MrGeneous
JF-Expert Member
- Oct 3, 2020
- 561
- 285
Samahani mkuu naomba kuuliza, walimu waliopo shule za serikali, wafanyakazi wa manispaa n.k. ni kundi gani?
Ni wafanyakazi wa serikali au sekta binafsi?
Achilia mbali polisi na wanajeshi tunaoishi nao mtaani wakiwa wamepanga chumba kimoja tena cha elf 30
ACHA DHARAU ZISIZOKUA NA MAANA