Corosive
JF-Expert Member
- Oct 16, 2020
- 1,459
- 2,948
Amna sasa mtu analeta kisa hamalizii ndo nn?hajui tuna mambo mengi ya kuwazaNdo shemeji nn?
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Amna sasa mtu analeta kisa hamalizii ndo nn?hajui tuna mambo mengi ya kuwazaNdo shemeji nn?
Kabisaa na kumsaliti mwanaume nnaempendaIli usiliwe kimasihara sio ?
Hujui siku wala saaMungu ninisuru aseehh
Mungu anilinde sana!Hujui siku wala saa
Kumbe macho yangu yapo vizuri, asante kwa complimateHiyo Ni kweli kabisa,wanajua jinsi gani ya kujiongeza thamani....mkwanja😄😄😄
Una macho makali sanaKumbe macho yangu yapo vizuri, asante kwa complimate
Mkiwa mbali nao, hakikisha huwatii Nyegere, sasa ukimpigia simu sijui mfanye sex kwa simu ataliwa huko, maana wamtia hamu na zamsumbua tu. Labda awe nyumbani wewe uwe safari, na hakuna mkate mgumu mbele ya chai.Hapa baharia ulizengua aisee ungempisha aongeee nae
AminMungu anilinde sana!
Duh, anyway we live to die 😂🤣Mimi nimeoa mzazi kabisa kumbe alipigwa mimba, akazaa, akanyonyesha, mtoto akafariki
kusaliti bongooooo!!Kabisaa na kumsaliti mwanaume nnaempenda
Uzuri hawakua na umeme[emoji1787][emoji1787]Pandeni Daladala
Aunty Latty, mtoto wa chuo fulani kule chuga
Miaka kadhaa nyuma, nlihamia eneo ambalo ni nje kidogo ya mji. Wengi wa wanaoishi huko wana nyumba zao, jambo ambalo kwangu halikua hivyo, nlikua nna kibiriti cha kurahisisha safari zangu tu.
Moja ya masiku, nkaacha kibiriti nyumbani nkaingia mjini kwa daladala. Wakati narudi nyumbani jioni usafiri ulikua wa shida hivi, gari za kugombania.
Nkapata siti na mmama mmoja wa makamo. Alikua akilalamika msichana alosimama pembeni yake kavaa nguo fupi na nywele zake zamkera. Jicho likapata ona vipe vipaja, mate yakaanza toka. Ili kumsaidia yule mama tukabadilishana, akakaa dirishani nkakaa jirani na binti, nkampokea mkoba.
Vituo kadhaa mbele yule mama akashuka, nikamuuliza binti ashuka wapi nae wakati kakaa. Akawa anahangaika kukumbuka kituo na simu yake imezima, alikua ni mgeni na katokea chuganian. Nkafanya Uislam wa kumpa simu ndogo aweke line apigie mwenyeji.
Tukashuka wote, nkafika kwa mwenyeji wake, uzuri hawakua na umeme na alihitaji kuchaji simu. Nkamuomba twende tukachaji ntamrejesha ikijaa. Tulipofika home nkamuomba aoge, nkampa tshirt na kumwambia asubiri ijae jae. Ilijaa simu nae akajaa ukuni.
Aliporudi kwake akawa anasumbua anataka aje daily, nkaona isiwe kesi akala block. Miezi kadhaa baadaye nkakutana nae chuga nlipoenda kikazi, nkamla cha kuombea msamaha, nikaendelea mla kwa kiasi [emoji23]
Tena sio poaaa wanagongaa haswaaaNgoja wamsungue, kituo cha kwanza gest wana mkatia utepe halafu ndo anaendele na safari, mabaharia watu wabaya
Tupe IdAtakayemla aje na uthibitisho PM nimpe hela ya kinywaji maana nataka kuachana nae
Hivyo nataka kumuacha kihalali
[emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jinga sana!
UkomeeeeeMi ntakuja na Kimasikhara yangu baada ya kuumla Mtendaji wa kata na mwisho akanipa Kaswende...
Acha nizunguke nalo ma hospitaly kula masindano kila week na kuumwa kisengeree dah.
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Hah... Waambiee maana si kwa kujilamba kulee[emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jinga sana!