Jembemtaji
JF-Expert Member
- Aug 21, 2014
- 1,192
- 929
Duh kuna siku nilitaka kunilichezea jera bila chenga,nilikua natokea lindi nakwenda dsm ,nikapata gari inaitwa msimbati inatoka tandahimba inaenda dsm.ikapita lindi ikachukua watu kama 8 pamoja na mm.kwenye lile gari kulikua na msichana mmoja yuko na askari magereza amevaa sare kabisa.tumefika nangurukuru ile gari ikataka kuwaka moto kwenye matairi wakawai kuzima ,baada ya kuona gari inataka kuwaka moto kuna abiria wakaacha ile gari wakapanda gari zingine.baada watu kupungua nikaa na yule msichana aliyeongoza na askari ,nikamuuliza yule askar ni nan wako ,ajaniambia ni rafiki wa baba ananipeleka mbagara kuna shule naenda kuamia form 3.basi nikaanza story za kumchekeshachekesha pale mpaka tukawa marafiki.tumefika somanga ile gari ikaharibika tena ikatulazimu tulale, niakaanza kumchezea yule mtoto na yy akawa anatoa ushirikiano wa kutosha .kumbe wakati namchezea kumbe na yule askari amekubaliwa na dem fulan na yy anachezewa na mtu mwingine. Baadae akaja kumuaga yule mtoto anaenda kuzunguka kidogo atarudi,mtoto akajibu sawa.alipotoka nikamwambia yule namfutilia nijue anaelekea wap,nikagundua anaenda guest house na pale tuliambiwa anaetaka akalale guest kama mtu hana hela anaweza kulala kwenye basi.nilipoahkikisha ameende guesthouse na mimi nikwambie yule bint twende guest tusilale hapa mbu ni wengi akakubali .basi nikamuogesha kibaharia nikatafuna alfajiri nikamwambia atangulie kukitoa msala nitokomee .amefika akaniambia yule askar hajarudi njoo tu ,mzee nikarudi.mpaka nikikumbuka kisa hiki siamini kama nilifanya mm.