Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 11,246
- 15,067
Unapo sema Saud Arabia kuna wakristo unaongelea walioenda kufanya kazi Saud ArabiaSaudi Arabia wakristo wapo lakini hawaruhusiwi kujenga majengo ya makanisa.
Wakristo wa Saudi Arabia wanaruhusiwa kufanya ibada ndani ya nyumba zao wanazoishi,kwa mujibu wa sharia.
Ukionekana unafanya kusanyiko la dini nyingine mbali ya uislamu unavunja sheria na unapata hukumu ya kwenda jela na kupigwa viboko
Nenda kasome vyanzo mbalimbali kuhusu dini ya kikristo na wakristo nchini Saudi Arabia
Wa Saudia hakuna mkristo wacha kutunga utombo usio na dalili.
Saud Arabia ni nchi ya kislam kuzuia makanisa ni sawa tu, mbona Vatican hakuna Masijid
Afu mimi nawashangaa wakristo wapi Yesu aliwambia ukristo ni dini? Leteni kitabu cha Mungu kinacho sema ukristo ni dini, kabla ya kuishambulia Saud Arabia.