MACHO YA PAKA
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 206
- 483
Nina muda sana sijaleta kisa. Visa vipo tatizo mambo yamekua kasi sana toka mwenda zake aende zake.
Leo naleta kisa kimoja cha wikiendi hii ya juzi.
Around mwezi wa 7 kuna wafanyakazi wapya walikuja hapa ofisini. Ni diploma so bado wadogo wadogo. Mabinti wa 5 na washakaji 2. Wale mabinti wote wa kawaida so sikuwaza hata kuanza kuhanagaika now ingawa kuna mafisi yale yasiyochagua najua yatakua yanapiga tu by now.
Nlivokua nawakabidhi desktops za kufanyia kazi, kuwasetia simu ya ofisi za mezani na email za ofisi, ikabidi niwape wote namba yangu na nichukue namba zao. Sijawahi kumtafuta hata mmoja na wao hawajawahi kunipigia, mara nyingi wanatumia tu simu za ofsini zile za mezani kuomba support. So hata mazoea now sinaga. Kuna manzi hapa kazini nilikua napiga kipindi flani sasa ikajaga kuleta maneno na majungu mengi sana kutoka kwa wana (Nlianza kupiga siri siri baadae watu wakajua, haikua shida sana coz manzi ni kifaa sana, akapataga mimba ya jamaa yake wa siku zote, jamaa akavalisha na pete kabisa. Mwakani ndo ndoa, uzuri jamaa hajui kama kuna mwamba kazini kwa manzi alikua anapiga, labda watu wachome, now kajifungua yupo maternity. Huyu siwezi weka kisa chake hapa coz huyu niliplan kumpata, sio kumla tu na nkasotea mpaka ikanibidi ni apply u- sharukh khan ili nimpate. Mimba yake ilivoanza kuonekana nlikula sana majungu).
So hawa nlivoona wote wa kawaida nkaona nitulie tu.
Ijumaa iliyopita mida ya mchana mmoja wao wa wale mabinti kanitext msg ya kawaida anauliza kama nimeagiza msosi, nkamjibu msosi gani, akajibu kua kakosea kutuma, alikua anamtumia mwenzie, nkamjibu na mimi nataka msosi. Tukachat chat pale na mimi akaniagizia msosi. Ulivofika kantext nkaenda floor ya juu kabisa ndo kuna sehem ya kulia chakula. Nkawakuta wapo watatu, yeye ni zile type za mamanzi wana sura nzuri lakini mwili wa kawaida sana, akivaa suruali ndo anapendeza, sio skirt wala magauni. Na wenzie ni variations tofauti kidogo tu lakini wale wale tu.
Tukala huku nawapigisha story za kizushi, nkatoa hela ya msosi wangu tu nkarudi ofsini kwangu.
Mida ya saa 10 kantext tena, anataka movie kama nnazo aangalie weekend. Wao jmosi na j2 hawaji. Muda huo mi nshakimbia ofisi kitambo, nmewaachia madogo wa field ikifika saa 11 wafunge funguo waache kwa mlinzi.
Ikabidi nimwambie sipo nmeondoka. Tumechat sana mpaka saa 2 hivi ndo nmemuuliza uliza kuhusu yeye, anapenda movie za aina gani, anakaa wapi, na nani na vitu kama hvyo nkamwambia kama hyo kesho yake jmosi atakua free tukaangalie movie pale DFM akauliza muda nkamuambia saa 2 kasoro. Kasema hataweza coz yeye anakaa maeneo ya Lumo na dadaake. So mchana anakua free sio usiku.
Nkamuambia basi nkitoka job ile saa 6 mchana hyo kesho yake jmosi tuonane aje achague movie anazozitaka. Akasema poa na kuchat kukaishia hapo.
Kesho yake mi nshasahau nipo job na washkaji muda wa kazi umeisha lakini bado hatutaki kutoka mjini, naona text ya yule binti, nmechat nae ananiluza niko wapi, nkamjibu nakaribia home, akauliza tunakutania wapi nkamjibu nkifika home ntamtumia location achukue bolt aje. Akaguna na mimi sikujibu kitu, nkajua huyu kajileta kibla mwenyewe nibembeleze ya nini.
Nkawaaga washkaji nkaenda kudandia boda mshkaki hadi karibia na mitaa ya home buku 3 tu af boda ingibe buku mpaka getini. Mdogo wangu wa kiume yupo likizo so mara nyingi anapenda kuchill kwangu, nkampigia simu hapo hapo nkamuambia afanye usafi kizushi af asepee.
Nmefika home nkamtumia location whatsapp na jina la kituo, af nkamtext kawaida kuwa location nmeshaituma. Akajibu poa. Nkaona blue tick whatsapp nkajua location kaipata. Nkauchuna.
Baada ya kama lisaa hivi katuma text yupo kituoni, nkamfata na nauli ya bolt nmeibeba. Nmeenda na mindset kuwa nkikuta ashajilipia nauli possibility ya kula tunda ni 50/50, lakini kama anasubiri mimi ndo nije kulipa basi atakua amekuja kuliwa tu. Na kweli nmefika nmemkuta yeye na huyo jamaa wa bolt wanansubiri nilipe. Kaja kavaa suruali ya jinsi, tshirt, kajifunga na mtandio kichwan kama anajificha flani hivi. Ikabidi nimpitishe baa kabisa nimchukulie chips yai na mishkaki na maji makubwa, coz hatoki mtu akishaingia ndani.
Tumefika ndani nkamuandalia huo kwa saani msosi af nkamuekea movie kwenye TV ya 50 shades of grey, part 2 yake au part 3, nliweka hyo coz wananyanduana kichizi.
Tatizo si akaielewa movie, aka concentrate nayo kichizi, ikabidi ntulie hadi iishe. Wakati movie inaendelea nkahamia sofa alilokua amekaa nkamvuta akanilalia nkamtoa mtandio, uzuri ana nywele natural amezifunga nyuma, nkawa namchezea kwenye nywele af nashuka mabegani, nkishuka kifuani anantoa mkono anasema nisimsumbue anaangalia movie. Movie yote imeenda hvyo hadi imeisha.
Baada ya movie hata sijaongea chochote mdomo kauleta mwenyewe. Nmejilia vitatu mida ya saa 1 nmemuitia bolt kasepa. Nawaza jmosi nimuite tena. Tatizo sitaki awe manzi wangu official.
Hii wiki yote kila siku anantext anasubiri nianzishe topic ya mahusiano na mimi siianzishi, tunachat tu kawaida namsifia sifia af inaishia hapo. Zaidi kumuita 'mama' hamna jina lolote la mahaba namuita.
Hongera kwa kupata mke

in her own way. Ndo maana Ana jealous..... Alphabet Team girl

mbegu za maboga
