Ulinzi mkali kwa Naibu Spika waimarishwa

Ulinzi mkali kwa Naibu Spika waimarishwa

Atakufa yeye, maana sasa kinchofanya kazi ktk anga la Tz siyo uchawi, bali Mungu karuhusu nguvu zake zitumike kuliongoza taifa.
Mungu angeruhusu tusingekuwa tunaua albino kila siku na kutoa kafara watoto wetu...
 
Uchawi wa huyo mnafiki hauna nafasi ktk maisha ya mwanadamu, serikali huwa hailogwi. Ingekuwa hivyo walimu vyuoni wangerogwa sana. Pia unajua gharama ya kumchukiza amri jeshi mkuu wa nchi??? Just wait..., mtaja ona matokeo ya wale wote wanaobeza mamlaka ya Mungu!!
hili la ma-lecturers kurogwa sijui ? Ila nasihi bongo watu wengi ni washirikana, ndo maana utasikia mtu anakuambia huniwezi nmeaga nyumbani, kuhusu kurogwa kwa serikali pia sijui, ila kuna baadhi ya viongozi wamekiri kufanyiwa mambo ya kimila.
 
Kuongezea ulinzi NS inawakwaza nini? Kwani nyie mlitaka kufanya nini mpaka ulinzi ukiongezwa kiwakwaze?
 
teh teh teh teh kilichomtokea Mwl Kigoma anakijua mwenyewe... Wasiombe ZZK aende kushtaki kwa babu zake Kigoma..
hv kweli? hebu nipe stori nmekuwa nikisikia Mzee mkapa aliwahi kushindwa kuhutubia huko? stori zingine kama folktales ha ha ha
 
duuhh ulinz kwake bora alindwe na mungu tu
 
[emoji23][emoji23][emoji23] wanatafuta KIKI kama kawaida waigizaji wapo location,tumewazoea hawa kesho watakamata bunduki na mapanga ilimradi tuamini maigizo yao.
 
Inanikumbusha ile issue ya miaka ileee ya nyuma wakati zito anafukuzwa bungeni....kulikuwa na mbunge fulani alikuwa na kiherehere sana, yeye ndie aliegongelea msumari wa mwisho zitto afukuzwe bungeni.....aisee ule mkono uliokuwa ukinyoshwa mara kwa mara ili aonekane na kujenga hoja zitto afukuzwe ndio huo huo mkono uliokatika na kudondoka ardhini wakat amepata ajali...na tangu hapo huyu jamaa alipotea mazima hadi leo...siasa sometime hahaa
 
Wanasema na idadi ya walinzi alionao?

Upumbavu kabisa huo.

Hakukuwa na haja wala ulazima wa kutaja idadi.
 
Wasije wakamchacha Wangwe wazee wa kukanyaga sheria na kanuni za bunge
 
Back
Top Bottom