Hii imerudiwa, imo humu visa vya mwanzomwanzo!
 
mzee kumbe ulikuwa mafinga
 
kuna dada huyu alikuwa anatembea maeneo ya ubungo kabla barabara hazijaharibiwa. Bwana ee yule dada akateleza si akaangukia dushe kwa bahati mbaya bila kutegemea sasa hivi analea mtoto ambaye hana baba
Hii mbona imerudiwa jamn
 
Mshamba ww ukikua utajitambua
 
Wasichana, Wanawake, amkeni, sambaza ujumbe huu! Msipende kuombaomba!
 
wale waliopita 842kj mafinga . nakumbuka kuna siku kombania yetu tulienda shambani kwa mwamunyange. Ilitokea afande akatuambia tupumzike kidogo akawa ametoka kama dakika 10 hivi .ile kurudi akakuta kuruti wote tumeuchapa usingizi
Jeshini usingizi ni kitu inatafutwa kama almasi hasa kwa kuruti
 
Hauko serious na ukuruti wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…