kmmmk daaaah
 
lakini mtandao pendwa ulikula???
 
Masista wengi wanajua kutupa cross wadogo zao hadi raha yaan,,,,nna sista angu ameolewa huko mbeya kila akija ndugu wa mume size yangu lzma aoneshe mazingira mazuri ya kutaka nipige.
 
Masista wengi wanajua kutupa cross wadogo zao hadi raha yaan,,,,nna sista angu ameolewa huko mbeya kila akija ndugu wa mume size yangu lzma aoneshe mazingira mazuri ya kutaka nipige.
Masister na mashemej wana nafas yao pepon kuna shem wangu mmoja alizaa na bro wangu ila hawakuoana kuna kipindi alikuwa anaish Tabora nami km zali nkahamishiwa Tabora kwa kaz km ya miaka miwili aisee huyu shemeji alinilengeshea mashost zake km wanne hivi wote nkabandua. Ilikuwa nkimpa offer ya kumtoa out au kumpelela mnadan kula nyama choma bas lazima aje na rafiki yake then baada ya muda ananitext BABA WATOTO HUYU VIPI??? nkimpa go ahead tu imeisha nakula mzigo
 
Vp nae hukumla kweli,,maana wanaume sisi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Naona wakulungwa mmefanikiwa kumuondoa kwenye mjadala huyo dada alietaka kuleta nyodo kwenye kijiwe cha mabaharia, katupwa nje kwa speed ya 5G, naona alikuwa anaumia kuona anakaa miez 6 hatongozwi halafu akiingia huku anakuta carlos anabandua wenzie kama hana akili mzuri! Akajaa upepo.

Kapigwa ukweli Hadi kakimbikia kukana ID Yake *****, mara ooh nina ID nyingi, mara ooh msichukulie vitu vya humu Serious....hahahahaaa utajua hujui kama mtu kapigwa sindano ya mundukuni *****

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vp nae hukumla kweli,,maana wanaume sisi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapana aisee mkuu sikuthubutu na tunaheshimiana sanaaa maana hata huyu binti yake aliezaa na bro huwa nampiga kampan ya mahitaji ya shule n.k so shemej ananiheshimu sanaa na kunikubali nadhan ndomaana huwa ananipa hizi cross dongo kama shukran
 
hatari sn csta ukienda nae sawa utapigiwa crossi hadi ukome mwenyew
Kuna Dada yangu fulani alikuwa kipindi yupo Chuo alikuwa anakuja home na wenzake pisi Kali,aiseee nilitafuna pisi Kali mpaka nikawa nazikimbia. Yaani utakuta anamaliza kila kitu mpaka kumpeleka chumbani kwangu,Mimi kazi yangu kupiga tuu.
 
Hapana aisee mkuu sikuthubutu na tunaheshimiana sanaaa maana hata huyu binti yake aliezaa na bro huwa nampiga kampan ya mahitaji ya shule n.k so shemej ananiheshimu sanaa na kunikubali nadhan ndomaana huwa ananipa hizi cross dongo kama shukran
Pamoja mkuu
 
Kweli kabisa.
Muda mwingine unakuta sista anakuja na pisi nyumbani we unajua umejiokotea kumbe sister katoa assist halafu hakwambii. Na ukimbandua unakuta wanaambizana huko bila wewe kujua.
ee mzee afu csta akikupigia pande ujue pisi lazima itakuwa kali, sometimes mwenyew unakiri moyoni kuwa bila msaada nisingeng'oa pisi kali hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…