Son of Gamba
JF-Expert Member
- Oct 26, 2012
- 4,718
- 6,979
Demu wa kilokole ndiyo nani?Sio kila asemae bwana ....bwana atauona ufalme .
Mara mia kuwa baa unawaza ibada kuliko kuwa kanisani unawwawaza wala kimasihara ....
Na aliwajua walio wake tangia wapo tumboni mwa mama zao .
Sasa wewe endelea kujiona mwema sijui unadhani kuna demu Wa kilokole utamuopoa kwa itikadi za kifala hizi .....alafu mwenyewe unajiona mnyoofu.
Hata hao madem Wa kilokole wanakuona boya tu joka la kibisa
Kwenye maandiko hakuna mtu anaitwa "mlokole". Na hakuna mahali kwenye Biblia utapata neno "mlokole".
By the way mimi sitafuti demu, mimi nakuhubiria wewe uache zinaa.