Uji na blueband
 

Attachments

  • Masala-Chai-Featured.jpg
    85.9 KB · Views: 81
Mwenye wimbo wake Sasa,,em imba vizuri basi huo wimbo.Yaani ilikuaje kuaje et
 

Best kula kimasihara so far..!!!
 
Acha uongo ww, mwalim hawezi kumtegemea mtu anaeandika hvyo
Ata “kula” unaandika “kura”
Unajua maana ya kura ww???
Chakula unaandika chakura
Daaah Nakusikitikia kwa hiyo iman yako potofu uliyonayo kwan mapenz na kuandika vzur vinahusiana nn au ingekuwa hvo wasojua kusoma na kuandika wasingepata mademu wa maana
 
Vp ndoa umeshafunga na mtoto wa watu ama bado unasugua watoto wasiosikia maonyo ya wazazi wao ?
 
Naweka nukta ntarejea
 
Ingia kwenye huu uzi wa kimasihara ujione wewe ni mtu wa mikosi na nuksi ila baada ya kuufunga basi ya humu yaache humu humu maana ukitoka nayo basi upo mbioni kuamini kuwa wapo watanzania wanaoweza kufufua wafu.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Acha uongo ww, mwalim hawezi kumtegemea mtu anaeandika hvyo
Ata “kula” unaandika “kura”
Unajua maana ya kura ww???
Chakula unaandika chakura
Oi ni kwamba umemuonea mwamba wivu au ni nin tuseme?,watu wa kanda ya ziwa ndio lafudhi zao zilivyo,asilimia kubwa hawawezi kutofautisha l na r
 
Siku mkinifurahisha nitawapatia kisa changu cha mtwara mtimbwilimbwi huko na ka kijana flan huvi amazing. Ilikuwa mwaka 2017 kama sijakosea.
Daah!! Ktk sehemu ambayo Ipo mtwara jina libaki kichwani mpk Leo Mtimbwilimbwi, ni sehemu ambayo nilitamani kufikia Ila nikaishia njiani kijiji kinaitwa "Kwanyama" miaka 10 imepita.
 
Kama sijakosea huo mkoa X ni Arusha, unataka nitaje na hotel? [emoji28][emoji28][emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…