Mlinzi Shujaa_
Member
- Mar 30, 2020
- 80
- 112
Je, umeisha wahi kujiuliza utafanya nini gari lako likizama majini , ukivamiwa barabarani au mtu wa karibu yako akipata ajali mbele yako ?
Watu wengi hupoteza maisha au mali si kwasababu hawana nguvu, bali kwa sababu hawana maarifa sahihi ya kufanya sekunde chache za mwanzo wa tukio.
Karibu sana kwenye ukurasa huu rasmi wa elimu ya ulinzi na usalama.
Elimu ya ulinzi na usalama ni nini?
Nimaarifa na ujuzi wa vitendo unaokufanya uwe mlinzi wa kwanza na mwokoaji wa kwanza wa maisha yako na yajamii inayokuzunguka kabla msaada wa polisi au ambulansi haujafika.
Hapa tutakuwa tunajifunza mambo makuu matatu kila wiki.
1. KUTAMBUA NA KUZUIA HATARI
Kusoma mazingira yako barabani na nyumbani ili kukwepa mitego ya wezi, wahalifu, ajali na majanga.
2. KUJIHAMI NA KUWATETEA WENGINE
Mbinu rahisi za kimwili za kujinasua unapo kamatwa , unapo kabwa kwa kabali, unapo zingirwa na vibaka wawili au kundi la vibaka, kushambulia, kuzuia,kutupa,kuvunja viungo vya adui, maeneo djaifu ya kumpiga adui na jinsi ya kuwatetea wengine.
3. UOKOAJI NA HUDUMA YA KWANZA
Hatua za haraka za kuokoa maisha yako au ya majeruhi wakati wa kati ajali za barabarani, moto, kuzama na gari majini na majanga mengine.
AHADI YANGU KWAKO
Kila juma tatu, juma tano, ijumaa na juma pili saa 1 : 00 jioni nitaweka hapa masomo mafupi ya maandishi na video za vitendo zitakazo kufanya uwe salama zaidi wewe na familia yako.
KUmbuka : kujiandaa si woga, bali ni akili !!
Gusa kitufe cha follow / subscribe sasa hivi ili usipitwe na somo hata moja. Pia, tag rafiki yako unaye mtakia usalama hapo chini kwenye comment.