Ulipigika miaka mingapi mpaka kupata Ajira ya Kwanza baada ya Chuo?

mnanishauri nini n mm amba nipo bach. in shipping and logistics management, mwaka wa kwanza
 
nilimaliza shahada ya uhasibu udsm around 2015, nilikaa almost mwaka mmoja ivi nadhani, maisha yalikua magumu sana.
kuishi nyumbani kwenu bila ya kazi ni mtihani sana, wanakuja wajomba wanakukuta umelala tu wiki nzima huna ratiba maalum. wanasema sasa alisoma ya nn huyu, kuna mjomba wangu alidiriki mpaka kutaka kunipeleka kwa mganga kwenda kucheki tatizo liko wapi. nilimkimbia.
wadogo zako walio sekondari nao wanakua discouraged. brother kasoma kote huko alaf anakaa nyumbani?
ikafika muda ilibidi nifanye vikazi vidogo vidogo ikiwa ni pamoja na savings zangu, nkaondoka home kwenda kupanga room moja huko mbali kabisa na watu nliowazoea. Hapa nilitaka nijipush ...alhamdulillah from there nlianza kufanya kazi ya ualimu, kamshahara kalikua 350k..sikukaa kidgo nkapata kazi brt benefits kidogo zilikuepo na mshahara kuwa juu ya ule wa mwanzo.. sikua naridhika nlikua nataka zaidi..mara kampuni hii mara kampuni hii.. mpaka sasa nina miaka mitatu ya kufanya kazi kama fully accountant ila siachi kutafuta greener pastures, lengo langu ni kufika mbali sana kwenye taaluma yangu.
hata nipate 7m au 10m take home.
siamini kama mtu unabidi uswitch kwenye ujasiriamali just sababu umekosa kazi. ujasariamali is a trait and if u dnt have it you will cry.
 
...leo tupeane faraja baada ya kuchungulia nje na kukuta kuna kundi kubwa la wahitimu wa certificate, diploma, degree, masters wanaongezeka Tu Ka njugu mtaani!

Mie baada ya kumaliza Chuo nilipigika haswa! Yes, enzi zile tunavaa suruali za bugaa na mashati ya kung'aa na tai zenye mistari mistari Ka wachungaji wa kilokole au wasabato! Nguo zilipauka mpk intavyuu ukiitwa unaona aibu!

Baada ya msoto wa miaka miwili nikapata Ajira Kwa muhindi, mshahara 195,000/= o'clock! Yes! Niliiona ya maana japo msoto wa kitaa nishaanza kuuzoea as niliamua kufundisha tuisheni, huku nikimeki pesa mingi likizo za madent! Kulima nililima matikiti, cha Moto nilikiona! Ukiingia na overexpectation kwenye kilimo utaimba nyimbo zote za Remy Ongala!

Kuku nilifuga nikaishia Kula mayai japo I made something! At the end nikapata Marketing officer Kwa muhindi. Simsemei vibaya, he was good compared to others!

Msoto wa Ajira unaendelea kuwa mkali kadili maelfu ya wahitimu inavyoongezeka Kada zote! Ni bomu! Ni bomu!

Hakuna cha afya, kilimo, uchumi, engineering Mambo ni magumu!

Ushauri: Jifunze kutafuta pesa Kwa njia mbadala/ujasiliamali mapema Sana ili elimu ikikudiscourage uwe na mahali pa kulinda utu wako la sivyo utamaliza Series, CDs na magazeti sebuleni Kwa shemejio!!!

Karibuni wahitimu wa vyuo kitaa...huku hata wa degree ana endesha bodaboda na kuchoma chips!!!
 
Kama ni kazi halali toa tips kidogo vijana wajifunze. Sie wasomi tuache uchoyo,wasomi wengi ni wachoyo sana mtu anafuta ajira alafu yeye anajilipa zaidi ya 2m ili aonekane tajiri
Uoga wa kuthubutu na kulinda personality vinawaponza graduates wengi. Binafsi nifanya kazi ya kiupuuzi kwa macho ya wengi ila hii biashara yangu Ina miezi 3, nilianza na 150k mwezi wa tano sasa mtaji ni milion 2.5 hapo nakula na kulipa Kofi ya nyumba humohumo, vocha huwa naweka kifurushi cha 20k.

Utaniambia kuajiriwa vipi nikuelewe!
 
One year,ila mateso yake ilikuwa kama miaka 3...
 
Kama ni kazi halali toa tips kidogo vijana wajifunze. Sie wasomi tuache uchoyo,wasomi wengi ni wachoyo sana mtu anafuta ajira alafu yeye anajilipa zaidi ya 2m ili aonekane tajiri
Hahah! M-bongo akisoma hlf aje akusaidie tu "from no where", hilo halipo kirahisi hata kama ni ndugu wa damu...lazima atake kwanza umuhonge vya kutosha ndy akusikilize na bado umuhonge tena!
Kwahy tips kupewa ni kwa kulipia hlf ni kama vile hua tunakomoana, wasomi karibu wengi hapa bongo ni wachoyo SANA..ni wachoyo wa maarifa kupitiliza kawaida!
 
Mkuu mshana Jr kwa ule ujuzi wako kwanza hata kama mimi ndio boss naanzaje kukufukuza kazi,si utanigeuza tumbo kuwa mgongo
Sijabahatika kusotea ajira kijiweni... Labda kwakuwa ujuzi wangu ulikuwa adimu... Na sijawahi kufukuzwa kazi huwa naacha mwenyewe
 
...leo tupeane faraja baada ya kuchungulia nje na kukuta kuna kundi kubwa la wahitimu wa certificate, diploma, degree, masters wanaongezeka Tu Ka njugu mtaani!

Mie baada ya kumaliza Chuo nilipigika haswa! Yes, enzi zile tunavaa suruali za bugaa na mashati ya kung'aa na tai zenye mistari mistari Ka wachungaji wa kilokole au wasabato! Nguo zilipauka mpk intavyuu ukiitwa unaona aibu!

Baada ya msoto wa miaka miwili nikapata Ajira Kwa muhindi, mshahara 195,000/= o'clock! Yes! Niliiona ya maana japo msoto wa kitaa nishaanza kuuzoea as niliamua kufundisha tuisheni, huku nikimeki pesa mingi likizo za madent! Kulima nililima matikiti, cha Moto nilikiona! Ukiingia na overexpectation kwenye kilimo utaimba nyimbo zote za Remy Ongala!

Kuku nilifuga nikaishia Kula mayai japo I made something! At the end nikapata Marketing officer Kwa muhindi. Simsemei vibaya, he was good compared to others!

Msoto wa Ajira unaendelea kuwa mkali kadili maelfu ya wahitimu inavyoongezeka Kada zote! Ni bomu! Ni bomu!

Hakuna cha afya, kilimo, uchumi, engineering Mambo ni magumu!

Ushauri: Jifunze kutafuta pesa Kwa njia mbadala/ujasiliamali mapema Sana ili elimu ikikudiscourage uwe na mahali pa kulinda utu wako la sivyo utamaliza Series, CDs na magazeti sebuleni Kwa shemejio!!!

Karibuni wahitimu wa vyuo kitaa...huku hata wa degree ana endesha bodaboda na kuchoma chips!!!
Shule umekwenda?
 
nilimaliza shahada ya uhasibu udsm around 2015, nilikaa almost mwaka mmoja ivi nadhani, maisha yalikua magumu sana.
kuishi nyumbani kwenu bila ya kazi ni mtihani sana, wanakuja wajomba wanakukuta umelala tu wiki nzima huna ratiba maalum. wanasema sasa alisoma ya nn huyu, kuna mjomba wangu alidiriki mpaka kutaka kunipeleka kwa mganga kwenda kucheki tatizo liko wapi. nilimkimbia.
wadogo zako walio sekondari nao wanakua discouraged. brother kasoma kote huko alaf anakaa nyumbani?
ikafika muda ilibidi nifanye vikazi vidogo vidogo ikiwa ni pamoja na savings zangu, nkaondoka home kwenda kupanga room moja huko mbali kabisa na watu nliowazoea. Hapa nilitaka nijipush ...alhamdulillah from there nlianza kufanya kazi ya ualimu, kamshahara kalikua 350k..sikukaa kidgo nkapata kazi brt benefits kidogo zilikuepo na mshahara kuwa juu ya ule wa mwanzo.. sikua naridhika nlikua nataka zaidi..mara kampuni hii mara kampuni hii.. mpaka sasa nina miaka mitatu ya kufanya kazi kama fully accountant ila siachi kutafuta greener pastures, lengo langu ni kufika mbali sana kwenye taaluma yangu.
hata nipate 7m au 10m take home.
siamini kama mtu unabidi uswitch kwenye ujasiriamali just sababu umekosa kazi. ujasariamali is a trait and if u dnt have it you will cry.
Nimepaelewa hapo mwishoni
 
Back
Top Bottom