NO04
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 1,754
- 1,253
Mwisho wa siku italiwa na mchea, maisha haya!Hii kwangu haiapply. Na mpk tukutane ni moyo wangu ukukubali. Kama vioi nacancel tu moyo wangu umekukataa. Yaan hata uimbe bob marley souljer sijui mimi malaika. Tena usishangae nikakusemesha na sauti ya kibezi... Sifa za kinafki nazijua. Anayetaka uzandiki najua. Sifa hazinipotezagi. Tutaonana endapo tu moyo wangu umekuerewa kwa kwenda mbere[emoji23] na hiyo haimaanishi ndo utanikula hapana. Nina roho mbaya sana na mbunye yangu[emoji23][emoji23][emoji23]
Joke[emoji23][emoji23][emoji23]