[emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo wee kuwa MEDICAL DOCTOR what so special?
Hilo la class gani ya wanawake unaotembea nao linabaki kuwa lako wee binafsi, hata utembee na Rais hakna tatzo maan nae binadamu km wengine na ana mapungufu pia ndani yake.
Suala hapa tunalokataa wee kujifanya kuwa kila mwanamke unaweza kuwa nae kimahusiano haijalishi yeye yukoje na anaishi vipi?
Halafu sasa nilichogundua kumbe wee kwakua unadate na class fulan ya wanawake, au wake za watu, bas unahisi umemaliza mwenyewe kuwa wote wako hivyo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hao wa class ya juu unaodadalika nao usijione umeulaah, unaweza kukataliwa na mwanamke ambaye hutokaa huamini na utajiuliza unakwama wapiiih [emoji23][emoji23][emoji23]
POLEEEEEH SANA.
Sent from my Infinix X652C using
JamiiForums mobile app