Kikapuu
JF-Expert Member
- Sep 14, 2021
- 1,202
- 1,754
hadi kutupostia hujue jamaa anaona amewin kumbe kopoUnamweleza mtu wazi ajuwe unataka nini akikubali sawa akikataa basi
hadi kutupostia hujue jamaa anaona amewin kumbe kopoUnamweleza mtu wazi ajuwe unataka nini akikubali sawa akikataa basi
Mwambie nataka nikutafune kama muwa 😅 akicheka tu imeisha hio!
au hivi njoo nikupe mkia wa kondooMwambie nataka nikutafune kama muwa 😅 akicheka tu imeisha hio!
Either TATEPA au UTOTODaaah Kuna sehemu moja naendaga kula chakula nikiwa siku za kazi ...
basi Kuna muhudumu mmoja huyo mtoto mweupe kang'aa kweli figure anayo mpk unawaza huyu amekoswa nn mpk anafanya kazi kama hizi jamani....
basi kila nilioomba namba ya simu mtoto anachomoa na pale pale Kuna mizee nayo huwa inakomaa kupiga sound kila siku hata mbele yangu naona inakula kibuti...mtoto alikuwa mmbisha na mgumu kinoma haingiliki.........
basi to cut the story short Kuna siku sijui nilitumia njia ya kimafia kupata namba yake nilonunua vocha nikaomba aweke kwake anininulie salio Mimi nadaiwa kwangu mtoto akazama kingi akafanya kama maelekezo yalivyooo.
basi si namba nikaidaka mjuba chatisha Mara wewe nani mie sikujui jitambulisha baadae akanielewa dogo kiroho safi...
Sasa suala ulimcheki anakuliza bati hajibu Wala nn. nikamsoma kwanza nikajua anpoishi na kumbe anaishi mwenyewe.....
basi weekend moja nikaenda bara piga mitungi kwa sana KUJITOA ufahamu na kutafuta gia ya kumuingia kufika saa 6 usiku nikampigia simu na kumuambia mie Fulani toka nnje huku nalia kwa kwikwi kilio Cha kinafiki.....
basi kweli akatoka kujua kulikoni kufika pale nnje kwaake mie nalia nalia tu yaani. nalia mpk akanionea huruma akataka kujua NJ shida ....
basi akakaa pembeni yangu Hapo nimenunua sumu ya panya na Panadol za tsh 2000.
nikamwambia nimekuita kukuachia usia w ahii Barua mie najiua utawapelekea wazazi wangu nilitaka mtu wa kumkabidhibnaenda kujiuliza huko mbele huku nalia na kuondoka ...
basi si akanifuata usendw kujiua huku anaikumbatia ananizuia akanisihi Sana mie namuambia acha nikafe kwnai shida nn simjibu kitu ....(laiti angejua nilikuwa natafuat sympathy yake tu na like ilikuwa the comedy show with fake tears . )
basi kanisihi Sana basi ingia kwangu ulale usiendw kujiua ( nikasema moyoni hapa ndioo nilitaka tufike)
nikavunga staki huku naondoka ananizuia na machozi yakinitiririka.
hatimae kishingo upande nikavunga nimeikubaki kulala kwake.
Inaendeleee.......wadau
Acha kututisha mzee[emoji23][emoji23][emoji23]Nendeni mkagawane vimelea vya Hechi Ai Vii
Huu uzi umepoteza maana kabisa....hiyo kimasikhara iko wapi sasa....Mimi nashauri waufutilie mbali uzi huu...Mimi nasubiri nisome 'kimasikhara' lakini watu wanaleta mambo tofauti kabisa..dah...Guys leo nimegonganisha madem.
Kuna dem nishaleta uzi wake humu hata sijui upowapi miaka kama 3 nyuma alikuwa dem wangualivomaliza chuo tukaachana maana aliondoka mkoa nnaofanyia kazi. Ss nikaswap na dem mwingine naye dent tukazinguana nikatafta dem mwingine ambaye nipo naye kwa ss japo nina mschana mwingine tena na hawa wote 2 ni wapenzi wangu permanent na hawajuani. Ss huyu mwingine wa zamani jana kanipigia anakuja mkoa nlipo na hana pa kufikia nikamwambia nikutaftia akasema poa. Kama mtu mzima naelewa nn natakiwa kufanya hawa wawili wote nimewapanga kuwala leo, ila nitachagua mmoja maana mwingine nlimla weekend ilopita. Ss ndo napanga nifyatue leo asubuhi hadi saa kumi hivi sababu huyu mwingine anakuja saa mbili usiku nitalala naye hadi asubuhi na kesho nasafiri kikazi so nitasafiri naye
muone Carlos akusaidie unaenda unazunguka sana mbuyu hahah
Mtaaachana tu
Nasemaaaaa mtaaachana tu
Hakuna cha kusema hapo ni kuthibitisha tu xyz123 imethibitishwa utaona kama ataendelea kuguna guna eti mmmh mmhhKwahio asemeje hapo mweka hazina wetu wa JF Kikoba!
Mkuu nikutumie bei gani, na mie nikukule kimasihara.Hakuna cha kusema hapo ni kuthibitisha tu xyz123 imethibitishwa utaona kama ataendelea kuguna guna eti mmmh mmhh
Bebito[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dadeq
Eeh anatakiwa kunyoosha tu mstariIlitakiwa amwambie kwa hio unakuja kupigwa miti au la?