Ulipigika miaka mingapi mpaka kupata Ajira ya Kwanza baada ya Chuo?

Ulipigika miaka mingapi mpaka kupata Ajira ya Kwanza baada ya Chuo?

Kumaliza 2011. Kuanza msoto hadi 2015 ajira ndo inapatikana tena kwa mbinde yenye ushindani mkali sanaaaa nikatusua sasa shidah zote nimezisahau sitaki wanangu wawe na mawazo kama ya kwangu kabisa kqani nilikuwa nawaza kuajiriwa all time nimeanzisha miradi ya ufugaji , na kilimo cha bustani nawaelekeza kila nachokifanya nashujuru wamejifunza na wanafanya wenyewe na pesa wanapata wanajinunulia viatu,soksi,madaftari na mabegi ya shule wenyewe wapo darasa mkubwa darasa la 6 na mdogo darasa 4 .wasichana wote. Naona wameanza kujifunza kitu fulani.
Umetisha mzee baba ..pongezi kwako
 
Kazi za kuajiliwa ukipangiwa mshahara kimo cha mbuzi real then bodi watie mapanga Yao ni majuto balaa!
 
Mi sikuangaika kutafuta ajira maana sikua muumin wa kuajiriwa baada ya kuona wazazi ni watumishi wa serikali ila mikopo ndio inawaandama na mshahara autoshi kutusomesha nikajivua mapema ivyo ata hilo wazo sikua nalo.
 
Mama yangu aliwahi Nambi hivi(noah mwanangu mim mama yako mungu Kanijali bahati.... nataman mungu akujalie wewe pia)

Nmemaliza chuo mwezi w kumi nambili
Mwaka Ulofuata nikawa home pale.. Of course mimi ni fundi mzuri wa sound system japo Nimesom electric
Basi nikawa napata kote kote kwahiyo kuanzia mwezi wa kwanza hadi wa tisa nkkawa napiga deal za ufundi.... Niliku Napata pesa nkawa Nawapa home pale wanatumia home (uzuri madem walintesa nkaweka pemben love issues hivyo pesa yangu ni kwa wazazi mimi na kanisani sadaka over) sasa kumbe mama alikua ananiombeaga nafasi zikipatikana kwa mtu watu wengi anaofahamiana
AHSANTE MUNGU ...siku nnalud home ilikua j5 naambiwa kesho anza utaratibu wakupata account Ya bank juma tatu utaanza kazi campuni furani...... Dah siji sahau

Mungu Mwem... Ombeni bila kukoma
Ukipat kazi nenda kafanye kazi.
 
nmeajiriwa leo na chuo sijamalza [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Nilipomaliza chuo after 4 mouth..nikapata ajira, nikaifanya kwa mwaka na nusu...nikaacha na kuhamia kwingine nikapiga miaka miwili baada ya hapo nikajiajiri...mpaka leo, sitamani kuajiriwa ingawaje ajira Ndio imeniwezesha kujiajiri, Namshuru Sana Mungu kwa Hilo.
 
Back
Top Bottom