kwanini afandeHauko serious na ukuruti wako
Kuwa mwerewa basiwale waliopita 842kj mafinga . nakumbuka kuna siku kombania yetu tulienda shambani kwa mwamunyange. Ilitokea afande akatuambia tupumzike kidogo akawa ametoka kama dakika 10 hivi .ile kurudi akakuta kuruti wote tumeuchapa usingi
hivi wewe afande mshamba husikii malalamiko ya wadau?kwanini afande
mimi kuruta tuu sielewi paka fimbohivi wewe afande mshamba husikii malalamiko ya wadau?
😂😂😂unamaanisha ulikula shoga au?Nilimla demu kwenye verosa yangu khee kumbe shoga pombe ilikata mpka leo verosa yangu ipo garage
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Afande kessy alikua ni zaidi ya bangi yuleKuna afande alikuwa anaitwa Kessy wa F coy Yule aliyejimwagia ndoo ya maji, kuna afande alikuwa anaitwa Chuga alikuwa kule shambani kwa msanga yaani usiporudi na kuni anakukamata pale shuleni,
Kuna kiafande kilikuwa kinaitwa Mlozi cha E coy kilikuwa kina Mambo ya hovyo sana.
Kuna Mzee mmoja alikuwa Ni staff sajenti jicho lake moja kama halioni vizuri hivi alikuwa anatoa doso hatari pale getini.
Haya kuruta fata hiyo haraka amro moja![]()
Enzi hizo JKT....
Kwa tuliobahatika kuhenya JKT enzi hizo,embu tujikumbushe top ten za disco la enzi hizo. Naanza: Kule kwa chinova, kule kule, kule kwa chinoova, tunasonga na kuzimbabwe, masika na toye,toyela toye,toya na kuzimbabwe, mama na babaeee,tunasonga na kuzimbabwe. Jamani ongezeni mistari hapa...www.jamiiforums.com
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nyonye matako.Feedback ya kiLegend sana hii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2189170
Sent from my Nokia X20 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji3][emoji23][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Dunia haikosi vituko khaaah.Nilimla demu kwenye verosa yangu khee kumbe shoga pombe ilikata mpka leo verosa yangu ipo garage
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
😂😂😂mwana kama mwanaFeedback ya kiLegend sana hii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2189170
Sent from my Nokia X20 using JamiiForums mobile app
Nionee huruma basi[emoji23][emoji23][emoji3][emoji23][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Dunia haikosi vituko khaaah.