Umemuoa
 
After time akapata bwana akaolew ila akawa anakuja na mimba yake hivyo,nkawa namkamua mimaji ndio inazidi kuwa mingi
Nkawa nawaza mtoto asije akakosa ile liquid ya kuogelea bure
Daaaah wanawake ni was*nge aisee

Kwaio Bado ana mimba na ni mke wa jamaa lakini Bado anapeleka mbususu Kwa jamaa mwingine, how Pathetic 😔

Hata mnishikie panga siji kuoa ng'oo
 
Nusu kazi iishe kisa huyo demu...nlivyoonana nae nkamwambia aache mawenge....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna mwalimu alifika mtaan kwetu alimtembelea rafk yake walisoma wote chuo, cha ajabu akalowea kwa binti aliyeishia la 4m 3 (aliacha shule) akamuoa na kuhamia songea mazima. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aaaaaah kumamamake wallaaaaahi, hata uniloge vipi siwez kuoa mwanaume mwenzangu

NEVER EVER FOREVER, HAIPOGO KABISA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] achana hiyo mada hapa sio sehemu yake, ila jua na amini hivyo.

Kule sio kwa mchezo mchezo ooooh, we haya lol [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
aisee
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee sema tyuuh ivo ivo, wenzio wengine wameoa gays wa kingoni, kule sio kwa mchezo lol

[emoji15][emoji15][emoji15] gays.
Kumbe Tanga kunasifiwa kwa nini sasa!?
 

Kuna nini hasa kwa Wangoni? Ngoja tuwatafute
 
ile ya kwako chai, masihara gani story ndefuuu nilisoma moja nikaishia kati, naona juzi umeeka kipande cha pili.

Katunge kitabu, au ww mwalimu?? Nani apoteze muda kusoma maneno meeengi, jifunze kufupisha habarii au haujasoma kufupisha habr huko secondary??

Pathetic, na story yako ni chai kweli, polee sanaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…