Ulimwengu wa kiarabu: Je waraabu wanaipuuza dini?

Vipi uabudu kitu kisicho kuumba? C ndio nikashangaa hamjui nini mana ya kuabudu.

Mfano kama vile ngo'mbe, sanamu na Jesus wote hawahusiki na kuwaumba binadamu, vipi uabudu kisicho kuumba?

Hivi nyie wazima kweli.
Hiyo inakupa tabu gani, acha huyo anayepashwa kuabudiwa ndio aamue, sio wewe. Hata wewe hapo ulipo hujakamilika.
 
Vipi isinipe tabu ikiwa watu wajinga wanatuletea uwongo kwenye Uislam, unataka tunyamaze ili iweje.

Afu useme sijakamilika? Kwenye ibada labda natakiwa jitihada, lakini kuhusu nani wakuabudiwa ni mmoja tu, nipo sawa kabisa. Huwezi nifananisha mimi na wakristo hata siku moja.

Mktisto anabudu binadamu ambaye ni Yesu na Mimi naabudu aliye muumba Yesu na Mimi na Wengine na Vingine.

Allah Akbar yani Mungu ni Mkubwa.
 
Wewe abudu tu huyo allah wako ila hakuna aliyekwambia umuabudu Yesu ila sisi tunachojua tunamuabudu Mungu ila ili uende kwake, "Yesu ndio njia".

Hayo unayotaka kuleta ni propaganda tu. Kaa na imani yako nami nikae na yangu na mwisho atakayeamua ni Mungu mwenyewe. That's all so what a fuss.
 
Dini zipo nyingi, ni dini ipi waarabu wameipuuza, na ni waarabu kutoka wapi??, fafanua hapo.

Kama kupuuza dini ni kupuuza dini zingine mbali na uislamu hiyo siyo ajabu kwasababu waarabu wengi kiasilia ni waislamu.

Hatahivyo si waarabu pekee wanaopuuza dini hata wazungu siku hizi huko ulaya hawaendi tena makanisani kama ilivyokuwa zamani kiasi kwamba baadhi ya yaliyokuwa makanisa yameuzwa na kugeuzwa misikiti, na kumekuwa na wind of change from Christianity to Islam in the West Europe.
Hivi mnavyolazimishaga watu wawe waislamu kwa kuwakejeli kujaribu kuonyesha mapungufu hao watu wakiwa waislamu wanapata nini wanaume watapata mabikira 72 waanze kuwakaza wanawake je?
 
dogo we unaiamini kweli bibilia?

Mtume Muhammad katajwa katika bibilia ya kale kumbukumbu 18:18 Natawainulia wao nabii kutoka katikati ya ndugu zao kama wewe ni msomi wa bibilia nadhani unafaham ndungu wa yahudi ni kinani, kwa ufupi ni Waarabu.

Nabii Musa kazaliwa na Baba na Mama na Muhammed hivyo hivyo, Musa kaowa na Muhammad pia, Musa kapigana vita na Muhammad kapigana vita pia, Musa kaamishwa na Muhammad kaamishwa. Huyo anaetajwa hapo si Yesu, Yesu hana hayo.

Musa kaacha ujumbe juu ya unabii wa Yesu na Muhammad lakini hakutaja jina la nabii yeyote bali alionyesha unabii kwa Milima mitatu.

Kumbukumbu:33:1-4 Mlima Sinai Unamaanisha Musa na Seiri Mlima huu uliitwa tena Mlima wamizaituni ndipo Yesu alipo pata Injili, na Parani ni Arabuni yaani Muhammed. Kama una mashaka ya kwamba parani si Warabuni nitakuonyesheni tena kama Parani ni Bara la Aurabuni.

Mwanzo:20:20- 22 yaani huyo ni Ismail, na ismail kakaa Nyika la Parani na akaolea hapo na yeye ndie Babu wa Waarabu wote Duniani.

Kuna swali lingine?

Wacha kwenda kanisani kuimba kwaya kama mlevi, ingia kwenye msitu wa bibilia uisome kwa kutumia akili.
😂😂😂😂 acha kufanya watu wote ni wapumbavu humu, Muhammad hajawahi kutajwa katika bible eidha kwa jina wala kwa atakalokuja kulifanya.

Roho mtakatifu ndiye aliyetabiriwa ambaye ndiye mwenye nguvu zaidi.
Muhammad alikuwa na mission gani duniani?
Na kabla ya kuanzisha dini yake alikuwa ni mfuasi wa dini gani?
Na unamfahamu aliyemtabiria utume Muhammad na ilikuwa ni wapi?

Note: usilete story za uislamu ulikuwepo kabla wakati hakukuwa na Quran (simaanishi kitabu tu hata ya kukariri)
 
Utafiti umefanywa na BBC ambayo ipo against Islam, unadhani utapata ukweli.
Subiri Press TV watakuja na utafiti wao unaosema Israel 20% ni mashoga,na wewe utauamini tu..Kumbe issue hapa sio nani katoa utafiti,bali wewe mahaba yako yapo kwa nani.
 
😂😂😂😂 acha kufanya watu wote ni wapumbavu humu, Muhammad hajawahi kutajwa katika bible eidha kwa jina wala kwa atakalokuja kulifanya.

Roho mtakatifu ndiye aliyetabiriwa ambaye ndiye mwenye nguvu zaidi.
Muhammad alikuwa na mission gani duniani?
Na kabla ya kuanzisha dini yake alikuwa ni mfuasi wa dini gani?
Na unamfahamu aliyemtabiria utume Muhammad na ilikuwa ni wapi?

Note: usilete story za uislamu ulikuwepo kabla wakati hakukuwa na Quran (simaanishi kitabu tu hata ya kukariri)
Eti Muhamnad hajawahi kutajwa kwenye bibilia kwanza ni jibu bibilia ni kitabu cha Mungu?

Vitabu vya Mungu ni vinne tu Tourat, Zaburi, Injil nap Quran.

Moses, along with David (the Psalms), Jesus ( the gospel), and Muhammad (the Qur'an), is identified as a messenger,

Iko wapi bibila hapo?

Where is the bible?

Ulichio quote ungesoma kabla ya kujibu ungefahamu kama Nabii Mussa alisha toa dalili wazi watakuja Mitume wawilu baada yake ni Yesu na Muhammad, kama kuna mwingine we tuambie nani.

Mtume Mahammad kabla ya Uislam hakuwa na dini yoyote ile sababu Mungu alisha usafisha moyo wake nalijulikana kama ni Sadiq Al Amin yani Mkweli na Mwaminifu.

Ukisikia mkristo na myahudi wanasema aliwahi kuwa kwenye dini zao basi ni blaa blaa zisizo kuwa na ukweli wowote ule.

Nani alimpa utume? Hilo swali ilikuwa unatakiwa jiuluza wewe kwanza nani alimpa utume paulo?

Aliye mpaa utume Nabii Muhammed, na uhakika Nabii Musa alisha jibu na dalili zipo wazi, BTW paulo kunawakati ana changanyikiwa akawa ana quote kitabu cha Nabii Musa hata kwrnye bibilia ya paulo lipo jibu.

Huyo huyo paulo anawambie utume wanaondolewa wayahudi unapelekwa kwa wajukuu wa Ismail na bado hamuoni?
 
Ni kitabu cha manabii na mitume chenye maandiko matakatifu kutoka kwa Mungu.

Vitabu vya Mungu ni vinne tu Tourat, Zaburi, Injil nap Quran.

Moses, along with David (the Psalms), Jesus ( the gospel), and Muhammad (the Qur'an), is identified as a messenger,

Iko wapi bibila hapo?

Where is the bible?
Naona umevamia mada nawewe wakati huna uelewa hata wa kutambua Biblia ni nini.

Zaburi pamoja na Torati hivi ni mjumuisho wa vitabu vilivyoandikwa na manabii wawili Daudi (David) na Musa (Mosses).
Katika Biblia ya agano la kale tuna vitabu vitano vya Torati
(1) Mwanzo
(2) Kumbukumbu la torati
(3) Malaki
(4) Mambo ya walawi
(5) kutoka

Hii Biblia inaitwa "Hebrew bible na ndiyo inayotumiwa na wayahudi hata sasa imeandikwa takribani miaka elfu 3 kabla ya ujio wa Yesu Kristo.

Agano la kale limejumuisha vitabu vya manabii wengi sana, Kuna kina Habakuki, Esther, Samuel na vingine vingi sana vilijumuishwa katika kitabu kimoja!

Unaposema Injili tafsiri yake ni habari njema kwa watu wote na hiyo habari njema inapatikana kwenye agano jipya.

Unapozungumzia injili kwa taarifa yako unazungumzia Timotheo, Mathayo, Ufunuo wa Yohana, Petro, warumi, wakorinto, wagalatia n.k hii ndio injili

sasa labda utuambie ni injili gani mnaitambua nyie?

Ulichio quote ungesoma kabla ya kujibu ungefahamu kama Nabii Mussa alisha toa dalili wazi watakuja Mitume wawilu baada yake ni Yesu na Muhammad, kama kuna mwingine we tuambie nani.
Katika vitabu vyote 72 ukiachilia mbali vingine ambavyo havijachapwa ila nivya watakatifu hakuna sehemu hata moja Muhammad alitabiriwa wala kutajwa kwa jina.

Yesu alitabiriwa na ikaelezwa mission yake itakuwa ni nini ulimwenguni.
Mission ya Kristo ilikuwa ni "Take away sin" na aliikamilisha.

Muhammad mission yake ilikuwa ni nini?

Mtume Mahammad kabla ya Uislam hakuwa na dini yoyote ile sababu Mungu alisha usafisha moyo wake nalijulikana kama ni Sadiq Al Amin yani Mkweli na Mwaminifu.
Ina maana alikuwa mpagani sio?

Ukisikia mkristo na myahudi wanasema aliwahi kuwa kwenye dini zao basi ni blaa blaa zisizo kuwa na ukweli wowote ule.

Nani alimpa utume? Hilo swali ilikuwa unatakiwa jiuluza wewe kwanza nani alimpa utume paulo?
Mtume paulo alifundisha iliyo kweli ndio maana akawa mtume.

Wewe unamfahamu aliyemtabiria utume Muhammad alikuwa nani?
Aliye mpaa utume Nabii Muhammed, na uhakika Nabii Musa alisha jibu na dalili zipo wazi, BTW paulo kunawakati ana changanyikiwa akawa ana quote kitabu cha Nabii Musa hata kwrnye bibilia ya paulo lipo jibu.

Huyo huyo paulo anawambie utume wanaondolewa wayahudi unapelekwa kwa wajukuu wa Ismail na bado hamuoni?
Nipe Bible verses zinazoeleza utume wanaondolewa wayahudi na kupelekewa wana wa Ishmael

Alafu nipe verses pia zinazoonyesha kuchanganyikiwa kwa St paul mpaka akawa ana Quote vitabu vya Mosses

Musa alijibu wapi kuwa kuna dalili za Muhammad?
 
Matokeo kwa Kiingereza halafu maelezo kwa Kiswahili, hii ndio "BBC Swahili"?
 
Eti Muhamnad hajawahi kutajwa kwenye bibilia kwanza ni jibu bibilia ni kitabu cha Mungu?

Vitabu vya Mungu ni vinne tu Tourat, Zaburi, Injil nap Quran.

Moses, along with David (the Psalms), Jesus ( the gospel), and Muhammad (the Qur'an), is identified as a messenger,

Iko wapi bibila hapo?

Where is the bible?

Ulichio quote ungesoma kabla ya kujibu ungefahamu kama Nabii Mussa alisha toa dalili wazi watakuja Mitume wawilu baada yake ni Yesu na Muhammad, kama kuna mwingine we tuambie nani.

Mtume Mahammad kabla ya Uislam hakuwa na dini yoyote ile sababu Mungu alisha usafisha moyo wake nalijulikana kama ni Sadiq Al Amin yani Mkweli na Mwaminifu.

Ukisikia mkristo na myahudi wanasema aliwahi kuwa kwenye dini zao basi ni blaa blaa zisizo kuwa na ukweli wowote ule.

Nani alimpa utume? Hilo swali ilikuwa unatakiwa jiuluza wewe kwanza nani alimpa utume paulo?

Aliye mpaa utume Nabii Muhammed, na uhakika Nabii Musa alisha jibu na dalili zipo wazi, BTW paulo kunawakati ana changanyikiwa akawa ana quote kitabu cha Nabii Musa hata kwrnye bibilia ya paulo lipo jibu.

Huyo huyo paulo anawambie utume wanaondolewa wayahudi unapelekwa kwa wajukuu wa Ismail na bado hamuoni?
Wewe acha propaganda zako, Mohammed hajatabiriwa kwenye Bible, acheni story za kuungaunga. Mafundisho ya Yesu na Mohammed hayashabihiani kabisa.

When Jesus was too pacific and compassionate, Mohammed was too belligerent and fire breathing militant a characteristic feature that he passed on to most of his followers.
 
Mungu wa ISRAEL hana Kitabu kinachopinga quran, quran Ni Kitabu cha Mungu wa maka
 
Muhamadi Hata mukilazimisha namna gani haingii na kuwa miongoni mwa manabii wa MUNGU Mwenyezi wa ISRAEL
 
Hivi mnavyolazimishaga watu wawe waislamu kwa kuwakejeli kujaribu kuonyesha mapungufu hao watu wakiwa waislamu wanapata nini wanaume watapata mabikira 72 waanze kuwakaza wanawake je?

Kwakuwa hoja yako imekaa kihuni na mimi nakujibu kihuni;

"Hao wanawake na wao watapata wanaume marijali 72," , just simple.😁😁.
 
Mwarabu Mweupe ambapo Uislam ndo ulitokea, katoa maoni yake (yao)...
Cha ajabu Mwarabu mweusi hataki kukubari....!
 
Ni kitabu cha manabii na mitume chenye maandiko matakatifu kutoka kwa Mungu..
Naona umechemsha hivi Matthews, Lukes, John and Peter ni Malaika gani au lini waliongea na Mungu au walifikishiwa vipi ujumbe mpaa wakaja na hizo Gospel za kwao

Naona umevamia mada nawewe wakati huna uelewa hata wa kutambua Biblia ni nini.
Hahaha tulizana kijana bibilia hizo zenu za sasa ni new edition mnazo zisambaza zinawachanganya sana ndii sababu mara mnasema Yesu Mtume mara Mungu

Zaburi pamoja na Torati hivi ni mjumuisho wa vitabu vilivyoandikwa na manabii wawili Daudi (David) na Musa (Mosses).
Katika Biblia ya agano la kale tuna vitabu vitano vya Torati
(1) Mwanzo
(2) Kumbukumbu la torati
(3) Malaki
(4) Mambo ya walawi
(5) kutoka.
Sawa viwili tu vingine vimetokea wapi, hivi we akilini mwako unadhani vitabu vya Mungu vinandikwa tu bila dalili yoyote ile, vitabu vya Mungu sio vitabu vya shule au magazeti kila kukicha unakuja na neno jipya.

Hii Biblia inaitwa "Hebrew bible na ndiyo inayotumiwa na wayahudi hata sasa imeandikwa takribani miaka elfu 3 kabla ya ujio wa Yesu Kristo.
Kumbe bibilia ilikuwepo kabla ya Yesu, yani Yesu hakuwa mleta bibilia na kama ilikuwepo kabla ya Yesu ni Mtume gani alikuja nayo? Au ndio zile zile mnavitabu havijulikani vimetokea wapi

Agano la kale limejumuisha vitabu vya manabii wengi sana, Kuna kina Habakuki, Esther, Samuel na vingine vingi sana vilijumuishwa katika kitabu kimoja!
Leta dalili ambaza Nabii Mussa na Daudi walisema vitakuja vitabu hivyo.

Unapo sema vinajumlisha Mitume wengi, Mitume gani tena walipewa vitabu zaidi ya hawa wanne. Mussa, Daudi, Yesu na Muhammad.

Unaposema Injili tafsiri yake ni habari njema kwa watu wote na hiyo habari njema inapatikana kwenye agano jipya.
Injili ipatikane kwenye agano Jipya kwani Yesu aliwambia muwachane na Injil yake sababu haifai mpaa mje na Mpya, mnachekesha sana. Vitabu vya Mungu mnavibadilisha mnavyo taka nyie.

Unapozungumzia injili kwa taarifa yako
unazungumzia Timotheo, Mathayo, Ufunuo wa Yohana, Petro, warumi, wakorinto, wagalatia n.k hii ndio injili
Hapana hao wote hakuna aliye ongea na Malaika wa Mungu vipi wawe na vitabu, nani kati yao alifikishiwa ujumbe na Mungu andike kitabu na zipo wapi dalili vitabu vyao vimeruhusiwa na Mungu, nani aliye wapa idhini wandike maneno ya Mungu, je Mungu aliwasiliana noa vipi direct au kwa njia ya Malaika yupi?

sasa labda utuambie ni injili gani mnaitambua nyie?
Injil ya Yesu ambayo anasema hakutumwa ila kwa kondoo walio potea wa kiyahudi, na alikuja kuwambie wamuabudu Mungu mmoja tu. Yesu hakusema katumwa kwa wengine zaidi ya Wayahudi sa we ni Myahudi?

Au Yesu ni mlevi aliongea vile wakati kalewa

Katika vitabu vyote 72 ukiachilia mbali vingine ambavyo havijachapwa ila nivya watakatifu hakuna sehemu hata moja Muhammad alitabiriwa wala kutajwa kwa jina.
Hahaha kumbe bado na vingine havijachapwa copy, kweli mnachekesha vitabu vya Mungu vimekuwa kama magazine. Tukiwambia vitabu vya Mungu mnavibadilisha mnabisha, eti vingine bado havijachapishwa cjui mnangojea ujumbe wa shetani awambie mbadilishe kitu gani tena.

Yesu alitabiriwa na ikaelezwa mission yake itakuwa ni nini ulimwenguni.
Mission ya Kristo ilikuwa ni "Take away sin" na aliikamilisha.
Yesu hakuwa na mission zaidi ya kuwaongoza kondoo wa kiyahudi, tumeisha waeleza Yesu alisha sema kila mtu atabeba dhambi zake.

Muhammad mission yake ilikuwa ni nini?
Safi sana Mtume Muhammad ni mwokozi wa viumbe wote, na ni Mtume wa mwisho hakuna atakaye kuja baada yake.

Ina maana alikuwa mpagani sio?
Hivi Nabii Mussa na Ibrahim na Mitume wote na wao walikuwa wapagani? Yani kama Mtu hakujiingiza katika dini isiyo kuwa ya Mungu anakuwa mpagani?

Nipe andiko linalo sema Yesu, Mussa na Daudi walikuwa dini yao ukristo.

Mtume paulo alifundisha iliyo kweli ndio maana akawa mtume.
Ukweli aliutoa wapi, wakati Paulo anajulikana alikuwa mzinifu na ndio aliye tunga ukristo.

Nilikuliza kule juu nani aliye uleta ukristo ni Yesu au Paulo naona ukawepa

Wewe unamfahamu aliyemtabiria utume Muhammad alikuwa nani?
Wote Yesu na Nabii Mussa walimtabiria.

Kumbukumbu la Tourat na John; Yeye hawezi kuzungumza mwenyewe, lakini atasema chochote anachokisikia, naye atawaambieni mambo yanayokuja" (John 16: 13, NRSV)

Nipe Bible verses zinazoeleza utume wanaondolewa wayahudi na kupelekewa wana wa Ishmael
Isaiah 42:4). Verse 11, connects that awaited one with the descendants of Kedar. Who is Kedar? According to Genesis 25:13, Kedar was the second son of Ishmael

Alafu nipe verses pia zinazoonyesha kuchanganyikiwa kwa St paul mpaka akawa ana Quote vitabu vya Mosses
Kwani Paulo alikuwa Mtume Mpaa zije verses zimtaje yeye, kwenye bibilia zake ndio anajichanganya, kuchukua maandishi ya Tourati na Injil afu anajipachikia atakavyo, mengine ya kweli mengine uongo

Musa alijibu wapi kuwa kuna dalili za Muhammad?
Deuteronom 18:18 hapo alimkusudia Mtume Muhammad, nyie mnajidai Yesu vipi awe Yesu wakati nyie Yesu mnasema Mungu. Si mtupe ukweli Yesu ni Mtume au Mungu. Ili tuangalie vipi hapo ni Yesu au Muhammad aliyemkusudia Nabii Mussa. Ukweli tutaupata hapa kwenye maneno ya Nabii Mussa usikimbie.
 
Naona umechemsha hivi Matthews, Lukes, John and Peter ni Malaika gani au lini waliongea na Mungu au walifikishiwa vipi ujumbe mpaa wakaja na hizo Gospel za kwao

Hahaha tulizana kijana bibilia hizo zenu za sasa ni new edition mnazo zisambaza zinawachanganya sana ndii sa babu mara mnasema Yesu Mtume mara Mungu

Sawa viwili tu vingine vimetokea wapi, hivi we akilini mwako unadhani vitabu vya Mungu vinandikwa tu bila dalili yoyote ile, vitabu vya Mungu sio vitabu vya shule au magazeti kila kukicha unakuja na neno jipya.

Kumbe bibilia ilikuwepo kabla ya Yesu, yani Yesu hakuwa mleta bibilia ba kama ilikuwepo kabla ya Yesu ni Mtume gani alikuja nayo? Au ndio zile zile mnavitabu havijulikani vimetokea wapi

Leta dalili ambaza Nabii Mussa na Daudi walisema vitakuja vitabu hivyo.

Unapo sema vinajumlisha Mitume wengi, Mitume gani tena walipewa vitabu zaidi ya hawa wanne. Mussa, Daudi, Yesu na Muhammad.

Injili ipatikane kwenye agano Jipya kwani Yesu aliwambia muwachane na Injil yake sababu haifai mpaa mje na Mpya, mnachekesha sana. Vitabu vya Mungu mnavibadilisha mnavyo taka nyie.

Hapana hao hakuna aliye ongea na Malaika wa Mungu vipi wawe na vitabu, nani kati yao alifikishiwa ujumbe na Mungu andike kitabu na zipo wapi dalili vitabu vyao vimeruhusiwa na Mungu nani aliye wapa idhini wandike maneno ya Mungu, je Mungu aliwasiliana noa vipi direct au kwa njia ya Malaika yupi?

Injil ya Yesu ambayo anasema hakutumwa ila kwa kondoo walio potea wa kiyahudi na alikuja kuwambie wamuabudu Mungu mmoja tu. Yesu hakusema katumwa kwa wengine zaidi ya Wayahudi sa we ni Myahudi? Au Yesu ni mlevi aliongea vile wakati kalewa

Hahaha kumbe bado na vingine havijachapwa, kweli mnachekesha vitabu vya Mungu vimekuwa kama magazine. Tukiwambia vitabu vya Mungu mnavibadilisha mnabisha, eti vingine bado havijachapishwa cjui mnangojea ujumbe wa shetani awambie mbadilishe kitu gani tena.

Yesu hakuwa na mission zaidi ya kuwaongoza kondoo wa kiyahudi, tumeisha waeleza Yesu alisha sema kila mtu atabeba dhambi zake.

Safi sana Mtume Muhammad ni mwokozi wa viumbe wote, na ni Mtume wa mwisho hakuna atakaye kuja baada yake.

Hivi Nabii Mussa na Ibrahim na Mitume wote na wao walikuwa wapagani? Yani kama Mtu hakujiingiza katika dini isiyo kuwa ya Mungu anakuwa mpagani?

Nipe andiko linalo sema Yesu, Mussa na Daudi walikuwa dini yao ukristo.

Ukweli aliutoa wapi, wakati Paulo anajulikana alikuwa mzinifu na ndio aliye tunga ukristo.

Nilikuliza kule juu nani aliye uleta ukristo ni Yesu au Paulo naona ukawepa

Wote Yesu na Nabii Mussa walimtabiria.

Kumbukumbu la Tourat 18:18 na Yohana; Yeye hawezi kuzungumza mwenyewe, lakini atasema chochote anachokisikia, naye atawaambieni mambo yanayokuja" (Yohana 16: 13, NRSV)

Isaiah 42:4). Verse 11, connects that awaited one with the descendants of Kedar. Who is Kedar? According to Genesis 25:13, Kedar was the second son of Ishmael,

Kwani Paulo alikuwa Mtume Mpaa zije verses zimtaje yeye, kwenye bibilia zake ndio anajichanganya, kuchukua maandishi ya Tourati na Injil afu anajipachikia atakavyo.

Deuteronom 18:18 hapo alimkusudia Mtume Muhammad, nyie mnajidai Yesu vipi awe Yesu wakati nyie Yesu mnasema Mungu. Si mtupe ukweli Yesu ni Mtume au Mungu. Ili tuangalie vipi hapo ni Yesu au Muhammad aliyemkusudia Nabii Mussa. Ukweli tutaupata hapa kwenye maneno ya Nabii Mussa usikimbie.
Deuteronomy 18:18 ni wana wa Yakobo ndio wanaozungumzwa sasa huyo Mohammed alikuwa ni uzao wa Yakobo.??

Very ludicrous. Bible haimtambui huyo mtu anaitwa Mohammed na wala hilo jina haliwezi kabisa kuwa kwenye Bible. Never.
Nyie tafuteni tu labda kwenye misaafu mingine kama ipo lkn kwenye Biblia hayumo na kwanza hatambuliki na wakristo kama mtume wa Mungu.
 
Back
Top Bottom