Ke kwani inabadilisha nini [emoji28][emoji28] hata ke wanamajukumu siku hizi.
after 4 mouth
Ya kweli aya mzee mama????Nilikaa miaka miwili sema sikua serious na kutafuta kazi nilijipa muda wa kupumzika kidogo nikawa nafanya mengine yasiyonibana. Nimeanza kutafuta kazi mwezi wa pili 2016 mwezi wa 6 nikapata
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hizi zitakuwa ni purodakti za datastayi au amazon colleji..Vyuo gani hivi mnamaliza siku hizi? 4 mouthS = midomo 4.
Ya kweli aya mzee mama????
Haya sasa ni masiharami tangu nimalize chuo,juzuu ya tatu 1971,bado nasota tu,hata ualimu wa UPE ulinipita
Unautakia nini huo uanajeshi? Niliikataa kazi hiyo Kata Kata kabisa, ctaki hata kuisikia.mkuu napatamani sana huko.
Kazi gano ya kipuuzi hii mkuu...??Uoga wa kuthubutu na kulinda personality vinawaponza graduates wengi. Binafsi nifanya kazi ya kiupuuzi kwa macho ya wengi ila hii biashara yangu Ina miezi 3, nilianza na 150k mwezi wa tano sasa mtaji ni milion 2.5 hapo nakula na kulipa Kofi ya nyumba humohumo, vocha huwa naweka kifurushi cha 20k.
Utaniambia kuajiriwa vipi nikuelewe!
AbsolutelyNi rahisi sana kuandika nadharia kuliko ku-experience reality!
Hlf lazima uelewe kila mmoja ana ukurasa wake wa maisha hivyo background za wengine kuzibadilisha ni ngumu kidgo hadi awe boosted na mfumo wake wa elimu!
Biashara ganiUoga wa kuthubutu na kulinda personality vinawaponza graduates wengi. Binafsi nifanya kazi ya kiupuuzi kwa macho ya wengi ila hii biashara yangu Ina miezi 3, nilianza na 150k mwezi wa tano sasa mtaji ni milion 2.5 hapo nakula na kulipa Kofi ya nyumba humohumo, vocha huwa naweka kifurushi cha 20k.
Utaniambia kuajiriwa vipi nikuelewe!
Nakumbuka hicho kipindi cha msoto demu niliyemaliza nae chuo nikiwa na ndoto za kumuoa alinichinjia baharini. Ila Mungu Si Athumani maisha yamerudi kwenye mstari and I am just making my pepa laiki harmonize😃😃😃Msoto baada ya kumaliza chuo usikie hivyo hivyo ni balaa kubwa.
Ukisikiliza wimbo wa Nash MC uitwao maisha baada ya chuo utaelewa zaidi.
Duh mm nlipata kazi wiki ya kwanza tu nlipomaliza chuo ilikuwa unhcr kigoma nikagoma kwenda, baada ya mwezi nikapata kazi mwanza idara ya maji nigsgoma kwenda, bahati mbaya nikatia mimba mschana nikatimuliwa home, mwezi ulofuata nikapata kazi musoma nikamchukua mschana akawa wife nikaenda kuanza kaz
Biashara ipi hiyo nipe uzoefuUoga wa kuthubutu na kulinda personality vinawaponza graduates wengi. Binafsi nifanya kazi ya kiupuuzi kwa macho ya wengi ila hii biashara yangu Ina miezi 3, nilianza na 150k mwezi wa tano sasa mtaji ni milion 2.5 hapo nakula na kulipa Kofi ya nyumba humohumo, vocha huwa naweka kifurushi cha 20k.
Utaniambia kuajiriwa vipi nikuelewe!