Mwezi wa January 2022 hapa ninapoishi jirani kuna mbibi, huyu bibi alikuwa na kijana wake ana vimaisha vyake kidogo, huyu kijana kajenga na jirani yake hapo kamjengea mama yake.
Sasa huyu mwamba alikuwa kaoa na wana watoto wa kwanza yupo form 3 kama sikosei, ila inaonekana bahati mbaya mkewe alikuwa wenge wenge (mcharuko) hivo wakaachana mwaka jana kama April hivi.
Ilipofika mwezi wa nane mwaka jana yule mwamba akarudisha visa ya kuishi kwenye sayari yenye milima, mabonde, maziwa, mbuga, magari na app ya JF yenye nyuzi ya kula tunda kimasihara (namaanisha alifariki dunia).
Baada tu ya huyu kijana wa bibi kuaga dunia, yule mke wake akaibuka kwa kasi kuanzisha fujo, alimtaka hadi bibi kikongwe ahame pale alipo! Iliniuma sana, bibi akaambiwa mchawi, bibi akaambiwa hana chake pale na kwamba mali zote ni za watoto!
Sasa bibi akatoa wosia alioacha marehemu ili kupunguza maneno, ikaonekana nyumba anayoishi ni yake na ina hati kwa jina lake, lakin nyumba nyingine ina fremu ni kweli ya watoto ila kwa shart bibi akae na nyaraka hadi watoto wakija kuwa wakubwa wamemaliza shule ndio awape hati, na aendelee kukusanya hela kwa ajili ya kuwalipia ada.
Kufupisha story ule mzozo na mke mtarakiwa wa kijana wake ukazid sana pale nyumbani, nikamshauri bibi tupate maamuzi ya kimahakama, tukaenda mahakamani kupata mwongozo wao!
Tumefika mahakamani kesi ikasajiliwa masijala na kutakiwa kwenda kumuona hakimu tupangiwe siku ya kesi kusikilizwa.
Hapa ndio masihara ilitia team mbaaaaaa
Ile kuingia kwa hakimu namkuta ni pisi fulani amaizing, nadhan mnaelewa hii tasnia ya mahakama ikiwa na watu wabaya ni wabaya haswaaa na ikiwa na msichana mzuri utamkuta ni mzuri kufuru.
Ile kumuona hakimu ni pisi hatari nikajikuta nimeanza matumizi ya miongozo ya kula kimasihara mara moja bila kupoteza muda.
Cha kwanza nikaanza moja kwa moja kutaniana nae pale mahakamani kama vile tumefahamiana muda mrefu, (mahakama ilikuwa ya chamber sio ya wazi)
Mheshimiwa Nimekuja mwenyewe unihukumu kwa maana nimeona si vema Jamhuri kunitafuta, akatabasamu akaniuliza ni jambo jema una kosa gani umetendea jamhuri,
[emoji3]nikacheka kisha nikampa tu story fupi ya mkasa wa bibi na kwamba nimeamua tu kumsaidia walau kutoa maelezo maana hawezi jielezea vizuri, basi akasema ni jambo zuri ulilofanya sikuhukumu[emoji3]
Akasema baada ya week mbili tufike tena mahala pale kusikilizwa kesi yetu!
Sasa wakati anatoa hilo hitimisho wale wahudumu (karani) wa kuitisha kesi akawa amechukua mafaili kutoka nje kwenda kuitisha kesi zingine waingie ndani kwa hakimu kuendelea na mashtaka yao.
Nikatumia huo muda kumwambia mh. Huwa nasafiri sana, na huyu bibi nilipenda tu nimsaidie kama mama yangu au kama mama yako pia!
Hivyo nisaidie namba endapo utapanga tarehe siku ambayo sijahudhuria mahakamani basi uweze nipa update.
Akajifikiria kidogo, nikakazia huyu ni mama yetu najua ww ni mtoa haki, lete tu hiyo namba itakuwa msaada kwa kesi ya mama yetu, basi akaitaja nikaandika nikambeep kweli ikaita kwenye mkoba nikamwambia save ozone layer kisha
Nikasepaaa, kosa mojawapo ni kumpa namba ya simu mulaji wa kimasihara, kwa maana ilileta mavuno mataaamu sana kula lile tunda amaizing.
[emoji3][emoji3][emoji3]nacheka huku naogopa, hii dar salaam ndogo jamani, sijui mahakimu wa kike wapo wangapi asije kuwa anapitiaga uzi, maana uko viewed na ziaid ya watu milioni 10
Nitaaangalia namna ya kuweka codes tokea kubadilishana namba ya simu hadi on bed, maana hapo ndio pakupafunga funga vizuri