Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Kwanza nitangulize samahani kwa mabaharia wote wa kula kimasihara maana nimekosea sana🙌🏽
STORI ILIKUWA HIVI;
Jana nimepanda zangu mjini hapa dodoma mjini akatokea mdada mmoja yani ana bonge la tako!!... yani ni wale ambao hata akiwa amekupa kifua unaona kabisa nyuma palivyotuna.... yani hizo hips sio za nchi hii!!... Nakamfata kwa confidence maan hiyo ndo silaa ya kum-win dem akupe no....nikamuomba no akasema nitajie zako nikamwambia nipe simu yako niandike,,,...kweli akanipa nikaandika na akanitext instant kabla hata sijatoka eneo hilo!!!.... Nikamuuliza mda gan utakuw free tuchati maan nilimkuta yuko busy,,,....ila akachuna hakunijibu!!..Leo asubuh nikamcheki tukachat nikamtumia ile text ya bwana CARLOS kweli akajibu!... Nlimwambia yani nna ham ya kukuona hapa nakuwaza tu wewe,,,, akajibu pole kwa kuniwaza..... nkamwambia njoo basi kwangu upajua akasema hawez!...Nikambembeleza wee akasema anatoka job saa 4 usiku so ataangalia,,,, Mida ya saa 1:30 hivi usiku Niko zangu napiga misosi tena hata nilikuwa nishamsahau kabisa maana mimi kwa siku nachukua hata no 5 za mademu😂😂Akanipigia kwamba leo amewah kutoka kwahyo nimuelekeze ashuke wapi daah sikuamini!!! Mtoto kaja kapiga top nyeupe na trouser nyeupe yani hips zinamwagika nkasema leo najilia mali safi!!...Hao tukaanza safari ya kwenda geto,,, tumefika getini mtoto anasema nimeshapaona siingii ndani daah sikuamini aisee!... Kibaya zaid ninapokaa nje ya geti kuna frame kama 4 hivi na watu wapo kwahyo nkashindwa hata kumbembeleza isije kuwa aibu kwangu! Aisee sijui kwann badilisha mawazo ghafla! Yani ikabidi nimsindikize nikawa nabaki nyuma niangalie lile tako na zile hips! Samahanini wakuu nimewaangusha!!
Alijua kuwa akiingia ndani atabakwa tuu, hvyo akaaona usitest kina cha mdomo wa mamba
 
Kwenye kutafuta vitu flaniflani, Juzi kati mida ya jioni nimeingia ofisi ya mtu, muhudumu ni ke,(msichana mrembo) na hali ya hewa ilikua ishaanza kubadilika, mara paaap!!! bonge la mvua ya upepo.

Akafunga mlango wote wa ofisi ili maji yasipite, na umeme ukakata. Ndani tuko wawili, mvua inaendelea kunyesha na kigiza kwa umbaliii..., afu tumesogeleana karibu.

Nikaisubiria kimasihara weeeee, mpaka mvua imekata kimasihara haitokei, nikasepa zangu.

Hahahaha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwenda huko hanitishi mtu na mimi nimeaga [emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] labda ukutane na kidampa Malaya tyuuh, ila wa size ya kat na akijua una mpunga jua umeisha. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] labda ukutane na kidampa Malaya tyuuh, ila wa size ya kat na akijua una mpunga jua umeisha. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwahyo anaroga umuoe kabisa ?


Dadekii [emoji1787][emoji1787] na hivi tunapenda ubachela . sema ukiwa bachelor unabidi uwe umechanja, umeoga nyumbani vzr


Kuna rfk zangu kadhaa wametekwa tabora ,na singida
Hawajarudi kwao kabisa na hakuna mwenye mawasiliano nao
 
Kwahyo anaroga umuoe kabisa ?


Dadekii [emoji1787][emoji1787] na hivi tunapenda ubachela . sema ukiwa bachelor unabidi uwe umechanja, umeoga nyumbani vzr


Kuna rfk zangu kadhaa wametekwa tabora ,na singida
Hawajarudi kwao kabisa na hakuna mwenye mawasiliano nao
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kna mfanya kazi wa bank ya NMB hapo town, alikuja kwa mambo yake, alichokutan nacho sasa kuoa bila kupendaa, na kuhamia songea mazima, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nenda taratibu baba, wangoni hatuna masikhara sisi ooooh, we haya. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Zile picha nadhan zilimvutia maan me kwa kweli handsome yani toka primary huko naambiwa hivyo hadi na aunt zangu!!!
Nakubali katibu mwenezi 😆

Mwenyew mbona naambiwaga sana na cousins wangu wa kike, hata wadada ninaokutana nao mitaani wananiambiaga sana, ila mm naona kama wananipiga kamba, maana nikijiangalia kweny kioo najiona kama nungunungu kabisa

Or maybe insecurities zinanisumbua😆
 
Alaf Kuna mtindo umeingia humu kwamba Kila mtu akieka masihara yake aliyokutana nayo, watu wanasema ni chai,Kila masihara mtu akieka watu wanaropoka tuu 'hio ni chai'.... mm nadhani ni mtu mwenye matatizo ya akili, I will repeat again nadhani ni mtu mwenye matatizo ya akili ambaye anaweza kupoteza muda wake kuandika uongo
 
Alaf Kuna mtindo umeingia humu kwamba Kila mtu akieka masihara yake aliyokutana nayo, watu wanasema ni chai,Kila masihara mtu akieka watu wanaropoka tuu 'hio ni chai'.... mm nadhani ni mtu mwenye matatizo ya akili, I will repeat again nadhani ni mtu mwenye matatizo ya akili ambaye anaweza kupoteza muda wake kuandika uongo
shusha essay mkuu achana na hao umbwa
 
Kwanza nitangulize samahani kwa mabaharia wote wa kula kimasihara maana nimekosea sana[emoji1430]
STORI ILIKUWA HIVI;
Jana nimepanda zangu mjini hapa dodoma mjini akatokea mdada mmoja yani ana bonge la tako!!... yani ni wale ambao hata akiwa amekupa kifua unaona kabisa nyuma palivyotuna.... yani hizo hips sio za nchi hii!!... Nakamfata kwa confidence maan hiyo ndo silaa ya kum-win dem akupe no....nikamuomba no akasema nitajie zako nikamwambia nipe simu yako niandike,,,...kweli akanipa nikaandika na akanitext instant kabla hata sijatoka eneo hilo!!!.... Nikamuuliza mda gan utakuw free tuchati maan nilimkuta yuko busy,,,....ila akachuna hakunijibu!!..Leo asubuh nikamcheki tukachat nikamtumia ile text ya bwana CARLOS kweli akajibu!... Nlimwambia yani nna ham ya kukuona hapa nakuwaza tu wewe,,,, akajibu pole kwa kuniwaza..... nkamwambia njoo basi kwangu upajua akasema hawez!...Nikambembeleza wee akasema anatoka job saa 4 usiku so ataangalia,,,, Mida ya saa 1:30 hivi usiku Niko zangu napiga misosi tena hata nilikuwa nishamsahau kabisa maana mimi kwa siku nachukua hata no 5 za mademu[emoji23][emoji23]Akanipigia kwamba leo amewah kutoka kwahyo nimuelekeze ashuke wapi daah sikuamini!!! Mtoto kaja kapiga top nyeupe na trouser nyeupe yani hips zinamwagika nkasema leo najilia mali safi!!...Hao tukaanza safari ya kwenda geto,,, tumefika getini mtoto anasema nimeshapaona siingii ndani daah sikuamini aisee!... Kibaya zaid ninapokaa nje ya geti kuna frame kama 4 hivi na watu wapo kwahyo nkashindwa hata kumbembeleza isije kuwa aibu kwangu! Aisee sijui kwann badilisha mawazo ghafla! Yani ikabidi nimsindikize nikawa nabaki nyuma niangalie lile tako na zile hips! Samahanini wakuu nimewaangusha!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Alaf Kuna mtindo umeingia humu kwamba Kila mtu akieka masihara yake aliyokutana nayo, watu wanasema ni chai,Kila masihara mtu akieka watu wanaropoka tuu 'hio ni chai'.... mm nadhani ni mtu mwenye matatizo ya akili, I will repeat again nadhani ni mtu mwenye matatizo ya akili ambaye anaweza kupoteza muda wake kuandika uongo
Issue sio mtindo kaka,issue n story yako imekaa kisaundi saundi, yaani mtu una nyama kwenye fridge badala uipashe uile eti unaamka saa 8 ukatafute chakula,broo tuheshimiane aisee

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom