Nipe namba yake kk

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
 
Wanapenda mambo ya kishirikina hao.
 
Chukua rula na tepu jipime mwenyewe ujijue size yako,
huo Ni wastani TU kimahesabu.

Ila wengi TZ wanachezea humo humo mkuu,

ukijiona uko above that avarage Basi nawwe kibongo bongo unanafas ya kutamba [emoji4]
mzee uzi wa heka heka zako umefutwa??[emoji853]
 
Unazungumzia urefu au unene? Neno ukubwa nazani halifiti hapo
 
Umama huu
 
 
Loo! It seems kundi la wanaume wa ASIA wenye UUME Mdogo duniani wanazaliana sana mf.China na India ambao wana population kubwa duniani.
Again Wanaume wa CONGO na Vumbi lao! Naona wanatuwakilisha vema barani Afrika.
 
Oya rudisha timu umalizie story hiyo
 
Tunatumia nguvu nyingi kuficha code ili tusijulikane halafu mnatuhamishia Whatsapp? Mi mtanisamehe maana ni role model kwenye kitongoji nnachoishi
Cjui lengo ni nn maan huku pako poa sana af, MB kdgo tu mamb murua kbsaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…