Ulipigika miaka mingapi mpaka kupata Ajira ya Kwanza baada ya Chuo?

Ulipigika miaka mingapi mpaka kupata Ajira ya Kwanza baada ya Chuo?

nimemaliza chuo mwaka jana, sijawahi kuajiriwa na wala msoto wa kutafuta ajira siujui, huwa nasimuliwa tu na graduates wenzangu.
msoto pekee ninaoujua ni kuanzisha biashara katika mtaji mdogo huku nikipigania iwe kubwa.
 
Kwa kweli tunatofautiana sana maisha haya, mwezi mmoja tu baada ya kuanza chuo level ya diploma ndio nikapata ajira ninayoitumikia mpaka sasa ingawa daraja ndilo limebadilika

Sent from my BLU STUDIO G2 using JamiiForums mobile app
 
Duh mm nlipata kazi wiki ya kwanza tu nlipomaliza chuo ilikuwa unhcr kigoma nikagoma kwenda, baada ya mwezi nikapata kazi mwanza idara ya maji nigsgoma kwenda, bahati mbaya nikatia mimba mschana nikatimuliwa home, mwezi ulofuata nikapata kazi musoma nikamchukua mschana akawa wife nikaenda kuanza kaz
Nafasi gani ya UNHCR uliuoikataa mkuu?
 

Attachments

  • FB_IMG_1578293801721.jpeg
    FB_IMG_1578293801721.jpeg
    40.4 KB · Views: 30
Back
Top Bottom