Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,266
- 98,312
Unamaanisha ndugai ndiyo basi tena au kaamua kustaafu huo uspika?Labda itakuwa ni maandalizi tu ya kuwa full Spika baada ya kuhitimu mafunzo akiwa NS.
Unamaanisha ndugai ndiyo basi tena au kaamua kustaafu huo uspika?Labda itakuwa ni maandalizi tu ya kuwa full Spika baada ya kuhitimu mafunzo akiwa NS.
Wame ongezeka baada ya yeye kuwa naibu spika au?Maadui watakuwa wameongezeka?
Ushauri wako huu ni mzuri sanaHata akipewa brigade nzima hawezi pata amani. Amani ya kweli hutoka moyoni. Na hupatikana kutokana na matendo yako mema kwa jamii inayokuzunguka. Ajirudi tu ili apate amani ya kweli. Afanye kazi kwa weledi na kanuni bila kuongozwa na maagizo kutoka juu.
Inasemekana yupo india anacheki afya yake sasa ni zaidi ya mwezispika wa bunge yuko wapi wadau....?
Anakuhitaji ukawe mlinzi wake wa piliHaya tumekusikia
Yule papa anelindwa na kigari chenye vioo unaniambiaje kuhusu yeye
HahahahahahaAdui wa ccm ni mwanaccm , ccm hawaachiani hata maji ya kunywa mezani - Jakaya Kikwete .
Suala la MTU kuongezewa ulinzi nalo mpaka litangazwe ? Ili iweje sasa.? Aogopwe au.?Leo katika kipindi cha magazetini Star TV nimesikia serikali imemuongezea ulinzi naibu spika hadi kufikia walinzi watano!
Kuna hatari gani dhidi yake?
Kuishiwa hoja kwa bavicha kupo hiviAnakuhitaji ukawe mlinzi wake wa pili
Uwt hoyeeeeeeeeeeeKuishiwa hoja kwa bavicha kupo hivi
Angejua kuwa watu hawana time naye wala hasingejisumbuaSuala la MTU kuongezewa ulinzi nalo mpaka litangazwe ? Ili iweje sasa.? Aogopwe au.?
Viroba hoyeeeUwt hoyeeeeeeeeeee
Afadhali ni log off kwa kilaza kama weweViroba hoyeee
Kuamuru ni jambo moja na utekelezaji ni jambo jingine.. utekelezaji unaangalia sheria na taratibu zinasemaje..Waziri yupo chini ya naibu spika kiprotokali,halafu uache kukariri mambo,kuamuru NS alindwe na nani ni amri tu
Hata wakolimpa walinzi 1000 Wewe unapungukiwa na nini? Na kama hatari aliyonayo ingekuwa inakuhusu ungeambiwa. Kama hujaambiwa ni kwamba hizo ishu hazikuhusu endelea na kazi zako Mkuu achana na ishu zisizokuhusuLeo katika kipindi cha magazetini Star TV nimesikia serikali imemuongezea ulinzi naibu spika hadi kufikia walinzi watano!
Kuna hatari gani dhidi yake?