Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Uzi umepoa sana, ila acha na mm niwape kisa japo sio kimasihara mno[emoji2]

Mwezi wa pili mwaka huu nilienda kwenye send-off ya dada yangu mkoani. Kwa kuwa ratiba yangu ya kazi ilikuwa ngumu nilichelewa kufika nikawa nimefika siku ya tukio mishale ya saa 5. Ile kufika karibu na nyumbani kuna mdada alikuja kunipokea na alionesha kunifahamu japo mimi sikuwa
Umemuoa
 
After time akapata bwana akaolew ila akawa anakuja na mimba yake hivyo,nkawa namkamua mimaji ndio inazidi kuwa mingi
Nkawa nawaza mtoto asije akakosa ile liquid ya kuogelea bure
Daaaah wanawake ni was*nge aisee

Kwaio Bado ana mimba na ni mke wa jamaa lakini Bado anapeleka mbususu Kwa jamaa mwingine, how Pathetic 😔

Hata mnishikie panga siji kuoa ng'oo
 
Nusu kazi iishe kisa huyo demu...nlivyoonana nae nkamwambia aache mawenge....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna mwalimu alifika mtaan kwetu alimtembelea rafk yake walisoma wote chuo, cha ajabu akalowea kwa binti aliyeishia la 4m 3 (aliacha shule) akamuoa na kuhamia songea mazima. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aaaaaah kumamamake wallaaaaahi, hata uniloge vipi siwez kuoa mwanaume mwenzangu

NEVER EVER FOREVER, HAIPOGO KABISA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] achana hiyo mada hapa sio sehemu yake, ila jua na amini hivyo.

Kule sio kwa mchezo mchezo ooooh, we haya lol [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna mwalimu alifika mtaan kwetu alimtembelea rafk yake walisoma wote chuo, cha ajabu akalowea kwa binti aliyeishia la 4m 3 (aliacha shule) akamuoa na kuhamia songea mazima. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
aisee
 
Kuna nini hasa kwa Wangoni? Ngoja tuwatafute
 
Alaf Kuna mtindo umeingia humu kwamba Kila mtu akieka masihara yake aliyokutana nayo, watu wanasema ni chai,Kila masihara mtu akieka watu wanaropoka tuu 'hio ni chai'.... mm nadhani ni mtu mwenye matatizo ya akili, I will repeat again nadhani ni mtu mwenye matatizo ya akili ambaye anaweza kupoteza muda wake kuandika uongo
ile ya kwako chai, masihara gani story ndefuuu nilisoma moja nikaishia kati, naona juzi umeeka kipande cha pili.

Katunge kitabu, au ww mwalimu?? Nani apoteze muda kusoma maneno meeengi, jifunze kufupisha habarii au haujasoma kufupisha habr huko secondary??

Pathetic, na story yako ni chai kweli, polee sanaa.
 
Back
Top Bottom