Ulinzi wa penzi.......

Asprin

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
67,135
92,405
Penzi siyo pesa, penzi si size ya mtarimbo, penzi si kukata viuno, penzi si kuvaa shanga...........

Penzi ni kitu kingine kabisa..........

Niwasaidie nini mamito? kulinda penzi? Nshawaambia penzi halilindwi....ebo!
Nimejaribu kuwaelezeni kwa lugha ya kizee hamjanielewa. Hebu msomeni mzee mwenzangu hapa chini, labda mtanielewa zaidi.

Ama sijaelewa au nakushangaa!!

Kama siyo kutafuta BP nini???

Naamini kwenye organic products...Let things run themselves as nature wishes!!
 

Mr Rocky

JF-Expert Member
Oct 10, 2007
15,180
14,319
AD let love lead the way maana hii ya kusema unalinda penzi mhhh uhakika upo kidogo sana
Waweza fanya yote kuhakikisgha kuwa unalilinda penzi lako but je wote mko kweney bahari moja na yenye mawimbi sawa au mko kwenye dunia ya vitu visivyowezekana
Maana kama ni kulilinda penzi kweli wote muwe na nia moja sio kila mtu anawaza kivyake
(sijui nimeenda mchomo)
 

Rejao

JF-Expert Member
May 4, 2010
9,232
4,045
Penzi siyo pesa, penzi si size ya mtarimbo, penzi si kukata viuno, penzi si kuvaa shanga...........

Penzi ni kitu kingine kabisa..........
hicho kitu kingine haswaaa..... ndicho tinachotaka kujua kutoka kwako...
 

Baba Erick

JF-Expert Member
Aug 24, 2011
483
74
Vijana tumekuwa na idiology mbaya sana kuwa ulinzi wamapenzi ni HELA. Ukweli ukitaka penzi lenu liwe salama fanya yafuatayo
1. ONYESHA KUMDHAMINI MPENZI WAKO
2. JITAHIDI KUMWONYESHA UNAMJALI, UNAMKUMBUKA KWA MAWASILIANO YA MARA KWA MARA.
3. UNAMTUMIKIA KWA KILA HALI
4. MFANYE WA DHAMANI KWA KUWA MSIKIVU KWAKE.
Hapo kila mmoja atakuwa na uaminifu na hatoruhusu kudanganyika. Ila ukifanya kinyume hayo hapo majambazi wanabeba siku hiyo.
 

Vin Diesel

JF-Expert Member
Mar 1, 2011
9,083
6,334
Hakuna kinachoweza kulinda penzi pesa huweza kulainisha tu lakini unaweza kuwa nayo na wala lisiwe safe...cha msingi ni wewe mwenyewe na mwenzi wako kulindana kwa kupendana kwa dhati.

Mkuu pesa inaweka mahusiano sawa...penye mapenzi ya dhati na pesa ipo,mahusiano hayo yatadumu...tafakari
 

afrodenzi

Platinum Member
Nov 1, 2010
18,146
9,093
Habari zenu binafsi..........

Ni hivi: Penzi halilindwi! Penzi linajilinda lenyewe, ambaye hajaelewa anifuate huku kitandani nimfafanulie. Aje without.........

Kwa hiyo babu kusema nakupenda tu inatosha ??
au kuna vitu zaidi unatakiwa kufanya kuonyesha wampenda mtu?/
 

Mbu

JF-Expert Member
Jan 11, 2007
12,744
7,765
How do you protect your love ?
Je unalinda vipi upendo(penzi)??

nawasalimu nyote , poleni na kazi za hapa na pale
na majuukumu ya maisha..

Swala la upendo ni kitu kizito sana , ni mara nyingi nimeona hapa jamvini,
tunaongelea swala hili . tunafundishana jinsi ya kupenda na kupendana.
na upendo niuongelea hapa ni wa kati ya mke na mume, Gf na Bf, partners.....etc..
na ulinzi ni uongeleao ni wa ndani"emotional side" pamoja na wa nje...

Je tuki linda penzi hii itasaidia ku imarisha uhusiano kati ya wapendanao au ku
punguza talaka au kutengana ??

asanteeni AD..

....ohooo, nawe ushakamatika nini...lol...
ni kama ile sredi ya mwanajamiione kuhusu marking territories...
hebu nikusanye madongo ya kujengea hoja hapa...

...kwa kuanzia, trust na kuheshimiana inachukua sehemu ya kwanza,
ikifuatiwa na masikilizano, na maelewano, halafu kuhurumiana, kusaidiana inafuatia
haya yote niliyoyataja yanadhihirisha upendo kwako mwenyewe na mwenzako, pia kujijali na kumjali mwenzako.

...nitarudi na ufafanuzi mwingine...
 

Asprin

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
67,135
92,405
hicho kitu kingine haswaaa..... ndicho tinachotaka kujua kutoka kwako...
Penzi ni mfanano wa kihisia wa mioyo miwili ya jinsia tofauti..... Hisia hizo zinapovutana na hatimaye kuungana, hakuna mwenye uwezo wa kutenganisha zaidi ya Mungu mwenyewe kupitia halmashauri ya Kifo........... Sasa kama hapa tunazungumzia kulilinda Penzi, tunamaanisha kulilinda dhidi ya mauti.

Labda kama Afroie anataka tumfundishe namna ya kulinda "penzi la wizi" au "penzi la kutamaniana" au "Penzi la kuoneana huruma" au "Penzi la king'ang'anizi"
 

The Finest

JF-Expert Member
Jul 14, 2010
21,607
5,968
Penzi ni mfanano wa kihisia wa mioyo miwili ya jinsia tofauti..... Hisia hizo zinapovutana na hatimaye kuungana, hakuna mwenye uwezo wa kutenganisha zaidi ya Mungu mwenyewe kupitia halmashauri ya Kifo........... Sasa kama hapa tunazungumzia kulilinda Penzi, tunamaanisha kulilinda dhidi ya mauti.

Labda kama Afroie anataka tumfundishe namna ya kulinda "penzi la wizi" au "penzi la kutamaniana" au "Penzi la kuoneana huruma" au "Penzi la king'ang'anizi"
Leo umeamka vizuri
 

afrodenzi

Platinum Member
Nov 1, 2010
18,146
9,093
AD mie nahisi ukianza kulinda penzi utachanganyikiwa na maisha,
Ni bora kuwa huru na mawazo yako kwanza kujiamini mwenyewe na kumwamini mwenza wako ..pia kumuonyesha kuwa unampenda .
Mungu ndie mlinzi wa yote

asante sana kwa mawazo yako..
je kumuonyesha mtu unampenda si ndo kulinda penzi lisiingie pabaya au??
 
11 Reactions
Reply
Top Bottom