Rejao
JF-Expert Member
- May 4, 2010
- 9,232
- 4,046
Penzi ni mfanano wa kihisia wa mioyo miwili ya jinsia tofauti..... Hisia hizo zinapovutana na hatimaye kuungana, hakuna mwenye uwezo wa kutenganisha zaidi ya Mungu mwenyewe kupitia halmashauri ya Kifo........... Sasa kama hapa tunazungumzia kulilinda Penzi, tunamaanisha kulilinda dhidi ya mauti.
Labda kama Afroie anataka tumfundishe namna ya kulinda "penzi la wizi" au "penzi la kutamaniana" au "Penzi la kuoneana huruma" au "Penzi la king'ang'anizi"
Kweli nimeamini wewe mkongwe wa haya masuala...
inabidi utupe mada kuhusu "penzi la wizi" au "penzi la kutamaniana" au "Penzi la kuoneana huruma" au "Penzi la king'ang'anizi"