Ulimwengu wa kiarabu: Je waraabu wanaipuuza dini?

Deuteronomy 18:18 ni wana wa Yakobo ndio wanaozungumzwa sasa huyo Mohammed alikuwa ni uzao wa Yakobo.??

Very ludicrous. Bible haimtambui huyo mtu anaitwa Mohammed na wala hilo jina haliwezi kabisa kuwa kwenye Bible. Never.
Nyie tafuteni tu labda kwenye misaafu mingine kama ipo lkn kwenye Biblia hayumo na kwanza hatambuliki na wakristo kama mtume wa Mungu.
Leta dalili anae ongelewa ni katika mwana wa Yokobo?

Usiongee kama mlevi hapo anayezungumzwa hapo ni Mtume atakuja baada ya Mussa, ana sifa kama za Mussa.
 
Wewe acha propaganda zako, Mohammed hajatabiriwa kwenye Bible, acheni story za kuungaunga. Mafundisho ya Yesu na Mohammed hayashabihiani kabisa.

When Jesus was too pacific and compassionate, Mohammed was too belligerent and fire breathing militant a characteristic feature that he passed on to most of his followers.
Haha hebu nipe point yako hapa Isaiah 29:12 Kakusudiwa nani?

Isaiah 29:12

and the book is delivered to him who is not learned, saying, Read this, I pray you; and he says, I am not learned.
 
Ipo kwenye hadith mnazoziamini

Haya nawewe nipe ya wanawake waislamu kupewa mabwana 72 wakuwakaza huko

Mimi nilidhani ungenukuu Qur'an!!, kumbe unanukuu hadithi na unaacha maneno halisi ya Mungu.

Ukisoma katika Qur'an katika 78:33, Mungu anasema kuhusu raha za watu watakaoingia peponi ikiwa ni pamoja na:-

و كواعب اترابا (waa kawaa a' ba atraabin), yaani, (And young maidens of equal age)- hii imesemwa kwa ajili ya watu wa peponi wanaume na hapo hakuna idadi ya 72.

Mungu akifafanua jambo hilo katika mahali pengine ndani ya Qur'an (56:34) anasema kuhusu hao watu wa peponi (wote kwa ujumla yaani wanawake na wanaume):-

و فرش مرفوعة (wa furushin marfuua'tin) yaani, And they will have nobles SPOUSES.

They (all of the inmates of the heaven) will have noble spouses.

👆🏻 ndiyo maana nikasema kama wanaume watapewa mabikira 72 huko peponi basi na wanawake pia watapewa marijali 72 huko peponi.
 
Naona umechemsha hivi Matthews, Lukes, John and Peter ni Malaika gani au lini waliongea na Mungu au walifikishiwa vipi ujumbe mpaa wakaja na hizo Gospel za kwao
Kwanza kabisa niweke hali ya hewa sawa sikumbuki kama nimebishana na wewe kuhusu dini na kwa sababu huna uelewa kabisa hata chembe.

Haya twende kazi, Mathayo, Luka, Yohana na petro hawa walipewa kazi na Yesu kueneza injili kwa mataifa yote.

Hahaha tulizana kijana bibilia hizo zenu za sasa ni new edition mnazo zisambaza zinawachanganya sana ndii sa babu mara mnasema Yesu Mtume mara Mungu
Kipi kinachanganya?

Sawa viwili tu vingine vimetokea wapi, hivi we akilini mwako unadhani vitabu vya Mungu vinandikwa tu bila dalili yoyote ile, vitabu vya Mungu sio vitabu vya shule au magazeti kila kukicha unakuja na neno jipya.
Ukirejea mwanzo hapo nimesema sikumbuki kuwa nimebishana na wewe kuhusu dini kwa sababu hauna uelewa wowote.
Sijaelewa hapa umeandika manini iweke vizuri hii

Kumbe bibilia ilikuwepo kabla ya Yesu, yani Yesu hakuwa mleta bibilia ba kama ilikuwepo kabla ya Yesu ni Mtume gani alikuja nayo? Au ndio zile zile mnavitabu havijulikani vimetokea wapi
Nazidi kusisitiza sijabishana na wewe nini hiki umeandika?
Unahisi ni kitabu gani kilichotabiri ujio wa Messiah duniani kama si Biblia ya Agano la kale ya wayahudi?

[/QUOTE]
Leta dalili ambaza Nabii Mussa na Daudi walisema vitakuja vitabu hivyo.[/QUOTE]
Hakuna mahala kokote kwenye Biblia kilipotabiriwa kitabu chochote ila alitabiriwa aliye mkuu jina lipitalo majina yote Yesu Kristo.

Unapo sema vinajumlisha Mitume wengi, Mitume gani tena walipewa vitabu zaidi ya hawa wanne. Mussa, Daudi, Yesu na Muhammad.
Huyo wenu sisi hatumjui, Musa, Yesu, na Daudi hawa hawakukabwa ili wapewe vitabu ila walivyofany ulimwenguni ndivyo vilivyopo kwenye Bible mpaka na maagizo yao na si wao kwa akili zao bali ni Mungu alikuwa anazungumza nao.

Kuna mtu anaitwa Elia kwenye Biblia huyu alipaa kwenda mbinguni na farasi unaona namna Biblia ilivyopana ana maajabu makubwa sana na alimuachia utume wake Elisha.

Yohana huyu alifunuliwa ufunuo na Mungu na alikuwa akifanya kazi ya kubatiza watu.

Injili ipatikane kwenye agano Jipya kwani Yesu aliwambia muwachane na Injil yake sababu haifai mpaa mje na Mpya, mnachekesha sana. Vitabu vya Mungu mnavibadilisha mnavyo taka nyie.
Hueleweki, hivi ukitaka kupata habari za Yesu alifanya nini alifundisha lipi na lipi utapata katika Biblia ipi?

Ni kitabu gani cha Mungu tumekibadilisha?

Hapana hao hakuna aliye ongea na Malaika wa Mungu vipi wawe na vitabu, nani kati yao alifikishiwa ujumbe na Mungu andike kitabu na zipo wapi dalili vitabu vyao vimeruhusiwa na Mungu nani aliye wapa idhini wandike maneno ya Mungu, je Mungu au Malaika yupi?
nakutajia mnabii wachache waliozungumza na Mungu kuna Elia na Petro na petro ni mmoja wa wanafunzi wa Kristo.

Na kristo ni sauti ya Mungu wanafunzi wake waliifanya kazi yake kikamilifu.

Injil ya Yesu ambayo anasema hakutumwa ila kwa kondoo walio potea wa kiyahudi na alikuja kuwambie wamuabudu Mungu mmoja tu. Yesu hakusema katumwa kwa wengine zaidi ya Wayahudj sa we ni Myahudi? Au Yesu ni mlevi aliongea vile wakati kalewa
Tunarudi palepale kuwa wewe huijui Bible
Kabla ya ujio wa kristo Mungu alikuwa wa wayahudi tu na mataifa mengine yalikuwa yakiitwa mbwa na hata ndani ya wayahudi ambao walikuwa wenye dhambi walikuwa ni mbwa hawaruhusiwi hata kuwagusa wale waliokuwa wakijiita watakatifu.

Mathayo 24:14
"Tena habari njema ya ufalme itahubiriwa katika ulimwengu wote kuwa ushuhuda kwa mataifa yote hapo ndipo ule mwisho utakapokuja."

Baada ya mission ya Kristo kukamilika ndipo Mungu akawa wa mataifa yote.
Na ukumbuke Yesu alianzisha huduma yake ndiyo ilipelekea kuanza kupingwa na makuhani

Hahaha kumbe bado na vingine havijachapwa, kweli mnachekesha vitabu vya Mungu vimekuwa kama magazine. Tukiwambia vitabu vya Mungu.mnavibadilisha mnabisha eti vingine bado havijachapishwa cjui mnangojea ujumbe wa shetanj awambie mbadilishe kitu gani tena.
Ndio maana nakwambia wewe huijui Biblia kuna vitabu maelfu kwa maelfu na vinatumika

Yesu hakuwa na mission zaidi ya kuwaongoza kondoo wa kiyahudi, tumeisha waeleza Yesu alisha sema kila mtu atabeba dhambi zake.
Mission ya Yesu duniani ilikuwa ni kuondosha dhambi na kazi yake ilikamilika.

Safi sana Mtume Muhammad ni mwokozi wa viumbe wote, na ni Mtume wa mwisho hakuna atakaye kuja baada yake.
Aliokoa vipi viumbe wote?

Hivi Nabii Mussa na Ibrahim na Mitume wote na wao walikuwa wapagani? Yani kama Mtu hakujiingiza katika dini isiyo kuwa ya Mungu anakuwa mpagani?
Mussa alikuwa muyahudi na alizaliwa na wazazi wa kiyahudi.
Na ibrahim ni baba wa imani na imani yake inanasabishwa sana na uyahudi

Nipe andiko linalo sema Yesu, Mussa na Daudi walikuwa dini yao ukristo.
Hawa wote wawili walikuwa Wayahudi kabla ya Yesu kuanzisha huduma yake mwenyewe

Ukweli aliutoa wapi, wakati Paulo anajulika alikuwa mzinifu na ndio aliye tunga ukristo.
Alizini na kina nini?
Ukristo ulianza miaka ya 30-36

Nilikuliza kule juu nani aliye uleta ukristo ni Yesu au Paulo naona ukawepa
Nahisi umekurupuka ulikuwa unajibizana na mtu mwingine

[/QUOTE]
Wote Yesu na Nabii Mussa walimtabiria.

Isaiah 42:4). Verse 11, connects that awaited one with the descendants of Kedar. Who is Kedar? According to Genesis 25:13, Kedar was the second son of Ishmael,[/QUOTE]

Isaiah 42:1 Behold my servant, whom I uphold; my elect, in whom my soul delights; I have put my spirit upon him; he shall bring forth judgment to the nations.
Refutation: The servant of Isaiah 42 is Israel, not Muhammad. The servant is identified as the nation of Israel in the chapter before (Isaiah 41) and other parts of Isaiah.
Isaiah 41:8 But you, Israel, are my servant, Jacob whom I have chosen, the seed of Abraham my friend.9 You whom I have taken from the ends of the earth, and called you from its farthest corners, and said to you, You are my servant; I have chosen you, and not cast you away.
Isaiah 44:21 Remember these, O Jacob and Israel; for you are my servant; I have formed you; you are my servant; O Israel, you shall not be forgotten by me.

Hivi Muhammad ni mwana wa Israel?

Kwani Paulo alikuwa Mtume Mpaa zije verses zimtaje yeye, kwenye bibilia zake ndio anajichanganya, kuchukua maandishi ya Tourati na Injil afu anajipachikia atakavyo.
yani uliyekuwa ukijibizana nae alipata tabu sana kutokana na uelewa wako pamoja na uandishi
Haya zitaje hizo verses za Paul alizozitoa kutoka kwenye vitabu vingine na kuviweka kwenye vitabu vyake ni zipi?

Deuteronom 18:18 hapo alimkusudia Mtume Muhammad, nyie mnajidai Yesu vipi awe Yesu wakati nyie Yesu mnasema Mungu. Si mtupe ukweli Yesu ni Mtume au Mungu. Ili tuangalie vipi hapo ni Yesu au Muhammad alimkusudia Nabij Mussa.
MUHAMMAD ni mwana wa israel?
 
Mimi nilidhani ungenukuu Qur'an!!, kumbe unanukuu hadithi na unaacha maneno halisi ya Mungu.

Ukisoma katika Qur'an katika 78:33, Mungu anasema kuhusu raha za watu watakaoingia peponi ikiwa ni pamoja na:-

و كواعب اترابا (waa kawaa a' ba atraabin), yaani, (And young maidens of equal age)- hii imesemwa kwa ajili ya watu wa peponi wanaume na hapo hakuna idadi ya 72.

Mungu akifafanua jambo hilo katika mahali pengine ndani ya Qur'an (56:34) anasema kuhusu hao watu wa peponi (wote kwa ujumla yaani wanawake na wanaume):-

و فرش مرفوعة (wa furushin marfuua'tin) yaani, And they will have nobles SPOUSES.

They (all of the inmates of the heaven) will have noble spouses.

👆🏻 ndiyo maana nikasema kama wanaume watapewa mabikira 72 huko peponi basi na wanawake pia watapewa marijali 72 huko peponi.
Kwa hiyo hadith zenu sio maneno ya Mungu na hamziamini?
 
Hadithi zipo sahihi,zipo dhaifu, na zipo za uongo.

Hadithi ni masimulizi nukuu za maneno aliyoyasema mtukufu Mtume (saw) katika uhai wake, masimulizi hayo yakahifadhiwa katika vitabu, kuna vitabu kadhaa vya hadithi za mtume (saw) lakini hivi viwili ndivyo sahihi zaidi ya vingine baada ya Qur'an, navyo ni Bukhari na Muslim. Vitabu vingine ni kama Abu Dawud,Tifmidhi, Ibn Majah,Nasai nk.

Kuitambua hadithi sahihi ni ile isiyopingana na aya za Qur'an, Qur'an ndiyo kipimo cha kupima usahihi wa Hadithi.

Hivyo unapotaka kujua uislamu kwanza yakupasa usome Qur'an ndipo uende k usoma hadithi au unaposoma hadithi nenda kalinganishe na Qur'an kuangalia kama kuna "conformity".
 
Umeisoma hiyo hadith ya mabikra 72 na ukajua ni ya nani ushangae?
Au wewe ni sheikh ubwabwa unaenda miskitini wakati wa sherehe tu?
 
Isaiah 42:1 Behold my servant, whom I uphold; my elect, in whom my soul delights; I have put my spirit upon him; he shall bring forth judgment to the nations.
Refutation: The servant of Isaiah 42 is Israel, not Muhammad. The servant is identified as the nation of Israel in the chapter before (Isaiah 41) and other parts of Isaiah.
Isaiah 41:8 But you, Israel, are my servant, Jacob whom I have chosen, the seed of Abraham my friend.9 You whom I have taken from the ends of the earth, and called you from its farthest corners, and said to you, You are my servant; I have chosen you, and not cast you away.
Isaiah 44:21 Remember these, O Jacob and Israel; for you are my servant; I have formed you; you are my servant; O Israel, you shall not be forgotten by me.

Hivi Muhammad ni mwana wa Israel?
Step by step sababu kila ni ki quote unakuja uharo ulio post hivyo si lazima uvuruge kuweka quote kama hujui.

Isaya dalili zangu hizo

Scripture Compared to Hadith Sahih Al-Bukhari
This claim is further based on the titles that are given to Muhammad - Isaiah 42 compared to Bukhari 3:335:

Isaiah 42:1 Behold my servant, whom I uphold; mine elect, in whom my soul delighteth; I have put my spirit upon him: he shall bring forth judgment to the Gentiles.
Bukhari 3:335 You are My servant and My messenger. I have named you "al Mutawakkil' (meaning "the one who depends on Allah').
Isaiah 42:2 He shall not cry, nor lift up, nor cause his voice to be heard in the street.
Bukhari 3:335 You are neither discourteous, harsh nor a noise-maker in the markets..
Isaiah 42:3 A bruised reed shall he not break, and the smoking flax shall he not quench: he shall bring forth judgment unto truth.
Bukhari 3:335 And you do not do evil to those who do evil to you, but you deal with them with forgiveness and kindness.
Isaiah 42:4 . . . he will not falter or be discouraged till he establishes justice on earth. In his law the islands will put their hope.
Bukhari 3:335 I have named you "Al-Mutawakkil" (meaning "Allah's dependent")....Allah will not let him die till he makes upright the crooked people by making them say: "None has the right to be worshipped but Allah."
Isaiah 42:5-6 This is what God the LORD says-- he who created the heavens and stretched them out, who spread out the earth and all that comes out of it, who gives breath to its people, and life to those who walk on it: "I, the LORD, have called you in righteousness; I will take hold of your hand. I will keep you and will make you to be a covenant for the people and a light for the Gentiles..."
Bukhari 3:335 I have named you 'Al-Mutawakkil' (meaning 'Allah's dependent')....Allah will not let him die till he makes upright the crooked people by making them say: 'None has the right to be worshipped but Allah.'
Isaiah 42:7 . . . to open eyes that are blind, to free captives from prison and to release from the dungeon those who sit in darkness.
Bukhari 3:335 With which will be opened blind eyes and deaf ears and enveloped hearts.
Isaiah 42:10-11 Sing to the LORD a new song, his praise from the ends of the earth, you who go down to the sea, and all that is in it, you islands, and all who live in them. Let the desert and its towns raise their voices; let the settlements where Kedar lives rejoice. Let the people of Sela sing for joy; let them shout from the mountaintops.

Kuhusu walio tumwa kutangangaza Injil wapi walienda kutangaza Africa? Au India

Hao kina John na Mathayo hata kumuona Yesu hawajawahi kumuona aliwatuma vipi? Kwenye ndoto.

Kuhusu Paulo fatilia story zake vizuri utakuta aibu zake uzinifu na uuwaji.

Mtume Muhammad hana haja ya uisrael taifa lililo laniwa na Mungu.

Wako wapi Mitume baada ya Mtume Muhammad?

Hawatatokea na hata tokea na Yesu akirudi kama atarudi basi na yeye lazima awe mwenye kufata Amri yake Mtume Muhammad.

Nilisha sema Musa alisema kwenye Kumbukumbu:33:1-4 Mlima Sinai Unamaanisha Musa na Seiri Mlima huu uliitwa tena Mlima wamizaituni ndipo Yesu alipo pata Injili, na Parani ni Arabuni yaani Muhammed. Kama una mashaka ya kwamba parani si Warabuni ni wapi?

Afu Nabii Mussa alihiji pia

Psalm 84:5-7Common English Bible (CEB)

5 Those who put their strength in you are truly happy;
pilgrimage is in their hearts.
6 As they pass through the Baca Valley,[a]
they make it a spring of water.
Yes, the early rain covers it with blessings.
7 They go from strength to strength,
until they see the supreme God in Zion

Tupe dalili zako kuna Haji zaidi ya hii wanayo Hiji Waislam na ina maji ya zam zam.

Na Baca ni wapi kama c Makkah.

Dogo we bado sana kuijua bibilia rudi ukasome utakuta Uislam ndio njia ya peponi c ukristo
 
Umeisoma hiyo hadith ya mabikra 72 na ukajua ni ya nani ushangae?
Au wewe ni sheikh ubwabwa unaenda miskitini wakati wa sherehe tu?

Wewe ni mtu wa ajabu sana Hadithi uilete wewe halafu mimi nikutafutie imetoka kitabu gani??!!, hii ndiyo shida ya kuparamia vitu usivyokuwa na elimu navyo, unapofedheheka unaanza kuomba msaada.

For the sake of argument tufanye kwamba hao mabikira 72 au hata zaidi ya hao watapatikana siku ya kiyama kwa waislamu wema. So what??

Mbona umeshikwa na wivu kiasi hicho kusikia kuwa waislamu peponi watapata mabikira 72 na wenza (spouses)??, niwaulize, nyinyi kwenu fundisho la kuoa mnalipata wapi ilhali mwanzilishi wenu wa ukristo hakuoa!!?, waislamu tumelazimishwa kuoa hapa duniani na huko akhera tutapata raha za ndoa (zinazofanana) na raha za hapa duniani kwa kupewa wenza, sasa shida yako nini??.

Kama duniani kuoana (kuwa na mwenza) si dhambi iweje huko akhera iwe ni dhambi??!!.

Chuki na husuda tu sisizo na mantiki wala msingi ndizo zinatafuna roho zenu. Mbona hutaji raha zingine zilizopo huko mbali na hao wanawake 72??!!, nikisema wewe unatuonea WIVU na Chuki utakataa??!

Lete hoja za msingi na mashiko tukuelewe.

Mtume wetu (saw) alituasa aliposema; " Jihadharini na husuda hakika hasada inakula mema ya mtu jinsi moto unavyokula kuni".
 
Step by step sababu kila ni ki quote unakuja uharo ulio post hivyo si lazima uvuruge kuweka quote kama hujui.

Isaya dalili zangu hizo

Scripture Compared to Hadith Sahih Al-Bukhari
This claim is further based on the titles that are given to Muhammad - Isaiah 42 compared to Bukhari 3:335:

Isaiah 42:1 Behold my servant, whom I uphold; mine elect, in whom my soul delighteth; I have put my spirit upon him: he shall bring forth judgment to the Gentiles.
Bukhari 3:335 You are My servant and My messenger. I have named you "al Mutawakkil' (meaning "the one who depends on Allah').
Isaiah 42:2 He shall not cry, nor lift up, nor cause his voice to be heard in the street.
Bukhari 3:335 You are neither discourteous, harsh nor a noise-maker in the markets..
Isaiah 42:3 A bruised reed shall he not break, and the smoking flax shall he not quench: he shall bring forth judgment unto truth.
Bukhari 3:335 And you do not do evil to those who do evil to you, but you deal with them with forgiveness and kindness.
Isaiah 42:4 . . . he will not falter or be discouraged till he establishes justice on earth. In his law the islands will put their hope.
Bukhari 3:335 I have named you "Al-Mutawakkil" (meaning "Allah's dependent")....Allah will not let him die till he makes upright the crooked people by making them say: "None has the right to be worshipped but Allah."
Isaiah 42:5-6 This is what God the LORD says-- he who created the heavens and stretched them out, who spread out the earth and all that comes out of it, who gives breath to its people, and life to those who walk on it: "I, the LORD, have called you in righteousness; I will take hold of your hand. I will keep you and will make you to be a covenant for the people and a light for the Gentiles..."
Bukhari 3:335 I have named you 'Al-Mutawakkil' (meaning 'Allah's dependent')....Allah will not let him die till he makes upright the crooked people by making them say: 'None has the right to be worshipped but Allah.'
Isaiah 42:7 . . . to open eyes that are blind, to free captives from prison and to release from the dungeon those who sit in darkness.
Bukhari 3:335 With which will be opened blind eyes and deaf ears and enveloped hearts.
Isaiah 42:10-11 Sing to the LORD a new song, his praise from the ends of the earth, you who go down to the sea, and all that is in it, you islands, and all who live in them. Let the desert and its towns raise their voices; let the settlements where Kedar lives rejoice. Let the people of Sela sing for joy; let them shout from the mountaintops.

Kuhusu walio tumwa kutangangaza Injil wapi walienda kutangaza Africa? Au India
Ayseee pole sana.
Matthayo alitangaza injili Ethiopia (uhabeshi)
Marko alitangaza injili Alexandria misri.
Batholomayo huyu alitangaza Asia.
Tomaso huyu alitangaza injili chennai (india ya sasa)

Nadhani unaanza kupata picha kuwa unachokijua ni sehemu ndogo sana ya Biblia.

Hao kina John na Mathayo hata kumuona Yesu hawajawahi kumuona aliwatuma vipi? Kwenye ndoto.
Wewe ni mjinga na ukiendele hivi naachana na wewe sitakujibu tena maana na mimi nitakuwa mjinga.

Yesu alikuwa na wanafunzi kumi na wawili.
(1) Petro
(2) Yohana mbatizaji (huyu ndiye aliyembatiza Yesu)
(4) Yakobo
(5) Luka
(6) Marko
(7) Yuda (thadei)
(8) Matthayo
(9) Battholomayo
(10) Andrea
(11) Yuda (iskariote)
(12) Yakobo (mwana wa zebedayo)

Haya umetambua kuwa hawa waliishi na Yesu na walienda nae kila sehemu?

Kuhusu Paulo fatilia story zake vizuri utakuta aibu zake uzinifu na uuwaji.
Leta maandiko ya uzinifu wa Paul na uuwaji wake hapa

Mfano mimi nikikwambia Muhammad alikuwa mzinzi nina uthibitisho aliowa mtoto wa miaka sita na akaowa mzee yani wajane alikuwa anajibebea tu na ni mtu aliyewakataza msisome Bible huku kuna mahala kasema mkitaka kuujua ukweli muisome.

Sijasahau nipe maandiko ya uzinzi na uuwaji wa st paul

Mtume Muhammad hana haja ya uisrael taifa lililo laniwa na Mungu.
Alililaani lini na kwa sababu gani?

Wako wapi Mitume baada ya Mtume Muhammad?
Hili ni tatizo ulilonalo wapi nimezungumzia jambo la kuwepo watume baada ya Muhammad?
Kwanza nimemkataa simjui na Ukristo haumjui

Hawatatokea na hata tokea na Yesu akirudi kama atarudi basi na yeye lazima awe mwenye kufata Amri yake Mtume Muhammad.
Yani Yesu kristo aliyeketi mkono wa kuume wa Mungu baba afuate amri za mtu aliyekufa na kuwaambia mumuombee maana hajui aendako?

Afuate amri za mtu ambaye hakuwa na miujiza yoyote?
Afuate amri za mtu aliyeshindwa kuyashinda mauti?
Afuate amri za mtu ambaye hajawahi kufufua, kuponya wagonjwa n.k si bora amfuate hata Elia sasa hahaha wewe jamaa bwana

Nilisha sema Musa alisema kwenye Kumbukumbu:33:1-4 Mlima Sinai Unamaanisha Musa na Seiri Mlima huu uliitwa tena Mlima wamizaituni ndipo Yesu alipo pata Injili, na Parani ni Arabuni yaani Muhammed. Kama una mashaka ya kwamba parani si Warabuni ni wapi?
Nimekuuliza swali je Muhammad ni mwana wa Israel ukasema Israel ni taifa lililo laaniwa na Muhammad ametabiriwa katika "Tanak" agano la kale haya mimi nakuwekea mpaka 29 alafu unijuze je Muhammad ni mwana wa Yakobo?

KUMBUKUMBU LA TORATI-DEUTERONOMY
MLANGO 33
1 Hii ndiyo baraka ya Musa, huyo mtu wa Mungu, aliyowabarikia wana wa Israeli kabla ya kufa kwake.
2 Akasema,Bwana alitoka Sinai,Akawaondokea kutoka Seiri;Aliangaza katika kilima cha Parani,Akaja Meribath-Kadeshi.Upande wake wa kuume Palikuwa na sheria ya moto-moto kwao.
3 Hakika awapenda hayo makabila ya watu; Watakatifu wake wote wamo mkononi mwako; Nao waliketi miguuni pako; Watapokea kila mmoja katika maneno yako.
4 Musa alituagiza torati, Ni urithi kwa mkutano wa Yakobo.
5 Akawa mfalme katika Yeshuruni, Walipokutanika wakuu wa watu, Makabila yote ya Israeli pamoja.
6 Reubeni na aishi, asife; Lakini watu wake na wawe wachache.
7 Na baraka ya Yuda ni hii; akasema, Isikize, Ee Bwana, sauti ya Yuda, Umlete ndani kwa watu wake; Alijitetea kwa mikono yake; Nawe utakuwa msaada juu ya adui zake.
8 Akamnena Lawi, Thumimu yako na Urimu yako vina mtakatifu wako, Uliyemjaribu huko Masa; Ukateta naye kwenye maji ya Meriba.
9 Aliyemtaja baba yake na mama yake, Mimi sikumwona; Wala nduguze hakuwakubali; Wala hakuwajua watoto wake mwenyewe; Maana wameliangalia neno lako, Wamelishika agano lako.
10 Watamfundisha Yakobo hukumu zako, Na Israeli torati yako, Wataweka uvumba mbele zako, Na sadaka nzima za kuteketezwa madhabahuni mwako.
11 Ee Bwana, ubariki mali zake, Utakabali kazi ya mikono yake; Uwapige viuno vyao waondokao juu yake, Na wenye kumchukia, wasiinuke tena.
12 Akamnena Benyamini, Mpenzi wa Bwana atakaa salama kwake; Yuamfunika mchana kutwa, Naye hukaa kati ya mabega yake.
13 Na Yusufu akamnena, Nchi yake na ibarikiwe na Bwana; Kwa vitu vya thamani vya mbinguni, kwa huo umande, Na kwa kilindi kilalacho chini,
14 Na kwa vitu vilivyo bora vya matunda ya jua, Na kwa vitu vilivyo bora vya maongeo ya miezi,
15 Na kwa vitu viteule vya milima ya kale, Na kwa vitu vilivyo bora vya vilima vya milele,
16 Na kwa vitu vilivyo bora vya nchi, na kujaa kwake, Na uradhi wake aliyekaa ndani ya kile kijiti; Na ije baraka juu ya kichwa chake Yusufu, Juu ya utosi wa kichwa chake aliyetengwa na nduguze.
17 Mzaliwa wa kwanza wa ng'ombe wake mume, enzi ni yake; Na pembe zake ni pembe za nyati; Kwa hizo atayasukuma mataifa yote, hata ncha za nchi; Nao ni makumi ya maelfu ya Efraimu, Nao ni maelfu ya Manase.
18 Na Zabuloni akamnena, Furahi Zabuloni, katika kutoka kwako;
19 Watayaita mataifa waje mlimani; Wakasongeze huko sadaka za haki; Kwa kuwa watanyonya wingi wa bahari, Na akiba zilizofichamana za mchangani.
20 Na Gadi akamnena, Na abarikiwe amwongezaye Gadi; Yeye hukaa kama simba mke, Hurarua mkono, naam, na utosi wa kichwa.
21 Akajichagulia sehemu ya kwanza, Kwani ndiko lilikowekwa fungu la mtoa-sheria; Akaja pamoja na wakuu wa watu, Akaitekeleza haki ya Bwana, Na hukumu zake kwa Israeli.
22 Na Dani akamnena, Dani ni mwana-simba, Arukaye kutoka Bashani.
23 Na Naftali akamnena, Ee Naftali, uliyeshiba fadhili, Uliyejawa na baraka ya Bwana; Umiliki magharibi na kusini.
24 Na Asheri akamnena, Na abarikiwe Asheri kwa watoto; Na akubaliwe katika nduguze, Na achovye mguu wake katika mafuta.
25 Makomeo yako yatakuwa ya chuma na shaba; Na kadiri ya siku zako ndivyo zitakavyokuwa nguvu zako.
26 Hapana aliyefanana na Mungu, Ee Yeshuruni, Ajaye amepanda juu ya mbingu ili akusaidie. Na juu ya mawingu katika utukufu wake.
27 Mungu wa milele ndiye makazi yako, Na mikono ya milele i chini yako. Na mbele yako amemsukumia mbali adui; Akasema, Angamiza.
28 Na Israeli anakaa salama, Chemchemi ya Yakobo peke yake, Katika nchi ya ngano na divai; Naam, mbingu zake zadondoza umande.
29 U heri, Israeli. Ni nani aliye kama wewe, taifa lililookolewa na Bwana! Ndiye ngao ya msaada wako, Na upanga wa utukufu wako; Na adui zako watajitiisha chini yako, Nawe utapakanyaga mahali pao pa juu.

Afu Nabii Mussa alihiji pia wapi? Tupe dalili zako kuna Haji zaidi ya hii wanayo Hiji Waislam.
Hili mimi silijui Musa alikuwa Muyahudi sasa muyahudi na kuhiji wapi na wapi?

Dogo we bado sana kuijua bibilia rudi ukasome utakuta Uislam ndio njia ya peponi c ukristo

Mimi ninaweza nikawa kaka wa mama yako, mimi siwezi kuwa kwenye dini inayonitaka niowe wanawake wengi.
Siwezi kuiamini dini ya Muddy
Siwezi kuwa mfuasi wa mtu aliyekufa huku hajui anaenda wapi anaomba mumuombee.

Mimi ni mfuasi na mwili wa Kristo!
Kwanza yu hai anatenda hata sasa.
Ameketi mkono wa kuume wa Mungu baba.
Ni njia ya uzima.
Kwa hakika Jesus is the LORD.
 
Tuache sisi

Sisi hatunywi Pombe yenu duniani Lakini tukifika Ahera tutakuta mifereji inayotiririsha mvinyo mtamu

Mtume wetu alishatuahidi.

Hata Wanawake tutakuta Mabikira wa kutosha na tutapewa uwezo wa kuwalala na kuwaridhisha.

Kama huamini nikupe Sura hapa.

Wewe Mgalatia utaniambia nini?
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji2954][emoji2954][emoji2954]
 
Wewe ni mtu wa ajabu sana Hadithi uilete wewe halafu mimi nikutafutie imetoka kitabu gani??!!, hii ndiyo shida ya kuparamia vitu usivyokuwa na elimu navyo, unapofedheheka unaanza kuomba msaada.
Sikukwambia unitafutie mwandishi ni nani wa hiyo hadith kisha unijuze bali nilikuuliza hivi unamjua muandishi wa hiyo hadith ushangae?

Ni muandishi anayeheshimika na kukubalika sana katika uislamu wenu

For the sake of argument tufanye kwamba hao mabikira 72 au hata zaidi ya hao watapatikana siku ya kiyama kwa waislamu wema. So what??
Sio tufanye sema ndivyo mahadith yenu yanavyosema.

Mbona umeshikwa na wivu kiasi hicho kusikia kuwa waislamu peponi watapata mabikira 72 na wenza (spouses)??,
Sijashikwa na wivu kabisa ila niliuliza swali na niliyemuuliza haikuwa wewe

niwaulize, nyinyi kwenu fundisho la kuoa mnalipata wapi ilhali mwanzilishi wenu wa ukristo hakuoa!!?, waislamu tumelazimishwa kuoa hapa duniani na huko akhera tutapata raha za ndoa (zinazofanana) na raha za hapa duniani kwa kupewa wenza, sasa shida yako nini??.
mathayo19:11-12)
(Muhubili 4:9-12
Marko 10: 11-12 Yesu alisema, "Kila mtu atakayemwacha mkewe na kuoa mwingine azini juu yake; na mke, akimwacha mumewe na kuolewa na mtu mwingine, azini.

Yesu alisema tukiweza kuwa kama yeye na tuwe, ndio maana unawaona watawa na makasisi makanisani

Kama duniani kuoana (kuwa na mwenza) si dhambi iweje huko akhera iwe ni dhambi??!!.
Pepo na ngono wapi na wapi? Ina maana tamaa za kimwili hadi peponi zipo?

Chuki na husuda tu sisizo na mantiki wala msingi ndizo zinatafuna roho zenu. Mbona hutaji raha zingine zilizopo huko mbali na hao wanawake 72??!!, nikisema wewe unatuonea WIVU na Chuki utakataa??!
Siwezi kuwaonea wivu swali langu la msingi wanawake wao watapata nini kumbuka wao watakufa wakiwa hawana bikira

Lete hoja za msingi na mashiko tukuelewe.

Mtume wetu (saw) alituasa aliposema; " Jihadharini na husuda hakika hasada inakula mema ya mtu jinsi moto unavyokula kuni".

Na kristo alisema
Mathayo 5:44 lakini mimi nawaambia, Wapendeni adui zenu, waombeeni wanaowaudhi,
45 ili mpate kuwa wana wa Baba yenu aliye mbinguni; maana yeye huwaangazia jua lake waovu na wema, huwanyeshea mvua wenye haki na wasio haki.
 
Haha hebu nipe point yako hapa Isaiah 29:12 Kakusudiwa nani?

Isaiah 29:12

and the book is delivered to him who is not learned, saying, Read this, I pray you; and he says, I am not learned.
Isaiah 29:12 inatabiriwa ujio wa Yesu Kristo mwana wa Mungu na ukitaka kuielewewa vizuri soma John 7:13-17 ndio utaipata.

Mohammed hayumo ktk Bible na hatambuliki kama mtume wa Mungu. Huwezi ukapotosha neno la Mungu ukabaki salama. Acheni porojo bwana Bible haijaficha kitu. Jesus is the ONLY way and he is the Alpha and Omega. Hayo mengine ni usanii tu kama usanii mwingine.
 
Leta dalili anae ongelewa ni katika mwana wa Yokobo?

Usiongee kama mlevi hapo anayezungumzwa hapo ni Mtume atakuja baada ya Mussa, ana sifa kama za Mussa.
Wewe soma maandiko, tatizo msaafu usio wako unaushupalia tu bila sababu, lini huyo Mohammed akawa ktk uzao wa Yakobo?? Ktk maandiko hapo subject ni wana wa Israel, sasa Mohammed na Israel wapi na wapi. Acha porojo.
 
Ayseee pole sana.
Matthayo alitangaza injili Ethiopia (uhabeshi)
Marko alitangaza injili Alexandria misri.
Batholomayo huyu alitangaza Asia.
Tomaso huyu alitangaza injili chennai (india ya sasa)

Nadhani unaanza kupata picha kuwa unachokijua ni sehemu ndogo sana ya Biblia.

Wewe ni mjinga na ukiendele hivi naachana na wewe sitakujibu tena maana na mimi nitakuwa mjinga.

Yesu alikuwa na wanafunzi kumi na wawili.
(1) Petro
(2) Yohana mbatizaji (huyu ndiye aliyembatiza Yesu)
(4) Yakobo
(5) Luka
(6) Marko
(7) Yuda (thadei)
(8) Matthayo
(9) Battholomayo
(10) Andrea
(11) Yuda (iskariote)
(12) Yakobo (mwana wa zebedayo)

Haya umetambua kuwa hawa waliishi na Yesu na walienda nae kila sehemu?

Leta maandiko ya uzinifu wa Paul na uuwaji wake hapa

Mfano mimi nikikwambia Muhammad alikuwa mzinzi nina uthibitisho aliowa mtoto wa miaka sita na akaowa mzee yani wajane alikuwa anajibebea tu na ni mtu aliyewakataza msisome Bible huku kuna mahala kasema mkitaka kuujua ukweli muisome.

Sijasahau nipe maandiko ya uzinzi na uuwaji wa st paul

Alililaani lini na kwa sababu gani?

Hili ni tatizo ulilonalo wapi nimezungumzia jambo la kuwepo watume baada ya Muhammad?
Kwanza nimemkataa simjui na Ukristo haumjui

Yani Yesu kristo aliyeketi mkono wa kuume wa Mungu baba afuate amri za mtu aliyekufa na kuwaambia mumuombee maana hajui aendako?

Afuate amri za mtu ambaye hakuwa na miujiza yoyote?
Afuate amri za mtu aliyeshindwa kuyashinda mauti?
Afuate amri za mtu ambaye hajawahi kufufua, kuponya wagonjwa n.k si bora amfuate hata Elia sasa hahaha wewe jamaa bwana

Nimekuuliza swali je Muhammad ni mwana wa Israel ukasema Israel ni taifa lililo laaniwa na Muhammad ametabiriwa katika "Tanak" agano la kale haya mimi nakuwekea mpaka 29 alafu unijuze je Muhammad ni mwana wa Yakobo?

KUMBUKUMBU LA TORATI-DEUTERONOMY
MLANGO 33
1 Hii ndiyo baraka ya Musa, huyo mtu wa Mungu, aliyowabarikia wana wa Israeli kabla ya kufa kwake.
2 Akasema,Bwana alitoka Sinai,Akawaondokea kutoka Seiri;Aliangaza katika kilima cha Parani,Akaja Meribath-Kadeshi.Upande wake wa kuume Palikuwa na sheria ya moto-moto kwao.
3 Hakika awapenda hayo makabila ya watu; Watakatifu wake wote wamo mkononi mwako; Nao waliketi miguuni pako; Watapokea kila mmoja katika maneno yako.
4 Musa alituagiza torati, Ni urithi kwa mkutano wa Yakobo.
5 Akawa mfalme katika Yeshuruni, Walipokutanika wakuu wa watu, Makabila yote ya Israeli pamoja.
6 Reubeni na aishi, asife; Lakini watu wake na wawe wachache.
7 Na baraka ya Yuda ni hii; akasema, Isikize, Ee Bwana, sauti ya Yuda, Umlete ndani kwa watu wake; Alijitetea kwa mikono yake; Nawe utakuwa msaada juu ya adui zake.
8 Akamnena Lawi, Thumimu yako na Urimu yako vina mtakatifu wako, Uliyemjaribu huko Masa; Ukateta naye kwenye maji ya Meriba.
9 Aliyemtaja baba yake na mama yake, Mimi sikumwona; Wala nduguze hakuwakubali; Wala hakuwajua watoto wake mwenyewe; Maana wameliangalia neno lako, Wamelishika agano lako.
10 Watamfundisha Yakobo hukumu zako, Na Israeli torati yako, Wataweka uvumba mbele zako, Na sadaka nzima za kuteketezwa madhabahuni mwako.
11 Ee Bwana, ubariki mali zake, Utakabali kazi ya mikono yake; Uwapige viuno vyao waondokao juu yake, Na wenye kumchukia, wasiinuke tena.
12 Akamnena Benyamini, Mpenzi wa Bwana atakaa salama kwake; Yuamfunika mchana kutwa, Naye hukaa kati ya mabega yake.
13 Na Yusufu akamnena, Nchi yake na ibarikiwe na Bwana; Kwa vitu vya thamani vya mbinguni, kwa huo umande, Na kwa kilindi kilalacho chini,
14 Na kwa vitu vilivyo bora vya matunda ya jua, Na kwa vitu vilivyo bora vya maongeo ya miezi,
15 Na kwa vitu viteule vya milima ya kale, Na kwa vitu vilivyo bora vya vilima vya milele,
16 Na kwa vitu vilivyo bora vya nchi, na kujaa kwake, Na uradhi wake aliyekaa ndani ya kile kijiti; Na ije baraka juu ya kichwa chake Yusufu, Juu ya utosi wa kichwa chake aliyetengwa na nduguze.
17 Mzaliwa wa kwanza wa ng'ombe wake mume, enzi ni yake; Na pembe zake ni pembe za nyati; Kwa hizo atayasukuma mataifa yote, hata ncha za nchi; Nao ni makumi ya maelfu ya Efraimu, Nao ni maelfu ya Manase.
18 Na Zabuloni akamnena, Furahi Zabuloni, katika kutoka kwako;
19 Watayaita mataifa waje mlimani; Wakasongeze huko sadaka za haki; Kwa kuwa watanyonya wingi wa bahari, Na akiba zilizofichamana za mchangani.
20 Na Gadi akamnena, Na abarikiwe amwongezaye Gadi; Yeye hukaa kama simba mke, Hurarua mkono, naam, na utosi wa kichwa.
21 Akajichagulia sehemu ya kwanza, Kwani ndiko lilikowekwa fungu la mtoa-sheria; Akaja pamoja na wakuu wa watu, Akaitekeleza haki ya Bwana, Na hukumu zake kwa Israeli.
22 Na Dani akamnena, Dani ni mwana-simba, Arukaye kutoka Bashani.
23 Na Naftali akamnena, Ee Naftali, uliyeshiba fadhili, Uliyejawa na baraka ya Bwana; Umiliki magharibi na kusini.
24 Na Asheri akamnena, Na abarikiwe Asheri kwa watoto; Na akubaliwe katika nduguze, Na achovye mguu wake katika mafuta.
25 Makomeo yako yatakuwa ya chuma na shaba; Na kadiri ya siku zako ndivyo zitakavyokuwa nguvu zako.
26 Hapana aliyefanana na Mungu, Ee Yeshuruni, Ajaye amepanda juu ya mbingu ili akusaidie. Na juu ya mawingu katika utukufu wake.
27 Mungu wa milele ndiye makazi yako, Na mikono ya milele i chini yako. Na mbele yako amemsukumia mbali adui; Akasema, Angamiza.
28 Na Israeli anakaa salama, Chemchemi ya Yakobo peke yake, Katika nchi ya ngano na divai; Naam, mbingu zake zadondoza umande.
29 U heri, Israeli. Ni nani aliye kama wewe, taifa lililookolewa na Bwana! Ndiye ngao ya msaada wako, Na upanga wa utukufu wako; Na adui zako watajitiisha chini yako, Nawe utapakanyaga mahali pao pa juu.

Hili mimi silijui Musa alikuwa Muyahudi sasa muyahudi na kuhiji wapi na wapi?

Mimi ninaweza nikawa kaka wa mama yako, mimi siwezi kuwa kwenye dini inayonitaka niowe wanawake wengi.
Siwezi kuiamini dini ya Muddy
Siwezi kuwa mfuasi wa mtu aliyekufa huku hajui anaenda wapi anaomba mumuombee.

Mimi ni mfuasi na mwili wa Kristo!
Kwanza yu hai anatenda hata sasa.
Ameketi mkono wa kuume wa Mungu baba.
Ni njia ya uzima.
Kwa hakika Jesus is the LORD.
Nikikueleza dogo bibilia hujaifahamu bado unabisha, hivi kumbu kumbu ya Taurat pale ilimkusudia Mtume yupi? Mbona unakwepa?

Mtume yupi Nabii Musa alikuwa kampoint? Mbona unakimbia hujibu.

Na Nabii Musa alienda Haji tena sehemu hio kwenye Haji ina Maji ni wapi?

Sa kama kila mwana wa Bani Israel c Muislam, vipi Musa alienda Haji?

Tukirudi kwa huyo paul.

Paul argues successfully that Gentile Christians need not follow Jewish law; returns to Antioch; confronts Peter over question of Jewish law.

Sa we vipi umfate mtu ambaye anakataza mafunzo ya Yesu?

Yohana 18:22 “Basi aliposema hayo, mtumishi mmoja wapo aliyesimama akampiga Yesu kofi, akisema wamjibu hivi kuhani mkuu

Mathayo 26:67 “Ndipo wakamtemea mate ya uso, wakampiga makonde, wengine wakampiga makofi

Ingelikuwa Yesu ni Mungu wasingeweza kumpiga makofi wala kumtemea.

Sasa tuone hali na imani ya wanafunzi wa Yesu.

1. Yesu alisema, hata sasa ninyi nanyi mngali hamna akili? (Mathayo 15:16)

2. Alimwambia Petro kwamba; “Ewe mwenye imani haba, mbona uliona shaka? (Mathayo 14:31).

3. Petro alikanusha kuwa mfuasi wa Yesu mara tatu bali alimlaani. (Mathayo 26:69-75).

4. Yuda Iskariote alimuuza Yesu kwa shilingi 30 tu.(Mathayo 26:15).

5. Wakati Yesu alikuwa hatarini, wanafunzi waliendelea kulala). Mathayo 26:40-45; Marko 14:36:041).

6. Yuda alijinyonga. (Mathayo 27:5).

7. Imani ya wanafunzi: “Kwa sababu ya upungufu wa imani yenu” (Mathayo 17:20).

8. Ndipo wanafunzi wote wakamwacha wakakimbia.(Mathayo 26:50).

9. Wengi wataniambia siku ile; Bwana, Bwana hatukufanya unabii kwa jina lako, na kwa jina lako kutoa pepo, na kwa jina lako kufanya miujiza mingi? Ndipo
nitawaambia dhahiri. Sikuwajua ninyi kamwe; ondokeni kwangu, ninyi mtendao maovu. (Mathayo 7:22-23).

Hapa juu mmesoma hali na imani ya wanafunzi wa Bwana Yesu sawa na Biblia. Lakini sisi Waislamu hatuamini kwamba Nabii yeyote anaweza kushindwa kiasi hiki kwamba asiweze kupata matunda ya juhudi yake na athari nzuri isitokee kwa mahubiri na mafundisho yake.

Hata katika Qur'an Tukufu wanafunzi
wa Yesu wametajwa kuwa mfano mzuri juu ya ulimi wa Yesu menyewe. Qur'an: “Enyi mlioamini! Muwe wasaidizi wangu kwa Mwenyezi Mungu kama alivyosema Isa bin Mariam kuwaambia wanafunzi (wake): Ni nani wasaidizi wangu kwa ajili ya Mwenyezi Mungu? Wanafunzi wakasema: Sisi ni wasaidizi wa Mwenyezi Mungu.” Quran ndio inampa heshima.

Unaposema wanafunzi wa Yesu walienda kutangaza Injil nje ya taifa la Wayahudi, hao watakuwa wafuasi wa Paulo c Yesu.

Yesu alisema Injil yake ni kwa kondoo wale wa Kiyahudi tu tena waliopotea.

Unapo sema hakuna bani Israel ni Muislam huoni kama unaota, we unajua nini mana ya Uislam?

Unapo sema Nabii Ibrahim ndio baba wa Waisrael dalili zako ziko wapi? Quran inasema Ibrahim hakuwa Myahudi wala Mkristo na hii hapa dalili, we nipe dali yako.

3.67. Abraham was not a Jew, nor a Christian; but he was one pure of faith and Muslim (who submitted to God with a sound heart). He was never of those who associate partners with God.
Print​
E-mail​

مَا كَانَ إِبْرَاهِيمُ يَهُودِيّاً وَلاَ نَصْرَانِيّاً وَلَكِن كَانَ حَنِيفاً مُّسْلِماً وَمَا كَانَ مِنَ الْمُشْرِكِينَ​
67. Abraham was not a Jew, nor a Christian; but he was one pure of faith and Muslim (who submitted to God with a sound heart). He was never of those who associate partners with God.13

Nikikuambia Paulo alikuwa ni mzinifu unabisha hebu pia hii link

Afu usiniite Mjinga huwezi kuleta mafunzo na dalili kalale mbele, mjinga ni wewe ambaye anambiwa na Yesu, injili yake ni kwa taifa la Israel tu, c kwa mataifa mengine, anawacha mafunzo ya Yesu anachukua mafunzo ya Paulo.

Mjinga ni wewe unaye ambiwa kwenye bibilia hivi Yesu anawambia hivi wana wa israel, Mungu wangu na Mungu wenu ni mmoja tu, we unampinga Yesu na unamuita Yesu ni Mungu.

Ujinga umeushikilia afu unabisha.
 
Nikikueleza dogo bibilia hujaifahamu bado unabisha

Paul argues successfully that Gentile Christians need not follow Jewish law; returns to Antioch; confronts Peter over question of Jewish law

Yohana 18:22 “Basi aliposema hayo, mtumishi mmoja

wapo aliyesimama karibu akampiga Yesu kofi

akisema, Wamjibu hivi Kuhani Mkuu.”
Mathayo 26:67 “Ndipo wakamtemea mate ya uso,
wakampiga makonde; wengine wakampiga makofi.”
Ingelikuwa Yesu ni Mungu wasingeweza kumpiga makofi wala kumtemea mate.

Sasa tuone hali na imani ya wanafunzi wa Yesu.

1. Yesu alisema, hata sasa ninyi nanyi mngali hamna
akili? (Mathayo15:16).

2. Alimwambia Petro kwamba; “Ewe mwenye imani
haba, mbona uliona shaka? (Mathayo 14:31).
3. Petro alikanusha kuwa mfuasi wa Yesu mara tatu
bali alimlaani. (Mathayo 26:69-75).
4. Yuda Iskariote alimuuza Yesu kwa shilingi 30 tu.
(Mathayo 26:15).
5. Wakati Yesu alikuwa hatarini, wanafunzi waliendelea
kulala). Mathayo 26:40-45; Marko 14:36:041).
6. Yuda alijinyonga. (Mathayo 27:5).
7. Imani ya wanafunzi: “Kwa sababu ya upungufu wa
imani yenu” (Mathayo 17:20).
8. Ndipo wanafunzi wote wakamwacha wakakimbia.
(Mathayo 26:50).
9. Wengi wataniambia siku ile; Bwana, Bwana
hatukufanya unabii kwa jina lako, na kwa jina lako kutoa
pepo, na kwa jina lako kufanya miujiza mingi? Ndipo
nitawaambia dhahiri. Sikuwajua ninyi kamwe; ondokeni
kwangu, ninyi mtendao maovu. (Mathayo 7:22-23).
Hapa juu mmesoma hali na imani ya wanafunzi
wa Bwana Yesu sawa na Biblia. Lakini sisi Waislamu
hatuamini kwamba Nabii yeyote anaweza kushindwa
kiasi hiki kwamba asiweze kupata matunda ya juhudi
yake na athari nzuri isitokee kwa mahubiri na
mafundisho yake. Hata katika Qur'an Tukufu wanafunzi
wa Bwana Yesu wametajwa kuwa mfano mzuri juu ya
ulimi wa Bwana Yesu menyewe. Qur'an: “Enyi
mlioamini! Muwe wasaidizi wangu kwa Mwenyezi
Mungu kama alivyosema Isa bin Mariam kuwaambia
wanafunzi (wake): Ni nani wasaidizi wangu kwa ajili
ya Mwenyezi Mungu? Wanafunzi wakasema: Sisi ni
wasaidizi wa Mwenyezi Mungu.” Quran ndio inampa heshima.

Unaposema wanafunzi wa Yesu walienda kutangaza Injil nje ya taifa la Wayahudi, hao watakuwa wafuasi wa Paulo c Yesu.

Yesu akisema Injil yake ni kwa kondoo wale wa Kiyahudi tu tena waliopotea.

Unapo sema hakuna bani Israel ni Muislam huobi kama unaota, we unajua nini mana ya Uislam?

Unapo sema Nabii Ibrahim ndio baba wa Waisrael dalili zako ziko wapi? Quran inasema Ibrahim hakuwa Myahudi wala Mkristo na hii hapa dalili, we nipe dali yako.

3.67. Abraham was not a Jew, nor a Christian; but he was one pure of faith and Muslim (who submitted to God with a sound heart). He was never of those who associate partners with God.
Print​
E-mail​

مَا كَانَ إِبْرَاهِيمُ يَهُودِيّاً وَلاَ نَصْرَانِيّاً وَلَكِن كَانَ حَنِيفاً مُّسْلِماً وَمَا كَانَ مِنَ الْمُشْرِكِينَ​
67. Abraham was not a Jew, nor a Christian; but he was one pure of faith and Muslim (who submitted to God with a sound heart). He was never of those who associate partners with God.13

Nikikuambia Paulo alikuwa ni mzinifu unabisha hebu pia hii link
Kwaheri haujibu maswali yangu ya msingi mpaka sasa yamefikia zaidi ya kumi.

Unaleta propagandas wakati huna ulijualo
 
Wasalimie Majibu yote nimekujibu c lazima ni quote kila swali na quote yake.

We ndio hujibu ma swali, we ndio wakusema swali lipi sikulijibu.

Nakuzidisha ya paulo kama alikuwa c mzinifu tu, na alikuwa muwaji pia, kama nilivyo sema kwanza, na hii hapa dalili fatilia link hii

Back
Top Bottom