Wengine wana sema niende Jukwaa la Dini. Nami nawauliza. MUNGU DINI GANI? ukipata jibu kaa nalo uwe na hakika sijaingia bahati mbaya.
Walishakuja wengi wewe sijui wa Saba, utaondoka Kama wenzako. Fuatilia replies huko juu utakutana na wachungaji wenzako ambao walitwanga maji yakawashinda wakala kona
 
Walishakuja wengi wewe sijui wa Saba, utaondoka Kama wenzako. Fuatilia replies huko juu utakutana na wachungaji wenzako ambao walitwanga maji yakawashinda wakala kona

Mi wala sishindani kaka. Nikimaliza nlichotumwa basi. Hata wao walimaliza wapo waliopokea ndo mana nikasema Mmoja tu. Hushangai wamekuja wakaondoka wengine nami ni mwingine. Ni mmoja tu aliyepotea bwana anamuhitaji akipatikana haina haja. Ni kama Safina la Nuhu tu wengine walimtukana badae walikufa maji. Relux mbona kama una tetemeka kuona ni jina la Yesu mkuu tulia. Usiwe na haraka. Hata mimi nilikuwa kama wewe gizani kwan kuna ubaya gan nikikutangazia ya Nuruni sasa. Sio lazima uje kwenye taa. Ila uwe na hakika hata Mdudu hapo nyumban kwako anakushinda hataki giza ukiwasha bulbu [emoji362] anajongea kwenye taa. Sio kosa lako bali ni vifungo. Yesu yuko hapa kufungua sasa na wiki nzima hii relux
 
Usitutishe, ukimaliza kilichokuleta jisepeshe.
Acheni kujibishana naye.

Just ignore him....atabwabwaja na mwishowe atakwenda zake...

Atamwokoa nani kwa mabezo, majigambo na matusi? Lugha pekee inayoeleweka kwa mwenye dhambi ni upendo tena kwa vitendo. Huyu hata kwa maneno yake tu unaweza kuona kuwa kuna tatizo mahali...

Na hakuna mijitu minafiki na self righteous kama milokole [emoji706][emoji706][emoji706]
 
mkuu hukula mbususu yake?
 

[emoji16][emoji16][emoji16] upole kwan nimekufunga mimi mkuu. Shetan anakemewa sio mwanadamu.
 
Akwende zake, akahubirie familia yake.
 
Akwende zake, akahubirie familia yake.

Haha ina Choma injil mbona hata sijaanza kuhubir mkuu. Twenden tu mmezoea kusikia maneno matamu matamu. Hata Yesu hakufanya huo ujinga ndo mana akaongea nao kwa mafumbo mataifa wasio mjua Mungu. Mmezoea kuambiwa Nendeni na aaamaaaani bichwa linawaza kula kimasihara. Shetani Kafunga kabisa ufahamu kiongoz kashindwa kuona vifungo sbb wewe na Yeye mnafanana. Ipo Neema yake Kristu aliye hai ikashuke katika ukurasa huu watu wakawe huru. Shetan achia taifa la Mungu ndani ya kaka Huyu na dada huyu, Baba na Mama huyu asomae achiiia fahamu zake. Navuja na kung’oa na teketeza kila roho chafu Yeremia 1:10 PINGWAAA IBILISI NA MAWAKALA ZAKO. Bali Amani ya bwana ikawa ndani yao Baba hawa nao ni wako Baba yangu uwatetee dhidi ya Herode na pharao kwa Jina la Yesu.

Roho ya uzinzi na uasherati, ndoto mbaya na mawazo mabaya pingwaaaaaaaaaaaaa na vifungo vyotee na Pasua, na kila Nira nakata zabur 2:3 nakata kwa upanga katika jina Lako Yesu wangu na Mwokozi wangu. Wakawe huru wasiteswe tena na Roho chafu za ukoo wao, hayo mafatilizi ya Babu na baba zao juu ya uasherati na uzinzi na pingaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…