NB, Uzi huu sizungumzii hawa wanawake mnaokutana mahali, unamuuliza unamuda?? Anakujibu ,uko vzuri????ukimjibu ndioo, basi anakuambia nitumie Nauli nakuja.
Sizungumzii wanawake ambao, unajua Moja kwa moja ukislide kwa DM yake, anakuambia Hotel ya kumpeleka na utampa shi ngapi...
Yaan hapa Nazungumzia Mwanamke anayeweza kua ndio BOSS wako/Mkufunzi wako/ Mkuu wako n.k lkn Umemuelewa kinoma.
Haya twende sasa,
Ulishawah kwenda Dukan kununua Bidhaa X , Muuzaji akakuambia ni Laki tano...alafu wewe ukamwambia.. Basi poa ngoja niende Duka lingine????. Wakati unatoka, anakuambia, Embu rudi nipe laki tatu sasa ???
Sasa ili Uwe na Mvuto kwa Mwanamke 99% unayemtaka, nilazima, nilazima uwe na AKILI KAMA YA MNUNUAJI nasio kama MUUZAJI.
yaaan zile akili za ....Ninakupenda lkn pia naweza kwenda kwa mwanamke mwengine kama utaninyima fursa.
Huu ni mfano
Jane ni mwanamke wa miaka 28 ana Elimu, Mrembo wa Sura na umbo ambaye amebahatika kua Uchumi yaan ni aina ya wanawake wanaoendesha maisha yao wenyewe, maisha yanayompa jeuri huku Akifanya wanaume wamuogope, Ni kwamba Jane anajiona na kujikubali kua ana Elimu, mzuri ,mvuto na Ana maisha.. Hamna mwanaume
Sasa oneni hapaa
Kuna Vijana wawili mmoja anaitwa John. Mwengine anaitwa Jackson .
John ni kijana Mwenye Elimu, na Pesa ...
Jackson pia nikijana nwenye Elimu na Ana tupesa twake tudogo.
Hawa vijana wawili. Wote kila mmoja kwa wakati wake, anapata fursa ya kuongea na Jane ,kufikisha hisia zake za kimapenzi
Ipo ivi Yeye John alianza ivi..."Jane wewe ni mwanamke mzuri una elimu na maisha mazuri, ninaomba unipe nafasi ,naahidi nitakupatia kila kitu kwa sababu uwezo ninao .
Nipe nafasi Jane, nitakupa kila kitu........
Jane akachomoa.
Jackson yeye alienda ivi... Jane najiuliza kama unaweza kua Poa kiasi cha kuruhusu Nikujue zaidi ?.
Jane anajihisi Bored, lkn baada ya siku mbili tatu, Anawaza ,ni kwann Jackson alisema vile?? Kwann alihoji kama Yuko "Poa" , ?? Je nisababu labda anaonekana anaringa?? anatabia mbaya??? Kwann Jackson aseme hivi
kinachoenda kutokea hapo, niyeye Mwanamke kutafuta kitu gan afanye ili Apate Approval tok kwa Jackson na hapo ndipo Hitaji la kuwin Jackson na kumfanya amuone mwenye tabia njema..huamka na matokeo yake ni Demu anaanza kuvutiwa na Jackson, ndiyooo kuvutiwa nakadir unavyotafuta kumwin mtu ndivo Unajikuta Automatically unamwelewa kinyama.

SASA HIII NDIO HUWA SIRI YA KUMFANYA MWANAMKE AVUTIWE NAWEWE .
Jackson, aliamua kucheza na Natural Flaw ya Jane, Aligundua Jane amekamilika ,sasa ili kumvuruga, nikuhakikisha anamfanya Jane ajihisi kua AMEPUNGUKIWA na ANAHITAJI MTU WA KUMKAMILISHA KATIKA UDHAIFU WAKE.
Wakati John anahofu kama Jane atamkubalia, Jackson yeye anamuonyesha Jane kua yeye yuko tayari kusonga mbele na mwengine
Wakati John anajitahidi kumuaminisha Jane amchague yeye, Jackson yeye anamuonyesha Jane kua yeye ni mwanaume Mwenye status kubwa, anajiheshim na hayupo tayari kuuza thaman yake
Wakati John anajitahidi kumshawishi Jane ,yeye Jackson anamuonyesha Jane kua anayo Machaguzi
Na hii ndiio sababu inayofanya, Jane aanze kupatwa na hitaj la kumfanya Jackson aelewe kua hayuko km anavyoonekana.
Hawa viumbe, anaweza kua ni mzuri kiasi gan, anaweza kua ana elimu kubwaa, anaweza kua ana maisha makubwaaa, anaweza kua vyovyote wakuogopekaa..
ILI MRADI UNAOUWEZO WAKUFIKA MAHALI ALIPO YAAN KUMFIKIA, ... JUST GO AND TREAT HER LIKE A NORMAL PERSON.
ila ukiwa na mawazo ya , mmhhh hii kitu, bila hela huiondoi, sure ,huwezi kumpata hata..