Bosi uligonga mbunye kwenye Baikoko? Ulikuwa na nyege haswa kuwa makini siku nyingine.
 
Madocta mnawala sana wagongwa

Medical ethics zero
 
Shkamoo ciprofroxcine yaani kwa week moja baada ya kupita na kischana kimoja nikaibuka na uti. Jana kaniambia anaumwa mm kiuno kilikuwa kinavuta hatar uchovu balaa na disconfort nimepiga kidonge ndani ya lisaa kiuno kimepoa kabisa
Pole mkuu sasa hakikisha na huyo mwenzio anapata matibabu.
 
Shkamoo ciprofroxcine yaani kwa week moja baada ya kupita na kischana kimoja nikaibuka na uti. Jana kaniambia anaumwa mm kiuno kilikuwa kinavuta hatar uchovu balaa na disconfort nimepiga kidonge ndani ya lisaa kiuno kimepoa kabisa
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚yani dunia imechafukwa siku hiziπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
[emoji2][emoji2]kimsange
Kwa msanga.

Genda genda shamba moja matata,
Miaka ya 2014 kurudi nyuma hapo 835 KJ kozi zilikuwa sio za kitoto kiasi kwamba hamna hata muda wa kudindisha,

Nashangaa sana kusikia eti watu mlikuwa mnahamu ya mapenzi, sisi ilikuwa ukipata upenyo unachowaza ni kulala tu [emoji3]

Kanole hakuwa na ujinga wa kulea kuruti kizembe hivo
Nimemkumbuka captain mberenje jamaa anakupa mateso ya kisaikolojia mpaka ukikutana nae unampkimbia
 
Mafinga jkt ni 841kj wazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…