabadirika. Touch za pale pale ili kusababisha utelezi, mgeuza kidogo shusha chini, ngoma ikatambaa na wavu
 
Mzee hii really kabisa, me mwenyewe bao la kwanza hata 30 dakika nachukia mpaka mwanamke anasema mwenyewe kojoaaaa kojoaaa kojoaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hii imezidi sukari.

Sent from my SM-M307F using JamiiForums mobile app
 
flow= Floor.

Afu hii ni chai kabisaaaa

Sent from my SM-M307F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…