Kuna she mmoja alikuwa chuoni, yule she alikuwa anasoma BAED , akawa na mchumba wake somewhere, sasa kumchombeza anasema mm Nina mtu wangu, sasa what to do, wee uwe mvumilivu tunakulana kimya kimya, nikasema it's ok, one day mchumba akampigia simu tukiwa bed tunapush ajenda, she alikuwa kwenye speed ile balaa, simu ilipoita akaniomba aipokee, nikasema it's ok, pokea, akapkoea, mchezo ukasimama, mshikaj akauliza mbona unahema hivyo, shida nn?
She akasema anabeba ndo kichwani anaipandisha gorofa ya tatu (chumbani kwake) nadhani Wana UDOM mnajua maji kule juu hayapandi, kwa hiyo inakubid usombe na ndoo taratibu kujaza diaba zako, jamaa akaamini, baada hapo ligi inakendelea