Hivii ukitoa kisa chako hivii kuna shida ganii??...nice presentation hahaa...caniva sativa kwenye moja na mbili[emoji23]
 
Sema hamna raha kama uwe na manzi anamoka! You roll a blunt and do some mouth to mouth puffs! [emoji3]

Jina la hiyo perfume mkali [emoji3], dondosha hata pm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iiii story si imerudiwa hii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Umepiga codes za kibabe mzee baba, ila huyu kama nampata mtu ya Mbeya yule dada kama sikosei, yuko married sema codes imegeuzwa geuzwa [emoji2][emoji2] masihara yasongeshwe
 
Nice one
 
We acha tu mkuu, nakumbuka kuna jamaa yangu aliwahi kuniambia kuwa mwanamke hata akikuona umebeba engine ya gari kichwani ni lazima akufate nyuma.
 

Ukishazeeka. Hayo yote ndo yatakayo wapata wanao. Apandacho mtu atavuna
 
Mkuu tembelea hizi open school utapata kazi tu
 
Hivi umeelewa kichwa cha habari kinasemaje kuhusu huu uzi?,
 
Uandishi wa ovyo kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…