TUKIO LA 1: Kuna jamaa hakuamini, alishangaa tu watu hawa hapa ndani ya chumba chake, hotel ilikuwa ni ya kifahari, kilichomuokoa ni ukubwa wa dirisha, aliruka urefu wa ghorofa 2 akavunjika mguu na mkono.
Alikuwa anatembea na mke wa mtu. Inaonekana mke alibanwa akatoa ushirikiano kisha watu wa fumanizi wakafanya namna wakapewa ushirikiano na management ya hotel, haijulikani ni nn walifanya au walitoa hadi kupewa huo ushirikiano.
Hizi hotel mara nyingi huwa ni soundproof hivyo wangefunga milango na madirisha pengine jamaa yangemkuta mabaya sana.
TUKIO LA 2: Arusha, Huyu mwamba walifanikiwa kumwingilia. Inasemekana Mke alidakwa na sms, mume alikiwa anajiweza kifedha, mke akapewa maelekezo asifanye lolote aendelee na mahusiano mpaka pale atakapopewa maelekezo. Baada ya miezi kupita huku mke akiliwa kama kawaida ila mawasiliano yake yote na taarifa zake zote mume akizipata hatimaye siku ya maelekezo ikawadia, akaambiwa amshawishi jamaa waende nje ya mji, hotel nzuri tu. Jamaa hakutia shaka akaenda, kumbe ni mtego, alipoingia ndani wakati wanaendelea jamaa akashangaa wanaume hawa hapa, wakamwingilia kwa zamu huku mke wa mtu akishuhudia. Jamaa baada ya tukio alitafuta mtu wa saikoloji, akamtrain. Alirudi mtaani na mpaka sasa anaendelea kuchakata wake za watu mara dufu zaidi ya mwanzo. Ameshindikana.
Fumanizi ni mtego. Tena wakati mwingine mwanamke anafahamu kila kinachoendelea maana Mume alishamshika panaposhikika.
Kama una rafiki yako mpelelezi wa polisi muombe data ya matukio ya kinyama yaliyowahi kufanyika kwenye mahoteli makubwa ya kifumanizi. Wana data nyingi sana.
Kutembea na Mke wa mtu halafu ukawekewa mtego kuchomoka hakuna ukomandoo. Labda bahati.