Kuna afande alikuwa anaitwa Kessy wa F coy Yule aliyejimwagia ndoo ya maji, kuna afande alikuwa anaitwa Chuga alikuwa kule shambani kwa msanga yaani usiporudi na kuni anakukamata pale shuleni,
Kuna kiafande kilikuwa kinaitwa Mlozi cha E coy kilikuwa kina Mambo ya hovyo sana.
Kuna Mzee mmoja alikuwa Ni staff sajenti jicho lake moja kama halioni vizuri hivi alikuwa anatoa doso hatari pale getini.
Wapiiii afande kayange mwenye mapengooooooo haaahaaaa.
Wapi RSM MATANDA Mzee wa ng'ombe wa mayai.
Wapiiii RSM kikotiiiiiii mzee wa makamanda makamandaaaaaa haaahaaaa
835KJ, mgamboooo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] balaa tupu Mimi ni 2015 834kj. Aisee nikikumbuka siku hiyo huwa nacheka peke yangu. Dah ila huyo afande alikuwa hafai, kwamba anakwambia adui atakuja mbele akwambie niue![emoji3][emoji3][emoji3]
😃😃😃yani unapewa jibu flani hivi hadi unajiona hauna maana
 
Kayange walimleta 822kj mujibu 2018 alkuwa RSM wetu.. japo ana matusi kinoma
 
Kulikuwa na luten mmoja anaroho nguvu hiv,haalafu kuna mmoja alikuwa na Noah mzuri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…