Alijua kuwa akiingia ndani atabakwa tuu, hvyo akaaona usitest kina cha mdomo wa mamba
 

Hahahaha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwenda huko hanitishi mtu na mimi nimeaga [emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] labda ukutane na kidampa Malaya tyuuh, ila wa size ya kat na akijua una mpunga jua umeisha. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] labda ukutane na kidampa Malaya tyuuh, ila wa size ya kat na akijua una mpunga jua umeisha. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwahyo anaroga umuoe kabisa ?


Dadekii [emoji1787][emoji1787] na hivi tunapenda ubachela . sema ukiwa bachelor unabidi uwe umechanja, umeoga nyumbani vzr


Kuna rfk zangu kadhaa wametekwa tabora ,na singida
Hawajarudi kwao kabisa na hakuna mwenye mawasiliano nao
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kna mfanya kazi wa bank ya NMB hapo town, alikuja kwa mambo yake, alichokutan nacho sasa kuoa bila kupendaa, na kuhamia songea mazima, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nenda taratibu baba, wangoni hatuna masikhara sisi ooooh, we haya. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Zile picha nadhan zilimvutia maan me kwa kweli handsome yani toka primary huko naambiwa hivyo hadi na aunt zangu!!!
Nakubali katibu mwenezi 😆

Mwenyew mbona naambiwaga sana na cousins wangu wa kike, hata wadada ninaokutana nao mitaani wananiambiaga sana, ila mm naona kama wananipiga kamba, maana nikijiangalia kweny kioo najiona kama nungunungu kabisa

Or maybe insecurities zinanisumbua😆
 
Alaf Kuna mtindo umeingia humu kwamba Kila mtu akieka masihara yake aliyokutana nayo, watu wanasema ni chai,Kila masihara mtu akieka watu wanaropoka tuu 'hio ni chai'.... mm nadhani ni mtu mwenye matatizo ya akili, I will repeat again nadhani ni mtu mwenye matatizo ya akili ambaye anaweza kupoteza muda wake kuandika uongo
 
shusha essay mkuu achana na hao umbwa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Issue sio mtindo kaka,issue n story yako imekaa kisaundi saundi, yaani mtu una nyama kwenye fridge badala uipashe uile eti unaamka saa 8 ukatafute chakula,broo tuheshimiane aisee

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…