By the way Alisha wajua walio wake angali wamo tumboni mwa mama zao.Unaweza kabisa kusimama Ndio lakini yupo mke wangu kwa ajir hiyo. Mithal 5:16-18
Sawa mchawiShetani Pisha mbele yangu
By the way Alisha wajua walio wake angali wamo tumboni mwa mama zao. [emoji1][emoji1]Kipofu hawezi kuongoza kipofu wenzie. Yeye Mungu akitaka atakupa asipotaka ni Yeye una hangaika tu. Ni mmoja tu aliye potea wala sio wewe
Ingekuwa Kuna maisha baada ya kifo waliotuletea dini wasingeendelea kuuwa na kuibia maskini, maisha baada ya kifo hayana ushahidi
By the way Alisha wajua walio wake angali wamo tumboni mwa mama zao.
So acha kujikuta wewe mkamilifu ...unaweza ukajikuta unafata na kupritend lkn habari ni anawajua walio wake. So acha kujipendekeza mkuu na kiherehere
By the way Alisha wajua walio wake angali wamo tumboni mwa mama zao. [emoji1][emoji1]
By the way Alisha wajua walio wake angali wamo tumboni mwa mama zao.
Kanisa gani ni mama.....?Yaa aliwajua mkuu Mama ni kanisa(Mwanamke) kwa hiyo wengine wapo kwenye makanisa maana Nyoka aliambiwa atatembea kwa (Tumbo) lakini kuna Tumbo la mwanamke ni wewe sasa kuchakata. Hushangai yanaibuka makanisa mengi. Manake Mungu anawatoa walio wake kwenye matumbo ya mama zao. Ni Elimu ya juu wewe bado kula mbususu kwanza nikuache maana sijaja kubishana. Naujua mlengo wako hivo relux
Hivi kanisani kwenu huwa hamu confess...hizi shuhuda za watu ni nini walifanya sio watafanya. Haya ni mapito ya watu walisha yapita Sasa sijui wewe unatatizo gani na mapito ya watu....? Yaani unabishana na mapito ..mambo ambayo watu walisha toka huko. Kama sio upunguani ni Nini .....?
Mtumishi anasoma story za kimasihara ili akaapply kwa wapendwa...
Kanisa gani ni mama.....?
Kaliwe na Yuda basiSio kosa lako. Ungekuwa mpagani isingekuwa shida. Lakini unaenda kujumuika ili ukifa uzikwe [emoji16][emoji16][emoji12] pole pia kanisa ni Mtu sio Jengo. Hivo hakuna kanisani kwetu bali Nyumbani kwa Baba
Kaliwe na Yuda basi
Walio wa Mungu wanaelewa ..[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] we jamaa boya Sana hivi shetani aliumba lini.....?Walio wa Mungu wanaelewa sipo hapa kwa ajir ya chakula cha Baba na watoto wake kuwapa Nguruwe ni mpaka pale Nguruwe wanapo badilika kuwa kondoo ndo hup ata. Hivo hupati kitu kutoka kwangu
Wee ndugu roho ameniambia unakaribia kufa...ndio maana unabehave hivi ...sio kosa lako ...ni hatua tu ya kuupambania uzima wa milele unao hisi ndio unaenda so sorry for youWalio wa Mungu wanaelewa sipo hapa kwa ajir ya chakula cha Baba na watoto wake kuwapa Nguruwe ni mpaka pale Nguruwe wanapo badilika kuwa kondoo ndo hup ata. Hivo hupati kitu kutoka kwangu
Wee ndugu roho ameniambia unakaribia kufa...ndio maana unabehave hivi ...sio kosa lako ...ni hatua tu ya kuupambania uzima wa milele unao hisi ndio unaenda so sorry for you
Baada ya kimya kirefu Leo nawaletea kimasihara ya moto kabisa wala haijapoa kwa hisani ya mkoa mmoja maarufu kwa barabara za namba .
Last weekend nilitoka na wafanyakazi wenzangu kuosha macho. Kati yao wawili mie wa watu ndio nilikuwa mwanaume pekee. Sasa baada ya chakula tulisogea kwenye bar mkabala na uwanja wa mpira wenye kibali cha TFF kuchezewa mechi za ligi kuu.
Sasa mie na moja ya staff mwenzangu mwenye jishepu lake mjini hapa tukishamwagilia moyo tunakuwaga na vibe fulani la kucheza mziki hasa wa mbele . Na this time Mr. Dj wala hakutuangusha alikuwa na playlist ya manyimbo ya zamani mfano : I know what you want by Busta rhymes ft Mariah Carey n.k
Kumbe wakati tunacheza pale kuna dada alikaa meza ya chini ( tunapaita shimoni) akawa anatucheck kwa juu na alivutiwa sana na uchezaji wangu. Na ofcourse kucheza najua na mziki it's my passion. Wakati tunatoka nje ( palipooza tukaamua kuhama kwenda club kabisa ) alitufuata kwa nyuma(alikuja kuniambia siku nyingine) ila tukapanda gari so hatukuonana . Jumapili akakutana na moja ya staff mwenzangu akamkumbuka so akamsifia pale to cut the story short walipeana namba na jioni akampigia tukutane sehemu kumwagilia moyo then nilliishia kumla.
Achana nae unampa kichwaWee ndugu roho ameniambia unakaribia kufa...ndio maana unabehave hivi ...sio kosa lako ...ni hatua tu ya kuupambania uzima wa milele unao hisi ndio unaenda so sorry for you