Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Ukiwa umefunga mlango usichomoe funguo kwani ufunguo mwingine hauwezi kufungua. Kama mlangi unatumia kadi huwa kuna lock ya mnyoroto kwa ndani ukilock hawawezi kufungua. Ukiwa na mke wa mtu ndani azime simu usikubali simu yake iwe on. Kama hutumii hoteli moja kila siku ni vigumu wao kushawisbi mwenye hoteli au mhudumu.

Hata kama wamevamia hoteli, usipifungua huku ukifanya jitihada za kuwapigia watu wako ambao nao watahonga polisi toka sehemu yeyote nao watatinga hapo na kukuta zogo nje lakini watu hawajaingia ndani. Kumbuka ni jinai kujichukulia sheria mkononi. Mwisho hata wakifanikiwa (japo kwangu haiwezekani) ukikomaa utawafunga wote miaka thelathini au maisha kuanzia huyo mume na aliowakodi kisha utaendelea kuinjoi na mkewe.
Mke wa mtu haitakiwi utanue naye , mnakutana mahali kisha kila mtu anasepa zake.
Sawa mtaalam. Kila la heri.
 
Kuhusu mlango, kuna vitasa ni two way hata usipochomoa funguo unaweza fungua tu labda kama kuna komeo la ndani linaweza saidia
 
Ukiwa umefunga mlango usichomoe funguo kwani ufunguo mwingine hauwezi kufungua. Kama mlangi unatumia kadi huwa kuna lock ya mnyoroto kwa ndani ukilock hawawezi kufungua. Ukiwa na mke wa mtu ndani azime simu usikubali simu yake iwe on. Kama hutumii hoteli moja kila siku ni vigumu wao kushawisbi mwenye hoteli au mhudumu.

Hata kama wamevamia hoteli, usipifungua huku ukifanya jitihada za kuwapigia watu wako ambao nao watahonga polisi toka sehemu yeyote nao watatinga hapo na kukuta zogo nje lakini watu hawajaingia ndani. Kumbuka ni jinai kujichukulia sheria mkononi. Mwisho hata wakifanikiwa (japo kwangu haiwezekani) ukikomaa utawafunga wote miaka thelathini au maisha kuanzia huyo mume na aliowakodi kisha utaendelea kuinjoi na mkewe.
Mke wa mtu haitakiwi utanue naye , mnakutana mahali kisha kila mtu anasepa zake.
Acha kujidanganya. Hyo miaka 30 atakayofungwa itatokana na kosa lipi?
Stori za vijiweni zitawapoteza... Hivi unajua unaweza ukaua na usifungwe kwa kosa la mauaji? Na bado ukabaki mitaani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona hotel nyingi huwa na funguo mbadala au E-cards za kufungulia mlango za reserve.

Kunaswa bila kutegemea ndo maana ya mtego uliotegewa. Watu wanakusukia ramani taratibu mpaka unanasa.

Kuna mitego ambayo inashirikisha mpaka wenye hoteli, wanalipwa kutengeneza hayo mazingira ya ww kufumaniwa, kiasi kwamba ukinasa unajikuta kwenye hali ambayo hukutegemea kabisa, na kwasababu ni jinai basi tukio linafanywa chap chap ndani ya 15 to 20 minutes unaachwa ukiwa si yule uliyeingia.

Inategemeana unatembea na mke wa nani na ana nguvu gani na amepania kiasi gani kukushikisha adabu.

Watu wenye hasira na wake zao wanawalipa hata polisi pesa za kutosha ili tu utengenezewe mazingira unase.

Mtu anauza nyumba ili tu apate pesa ya kulipa watu watakaofanikisha kukutega na kukukamata ww unayemla mke wake mpaka kasahau watoto na majukumu yake ya familia.

Kuna watu wana uchungu na hasira sana wakigongewa.
Lakin hotel za kimataifa hawa ruhusu mtu kwenda kwenye room ya mgen bila ruhusa ya mgen mwenye room na mtu kutoka nje ya hotel ambaye siye mgeni wa hotelin baadhi ya hotel hawa ruhusu mgeni kutoka nje ya hotel kuingia ndan ya hotel lazma afanye booking, au aende reception Kama Kuna mtu kamfata reception watampigia sim mwenyeji wake na lazima ataje room namba , haiwezekan mtu tu utoke uko uingie hotel moja kwa moja mpaka kwenye room ya mgen ulete vulugu kwenye hotel za kimataifa huwez kupata nafas,, lakin kwa hotel za uchocholon utapata nafas.

Most of times wenye pesa za kupeleka mke wa mtu hoteli za maana(mtu anayelipa 500,000 room kwa siku) wana akili ya umafia maana kuwa na hizo fedha tu kapitia mengi, huwa hawachukui wake za ma don hovyo hovyo maana wanajua lolote halishindikani. Nyinyi msioamini katika umafia ndo hujikuta matatizoni.

Mkuu, unajua maana ya mtego? Mtu analipa pesa ya floor nzima ili uwe peke yako na mke wake ila hutajua kama leo floor nzima ni ww tu. Unapewa chumba ambacho hakina attention, unapewa funguo wakiwa wanaelewa wataufungua vipi huo mlango. Kwanzia dada wa reception mpaka mlinzi wa parking wanakuwa wanajua kinachoenda kukukuta leo maana walishalipwa na umeandaliwa mtego kwa miezi hata mitatu au minne ukiangaliwa tu tabia zako na movement zako.

Mtu unawekewa dawa na huyo huyo unayemgonga unalala kama mzoga ukishtuka upo tayari unawaka waka na wanaume wapo pembeni wanakusubiri upate fahamu vizuri ili usikie na uelewe kinachokutokea.

Hakuna fujo hapo. Kila kitu ni taratibu tu. Tena ndo ukute mwenye mke ana connection na wale waliomzuia msanii diamond kuingia jukwaa alipo mh raisi, hapo ndo kazi inakuwa nyepesiiii.

Wewe kama unapenda sana wake za watu tafuta mtu yoyote ambaye ni mpelelezi akupe visa na matukio ya watu walivyo na roho mbaya

Kama .ke wa mtu ni mtamu endelea kuiba wake za wanyonge watakaoishia kulalamika au kukuloga ila usiingie chaka tu ukagusa wale ambao wanajua namna ya kufanya biashara na kupata pesa kwenye nchi ya ujamaa kama korea kaskazini wakiwa wanaishi humu TZ.
 
Acha kujidanganya. Hyo miaka 30 atakayofungwa itatokana na kosa lipi?
Stori za vijiweni zitawapoteza... Hivi unajua unaweza ukaua na usifungwe kwa kosa la mauaji? Na bado ukabaki mitaani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata ukimlawiti mkeo au mtu yeyote kwa makubaliano ni kosa la jinai na ikithibitika kifungo kisichopungua miaka 30 kinakuhusu. Ubakaji wa makundi kifungo cha maisha Ukiona mtu amefanya hivyo na akapeta basi kwa kuwa mtu hakulalamika. Kwa anayeelewa sheria hawezi tbubutu kwani anajua ataozea jela. Ninaifahanu kesi moja watu walichukua miaka.
 
Most of times wenye pesa za kupeleka mke wa mtu hoteli za maana(mtu anayelipa 500,000 room kwa siku) wana akili ya umafia maana kuwa na hizo fedha tu kapitia mengi, huwa hawachukui wake za ma don hovyo hovyo maana wanajua lolote halishindikani. Nyinyi msioamini katika umafia ndo hujikuta matatizoni.

Mkuu, unajua maana ya mtego? Mtu analipa pesa ya floor nzima ili uwe peke yako na mke wake ila hutajua kama leo floor nzima ni ww tu. Unapewa chumba ambacho hakina attention, unapewa funguo wakiwa wanaelewa wataufungua vipi huo mlango. Kwanzia dada wa reception mpaka mlinzi wa parking wanakuwa wanajua kinachoenda kukukuta leo maana walishalipwa na umeandaliwa mtego kwa miezi hata mitatu au minne ukiangaliwa tu tabia zako na movement zako.

Mtu unawekewa dawa na huyo huyo unayemgonga unalala kama mzoga ukishtuka upo tayari unawaka waka na wanaume wapo pembeni wanakusubiri upate fahamu vizuri ili usikie na uelewe kinachokutokea.

Hakuna fujo hapo. Kila kitu ni taratibu tu. Tena ndo ukute mwenye mke ana connection na wale waliomzuia msanii diamond kuingia jukwaa alipo mh raisi, hapo ndo kazi inakuwa nyepesiiii.

Wewe kama unapenda sana wake za watu tafuta mtu yoyote ambaye ni mpelelezi akupe visa na matukio ya watu walivyo na roho mbaya

Kama .ke wa mtu ni mtamu endelea kuiba wake za wanyonge watakaoishia kulalamika au kukuloga ila usiingie chaka tu ukagusa wale ambao wanajua namna ya kufanya biashara na kupata pesa kwenye nchi ya ujamaa kama korea kaskazini wakiwa wanaishi humu TZ.
Visa vya wake za watu kuliwa na hata kuzalishwa ni vingi mno kuanzia vijijini hadi mijini, vyuoni, makazini, safarini na kila mahali miaka nenda miaka rudi halafu wewe unatisha watu na matukio machache ya mafumanizi!

Hata wewe hapo pengine kuna watu unawajua au unawahisi strongly waliwahi kula mkeo lakini huna cha kuwafanya.
 
Mm mke wangu hata ww ukitaka kumla mle kama utamuweza na kukubalina na matokeo ya tamaa zako. Sijawahi kuwa na wasiwasi wa kugongewa.

Sitishi mtu, ni kweli wapo wengi tu mpaka wanakufa hawajawahi fumaniwa au kufanywa lolote lakini ww bado upo hai, huna uhakika kama na ww utakufa ukiwa RMC huyu huyu wanayemfahamu wazazi wake kuwa tuna mwanaume kamili.

Nakuambia tu lolote halishindikani ukiwa na tabia hizo za kupenda vya watu hivyo kama ni mpenzi wa wake za watu ishi ukifahamu kuwa upo kwenye risk ya kupatwa na lolote japo inawezekana isikutokee mpaka ukafa.
 
Banki za NMB waga wanafunga mida ya saa9 na nusu, ko probably ulivyomwambia aliekuwa anawashughulikia na kuwa na imani kwamba mtaenda lunch inamaana ilikuwa ni mida ya mapema zaid maana baada ya saa9 ni ngum kuingia so most probably mlienda kula mida ya saa8 hivi,
Kukaa mida ya saa8 mpaka mida ya saa3 usiku uku hella zimemezwa bila shida ni uongo, hayo ni masaa7,
All in all hii ni chai tu
We ni fala kabisa
 
Mm mke wangu hata ww ukitaka kumla mle kama utamuweza na kukubalina na matokeo ya tamaa zako. Sijawahi kuwa na wasiwasi wa kugongewa.

Sitishi mtu, ni kweli wapo wengi tu mpaka wanakufa hawajawahi fumaniwa au kufanywa lolote lakini ww bado upo hai, huna uhakika kama na ww utakufa ukiwa RMC huyu huyu wanayemfahamu wazazi wake kuwa tuna mwanaume kamili.

Nakuambia tu lolote halishindikani ukiwa na tabia hizo za kupenda vya watu hivyo kama ni mpenzi wa wake za watu ishi ukifahamu kuwa upo kwenye risk ya kupatwa na lolote japo inawezekana isikutokee mpaka ukafa.
Uko sahihi sana
 
Katika harakati za ujana unaweza jikuta unatunukiwa tunda na binti kama utani vilee. Hii hutokea pale binti anapokuwa na hasiraa, jamaa ake amecheat so anataka kulipiza kisasi na kipindi manzi ana maumivu ya kuachwa! Hizi ndo moment kubwa ambazo gilrs wengi wanaliwa bila kutarajia wala kupanga.

Mimi niliona status demu flani ninaemkubali kaandika i need somebody to talk to aisee nikampigia video call kumbe alikuwa analiaa nkamwambia upo wapi?? Akasema yupo hostel anaugulia maumivu bwana ake kamla rafika ake na ana ushahidi aisee nkamwambia pole sana.

Vipi tutoke bhasi ukapoteze mawazo kidogo? Akasema twende tu me nshachoka kuumizwa. Aisee ile siku sikuamini nilihisi ni ndoto japo baada ya tukio akaniblock kisa nilimpost demu wangu. Na yeye akampost jamaa eti ili anikomoe nkasema wanawake bhana.

Je, vipi ushawahi kula tamu kiutani utani tu? Mlidumu kama wapenzi baada ya kumla?

===========
TAKE NOTE:
===========

Moderator: Hii thread imerejeshwa na owner wa mjadala amekuwa rikiboy kama ilivyoombwa na wadau. Mnaombwa kuzingatia lugha katika uwasilishaji wa maoni
Ha ha ha JF bana. Imekuwaje ukaeudishwa? Kwa nini ulifutwa?
 
Back
Top Bottom