Sio huo tu kuna nyingine zimeondoshwa kabisaa
 
Daaah mshana et nawe kimasihara na ww rikiboy spendi kuona unakoment humu ww ni super star saa hivi kupitia kula kimasihara sema ni maskini tu hulipwi
 
Kaka Elon Musk na wewe akili zenu zinalingana kabisa tofauti ni namna ulivyo amua kuitumia tu.
 
dah tangu 2014 nahitajika sana kutoa ushuhuda jamani

Iko hv kuna usiku mida ya saa tano hv nipo na mshkaji wangu tunatoka misele si unajua tena
mara paap kituoni anashuka mtoto wa mwenye nyumba
mi sina mazoea nae ana mazoea na huyo rafiki yangu
Ulivyo Anza tu kusema ukamgomea shuka lako ndio nilipo anzia kupata wasiwasi na wewe ....kiufupi wewe sio mzima
 
Mods waliofuta mwanzo walikuwa na chuki binafsi tu .

Angalia walichokiweka utopolo mtupu
 
Tuma ID babuu
Hata na mimi...[emoji23] nitokolee kimba

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Mods waliofuta mwanzo walikuwa na chuki binafsi tu .

Angalia walichokiweka utopolo mtupu
Naona hata saizi uchanguaji umedorora sana kwa wasomaji wapya wa mada, Yani hii tabia ya kuondoa kitu flani kilichosababisha ukubwa wa kitu flani na kuweka vya zamani ndio vitangulie, haijakaa sawa kabisa,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…