Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,522
- 235,247
Sawa nitakuombea kwa Mungu.Ukuta nikauona kwa wanawake wenye kumcha Mungu na Hofu ya Mungu kwelikweli.
Tuombeane Dear.
Hivi unajisikia raha gani ukifanya hayo?
Usipofanya unajisikiaje?
Unadhani mwisho wa hayo utakuwa nini?
Sent using Jamii Forums mobile app