Aiseeeeee
 
Nipo moro nipm namba yake
 
Nakumbuka nilialikwa na Shirika Moja lisilo la Kiserikali (NGO), linalo jishughulisha na mambo ya watoto walio ktk mazingira hatarishi, mkoa fulani, kutoa mafunzo! Waliniandalia chumba cha kulala gorofani ktk ofisi zao...
Kuwa mkweli mkuu,
Ulipata usingizi siku hiyo?
 

Kwa huo muandiko sipati picha ya huyo dada alikua ni wa aina gani
Jifunze kuandika kama mtu mzima mkuu..
 
Mwana kimasihara huyu....
Povu ruksa[emoji2089] View attachment 2223499

Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
Nilisemaga lakini, wakati masela wako wanakusifu unakula pisi nyingi kali kali usisahau kujiandaa kuna siku manesi wodini watakusifia kwa kuweza kumaliza nusu kikombe cha uji mwepesiiii uliojazwa ndimu [emoji39]

Itoshe tu kusema tuchukue tahadhari [emoji119]
 
Dah... Nimedisaaa
Maana nimemkumbuka bek tatu wa Broo kipindi naishi kwake... Yule dada Mungu abariki sanaaa huko aliko...maana tume tom...bana sanaaaaa kila sehem mpaka Njee kwenye kumwagilia mauaaa.Mtoto mzurii hatarii

Sent from my SM-A125F

Lete kisa hicho
 
Usiku wa kuamkia juzi nilikuwaa safari na nililala Lodge moja Mkoa mojawapo iliyopakana na Bahari. Sasa baada ya mihangaiko ya mchana nikaenda zangu kuangalia match ya Simba vs Kagera nikiwa na staff wenzangu. Baada ya match nikaondoka nikawaacha washkaji wakiendelea na kunywa pombe maana wao ni watu wa pombe na baadhi yao tulifikia lodge moja. Baada ya kufika room na nimeoga tayari huku nafuatilia kilichotokea duniani mara simu ya mezani inaita kupokea naambiwa reception hapa. Muhudumu akauliza samahani una mgeni? Kuna mgeni amekuja hapa anasema aliyekuwa amewasiliana nae hapatikani na yeye pia simu imezima kwahiyo ndio anaulizia. Nikamjibu sina mgeni ila naomba nionane nae (mawazo ya kimasihara [emoji28]). Muhudumu akamleta mpaka room sema alivyofika tu hajaingia ndani demu akakataa akasema siyo yeye. Dah pisi kali haswa mtoto mfupi kiasi mnene kidogo mweupe na kalio kubwa na nywele za rasta ndefu mmh. Nikawaza faster huyu na mchukuaje? Baada ya kugundua mie sio wakarudi wote reception kuendelea kupiga simu kwa wageni wakiume waliokuwa ndani na hatmae wote walikataa maana niliwafuata huko. Basi demu akasema samahani kaka unachaja type C cable? Nikamwambia ninayo akaniambia naomba nikamwambia twende room. Kwa kujivuuuta akakubali. Tulivyofika akachomeka simu akaiwasha baada ya kama dk 5 hivi ilivyofikisha 2%. Akapiga kwa mshikaji wake bado hapatikani akawa kama anapanick. Nikamuuliza huyo jamaa amekwambia amefikia hapa? Akasema ndio nikauliza hujaangalia daftari la wageni akasema sijaona jina sasa sijui kanidanganya? Nikamuuliza kwani huyo jamaa unamtafutia nini ambacho mie sina? Demu akacheka kidogo. Nikaenda kuhakikisha mlango nimeufunga vizuri demu akasimama anataka aondoke. Nikamfuata nikamshika kiuno huku namuangalia akawa ametulia nikajisemea hapa tayari nimekula Kimasihara. Nikamsukuma kuelekea kitandani nikaanza kutafuta weak points hatimae nikagundua ni matiti nilivyo mchezea kama dk 10 dem hoi akadai anaomba aende bafuni. Alivyoenda nikatoka zangu nje nikafunga na mlango ili asitoke nikaenda kuchukua zana (zilikuwepo kwenye gari). Kurudi na yeye ndio anatoka bafuni chezea kidogo nikatunikiwa tunda. Tukapiga story na ndio tukaanza kufahamiana sasa majina na mkasa ulivyoenda mpaka anafika pale. Baada kama ya dk 20 mnara unataka tena nikapiga cha pili hapo ni saa 6 kasoro. Demu akachukua simu akapiga kwa jamaa bado hapatikani. Akaomba aondoke tukapeana namba akaomba nauli ya bodaboda nikampa akasepa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…