kweli BHANGE mbaya sana[emoji119][emoji119][emoji119][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hayo maswali baki nayo asee buddah.
Lengo uzi usonge mbele kwa mbele
Hapa ni mwendo wa story tu "kimasihara"
 
Ushajiita mlevi dogo na umeweka picha ya nyagi unajiona mjaaanja kumbe hohehae tu unamaliza maini na kukaribisha ukimwi na stor zenu hizi za vijiwe vya kahawa mnajiona wajanjaa
[emoji3][emoji3][emoji3] hohehae tenaa ? ? Sawaa babu Ngoja nikuache tu sababu hunifahamu mkitajirikaga uzeeni mnakuwa na wenge sana

Basi tuachie Uzi wetu sisi maskini na huo ukimwi wetu unaodai acha kutushobokea nenda kwenye Uzi wa hadhi yako ukiwepo humu we ni boya tu vilevile maana upo na sisi kijiweni


Tulikwambia tunataka ushauri nasaha kwani [emoji3]
 
Hizo tarehe unge edit maana wahusika wanaeza pita nakukutana nazo si unajua mambo ya mitandao...
 
Huu uzi umevamiwa sana. Wapuuzi wengine wanaleta mada za magonjwa kwenye uzi wa mapenzi ya tunda za kimasihara.
Watu wa siasa na wanaharakati wameona watu tunafaidi hapa kwenye kutoa experience halisi za maisha.
Wanataka kila wakati tujadili CCM, CHADEMA na ACT wazalendo.
Wametuharibia uzi wetu pendwa.
 
Mzee baba utaishi milele kwani [emoji3][emoji3]


Mzee baba naona unaropoka tu watu hawana hela hivi unatujua lakini au ni I'd zetu ndo zinakuzuzua
Achana na huyo mnafiki. Mwambie akaanzishe uzi wake sio anadandia uzi wa watu.
 
kwa Mara ya kwanza nilipouona huu Uzi niliupuuza kwa kujua ni vijana wanaoanza Balehe na Aina Kama hiyo...........Lakini ninapoona Uzi huu unazidi kupampiwa zaidi nimeona niseme neno japo kidogo

Ngono nyingi zisizotarajiwa eitha kwa upande mmoja au pande zote huleta madhara na sononeko baadae kwa upande mmoja au pande zote........

Kuna Binti mmoja na genge lake la wuza ngono wameanzisha mbinu mpya ya kuwapata Wateja kwa kujifanya wao ni wageni ambao si wazoefu na Mji husika mfano Dar Es salaam sasa wanachofanya ni kuwawinda Mkaka yeyote wanaemuona ni windo Zuri ndipo huelezwa kwa kuombwa Msaada wa kuwa yeye ni Mgeni ametokea mfano Tanga na anakwenda Magomeni kwa Dada yake hivyo amejikuta yupo hapo Tazara na atakueleza amechoka sana kutembea kutoka Ubungo na atakueleza ana simu ambayo ina namba ya Dada yake ingawa simu yake haina salio.....

Ukimuangalia kwa jicho LA Kingono udenda utakutoka...... Hebu niishiae hapa kwa sasa ili nisiwachoshe nitaendelea baadae uone jinsi unavyotegwa.......
 
HAHAHA...wewe masikini tu dogo ...piga kimya huna hela fukara wewe halafu unafanya ngono zembe ...
Inakuuma nini, kwani huna ndugu zako wa kuwasihi, unanzaaje mwanaume mzima kukomaa na IDs fake tena kwa watu usio wajua,

#mkuu kachezee uliko nyea jana, uzi wetu pendwa unaotutolea stress embu achana nao kabisa[emoji51]
 
...ila mabaharia Toto la kibantu PATIGOO linavutia kwelikweli na lile tako lake kama sanchii halafu lilivyona maksudi linajipitisha kwenye Uzi wetu linatingisha hivi linatutakia nini mabaharia eti tulifanyaje ?
Lile kimasihara mkuu
 
Hivi UTI ni moja kati ya STD's???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…