Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Hahaha nafurahi sana kuwasoma Sua almumin wenzangu

Sema wale wadada wa usafi na wale wanaopita wanauza vitu kipindi hicho ndio first year walisababisha room yangu karibia wote wawe wanakojoa usaha
Wote walitumia azuma

Kilichoniokoa mimi mi nilikuwa na mademu mtaani na nilikuwa natumia kinga na ukicheki nimetoka Manzese na ukicheki jamaa jirani wengi wao waliukwaa so nikikumbuka wadau wanakonda mbavu unazihesabu unakuta mtu anakunywa gongo dawa hataki kumeza basi najikuta naogopa . Wale washamba waliumia
Aiseeeeee
 
NILIVYOLILA JIMAMA SALIMA MZANZIBARI MOROGORO.

Back in 2009 nikiwa mwanafunzi wa SUA na nikiwa nimetoka zangu Mazimbu Campus kwa miguu baada ya kumaliza vipindi vya jioni nikapita vichochoro vya Dark City ili niende ghetto nilipopanga mitaa ya Kihonda Relini.

Sijui nilipata ujasiri wa wapi kulisimamisha limama linene, jeupe na jitu zima. Kwanza nikamuuliza kama ameolewa, akasema kwanini namuuliza hivyo. Baada ya kuniambia hakuolewa akanipa ujasiri wa kuongea naye. Nikaanza chombeza na kulisifia na kuliomba likapaone ghetto kwangu. Nilikuwa naogopa sana wake za watu. Hapo simjui Jina wala anapoishi. Akakubali tukaanza ongozana hadi ghetto kwangu kwani kigiza kilianza kuingia.

Ile kufika ghetto nikawasha subwoofer na yeye alifikia na kukaa kitandani kwani ghetto lilikuwa na kitanda tu, meza za kusomea na sehemu ya kupikia ilikuwa nje kwani nyumba tuliyopanga iliyokuwa nyumba ya nje/uani kwa Profesa fulani wa pale SUA na kulikuwa na vibanda vingi ndani ya Uzio wa nyumba yake.

Baada ya kuwasha Subwoofer, nikalilaza, chukua ndomu yangu na jipigia bila kuliandaa huku simjui jina lake. Saa 4 nikamtoa na kumrudisha kule relini. Njiani ndio tukapeana namba na kuulizana majina. Akaniambia anaitwa Salma.

Yule mama alinipenda sana kipindi hiko ndio balehe imechanganya, sijui alinipendea nini. Nilikuwa nampigia simu tu anakuja najipigia. Akaanza funguka alipoanza nizoea kuwa hana mme ila kuna boss mmoja pale Moro ndio mtu wake ila naye ana mke wake. Yeye ndiye aliyemjengea na amemnunulia Hiace zilizokuwa zinapiga tripu za Mjini-Mazimbu. Akaniambia anataka azae nami kwani kwa umri wake wa 40's hakuwahi kuwa na mtoto na amenipenda na jinsi nilivyo(Mimi mmachame). Akanipeleka hadi kwake na nikatambulishwa kwa mama yake aliyekuwa anaishi naye. Nikawa huru, nikawa kama nimeoa kwani alikuwa amekosana na huyo kibopa wake kipindi hiko. Akaniomba tukapime UKIMWI ili niwe namla kavu kavu ili apate mtoto na yupo tayari kunipa chochote ili nimzalishe.

Sijui nilikuwa na Roho gani na nilikuwa na ukatili wa ajabu nisiyethamini wanawake wala hisia zao. Nikakataa na nikaanza lisimanga kuwa "tajiri na mali yake na maskini na mb...lo yake". Nikampotezea na kumdharau japo alijitahidi nibembeleza na kutuma rafiki zangu ambao ni wanachuo tuliokuwa tumepanga nao wanibembeleze ila niliweka msimamo na kumuacha rasmi.

Nilikutesa na kukunyanyasa Salma wangu. Nisamehe kama bado upo hai au mfu ulikuwa ni umri tu unanisumbua.
Nipo moro nipm namba yake
 
Nakumbuka nilialikwa na Shirika Moja lisilo la Kiserikali (NGO), linalo jishughulisha na mambo ya watoto walio ktk mazingira hatarishi, mkoa fulani, kutoa mafunzo! Waliniandalia chumba cha kulala gorofani ktk ofisi zao...
Kuwa mkweli mkuu,
Ulipata usingizi siku hiyo?
 
Ni Jana tuu npo kweny basi natok mby kuchkua chet, Mara nikawa naikagua kagua blog yangu brieflyhow.com
Bas kweny sit nlbahtik kukaa na kadem kamoj kakawaid sikakawa kanazoom screen yang bas nkajiongza nkaend kweny about page Kule Kuna pich yang sikakaion kakaniulz Kwan iyo blog Ni yako nikajib ndyo bi yang katk style Fulani ya kutokujal Mara kakanip hongra kakiwa Kama kananikubal ivi . Bas story zikaanzia mara stor 2 3 nkaingizia utan wa hap n pale ..... Nkagndua Kama kapo kweny bajet halaf gar infik usiku bas mzee njakaalik guest japo nlkuwa nmfika nkalpia chmb na kukdangny kuwa na mm sijfik bado ebwana ee usiku Sasa kiulain kakanip vuwil na asubuh nkapig kimoj kakaondk nkakaongzea na ya kula njian.

Kwa huo muandiko sipati picha ya huyo dada alikua ni wa aina gani
Jifunze kuandika kama mtu mzima mkuu..
 
Mwana kimasihara huyu....
Povu ruksa[emoji2089]
IMG-20220111-WA0002.jpg


Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
 
Mwana kimasihara huyu....
Povu ruksa[emoji2089] View attachment 2223499

Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
Nilisemaga lakini, wakati masela wako wanakusifu unakula pisi nyingi kali kali usisahau kujiandaa kuna siku manesi wodini watakusifia kwa kuweza kumaliza nusu kikombe cha uji mwepesiiii uliojazwa ndimu [emoji39]

Itoshe tu kusema tuchukue tahadhari [emoji119]
 
Dah... Nimedisaaa
Maana nimemkumbuka bek tatu wa Broo kipindi naishi kwake... Yule dada Mungu abariki sanaaa huko aliko...maana tume tom...bana sanaaaaa kila sehem mpaka Njee kwenye kumwagilia mauaaa.Mtoto mzurii hatarii

Sent from my SM-A125F

Dah... Nimedisaaa
Maana nimemkumbuka bek tatu wa Broo kipindi naishi kwake... Yule dada Mungu abariki sanaaa huko aliko...maana tume tom...bana sanaaaaa kila sehem mpaka Njee kwenye kumwagilia mauaaa.Mtoto mzurii hatarii

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Lete kisa hicho
 
Usiku wa kuamkia juzi nilikuwaa safari na nililala Lodge moja Mkoa mojawapo iliyopakana na Bahari. Sasa baada ya mihangaiko ya mchana nikaenda zangu kuangalia match ya Simba vs Kagera nikiwa na staff wenzangu. Baada ya match nikaondoka nikawaacha washkaji wakiendelea na kunywa pombe maana wao ni watu wa pombe na baadhi yao tulifikia lodge moja. Baada ya kufika room na nimeoga tayari huku nafuatilia kilichotokea duniani mara simu ya mezani inaita kupokea naambiwa reception hapa. Muhudumu akauliza samahani una mgeni? Kuna mgeni amekuja hapa anasema aliyekuwa amewasiliana nae hapatikani na yeye pia simu imezima kwahiyo ndio anaulizia. Nikamjibu sina mgeni ila naomba nionane nae (mawazo ya kimasihara [emoji28]). Muhudumu akamleta mpaka room sema alivyofika tu hajaingia ndani demu akakataa akasema siyo yeye. Dah pisi kali haswa mtoto mfupi kiasi mnene kidogo mweupe na kalio kubwa na nywele za rasta ndefu mmh. Nikawaza faster huyu na mchukuaje? Baada ya kugundua mie sio wakarudi wote reception kuendelea kupiga simu kwa wageni wakiume waliokuwa ndani na hatmae wote walikataa maana niliwafuata huko. Basi demu akasema samahani kaka unachaja type C cable? Nikamwambia ninayo akaniambia naomba nikamwambia twende room. Kwa kujivuuuta akakubali. Tulivyofika akachomeka simu akaiwasha baada ya kama dk 5 hivi ilivyofikisha 2%. Akapiga kwa mshikaji wake bado hapatikani akawa kama anapanick. Nikamuuliza huyo jamaa amekwambia amefikia hapa? Akasema ndio nikauliza hujaangalia daftari la wageni akasema sijaona jina sasa sijui kanidanganya? Nikamuuliza kwani huyo jamaa unamtafutia nini ambacho mie sina? Demu akacheka kidogo. Nikaenda kuhakikisha mlango nimeufunga vizuri demu akasimama anataka aondoke. Nikamfuata nikamshika kiuno huku namuangalia akawa ametulia nikajisemea hapa tayari nimekula Kimasihara. Nikamsukuma kuelekea kitandani nikaanza kutafuta weak points hatimae nikagundua ni matiti nilivyo mchezea kama dk 10 dem hoi akadai anaomba aende bafuni. Alivyoenda nikatoka zangu nje nikafunga na mlango ili asitoke nikaenda kuchukua zana (zilikuwepo kwenye gari). Kurudi na yeye ndio anatoka bafuni chezea kidogo nikatunikiwa tunda. Tukapiga story na ndio tukaanza kufahamiana sasa majina na mkasa ulivyoenda mpaka anafika pale. Baada kama ya dk 20 mnara unataka tena nikapiga cha pili hapo ni saa 6 kasoro. Demu akachukua simu akapiga kwa jamaa bado hapatikani. Akaomba aondoke tukapeana namba akaomba nauli ya bodaboda nikampa akasepa.
 
Back
Top Bottom