Ulimwengu wa kiarabu: Je waraabu wanaipuuza dini?

Ulimwengu wa kiarabu: Je waraabu wanaipuuza dini?

Warabu waliostaarabika? Au walio potea na kupotezwa na dunia, yani cc tulio baki hatukustaarabika sio?

FYI wazungu kila kukicha wanataka kujua nini Uislam na wengi wanaingia kwenye Uislam, nyie bakini na BBC yenu hawaeezi kuwaonyesha clip kama hizi hata siku moja, hii clip haikuwa translate lakini inaonyesha vipi Wakristo wanavyo taka kufahamu Uislam in details, sababu wameona dini ya kikristo haina ukweli.

Hii ni movie kama ya Donnie Yen
 
Huu utafiti jana nime -usoma bbc na research yao imefanyika katika nchi kama 4 ..1wapo ikiwa ni Yemen na hiyo hiyo saudia Uliyo itaja so relax mkuu..

Waarabu baadhi wamesha shtuka kuwa waliingizwa chaka
Acha uongo huo utafiti uchwara haujafanyika saudia
Na hata kama hawana dini basi ni wapagani kwahyo hawajaingizwz chaka lolote lile
 
Mara tunaambiwa wakibadili wanauliwa mara tena tunaambiwa wanabadili sana dini,basi hata hatuelewi ukweli ni upi!!!
 
Usipotoshe maana ya shahada.
sio kumuamini mtume wake wa pekee Muhammad.
MITUME na manabii wakubwa katika uislam ni 25.
Na Muhammad ni wa mwisho.
Kila umma uliopita ulikuwa na shahada yao.
Sio mpaka wamtaje Muhammad ndo wawe WAISLAM. Ila ummati huu wa mwisho shahada yetu.
NI KUSEMA HAPANA MOLA APASAE KUABUDIWA KWA HAKI ISIPOKUWA MWENYEEZI MUNGU.
NA MUHAMMAD NI MJUMBE WAKE NA NI MTUME WAKE.
Hahahaha...Uislam ni kujisalimisha na kushuhudia kuwa kuna Mola mmoja Tu ambaye hajaumbwa wala kuzaliwa

Pia ni kumwamini mtume wake pekee ambaye ni Muhammad (S.A.W)

Huo ndio UISLAM

SWALI: Kama uislam ulianza enzi za Adam, Je wao walishuhudia kwa Mtume yupi ilihali Muhammad hakuwepo?

Jibu kinagaubaga
 
Usipotoshe maana ya shahada.
sio kumuamini mtume wake wa pekee Muhammad.
MITUME na manabii wakubwa katika uislam ni 25.
Na Muhammad ni wa mwisho.
Kila umma uliopita ulikuwa na shahada yao.
Sio mpaka wamtaje Muhammad ndo wawe WAISLAM. Ila ummati huu wa mwisho shahada yetu.
NI KUSEMA HAPANA MOLA APASAE KUABUDIWA KWA HAKI ISIPOKUWA MWENYEEZI MUNGU.
NA MUHAMMAD NI MJUMBE WAKE NA NI MTUME WAKE.
Hizo Ni propaganda umelishwa ila Ni za uongo ivi wewe unamwabudu MUNGU wa maka Anaitwa nani
 
Afu wanadhani kapaa na msalaba, wamesahau bibilia inawambia aliye tundikwa kwenye msalaba ana lana.

Hivi wazima hawa kweli.

mungu kafa kwa ajili yao, mungu kazaliwa na binadamu, mungu katundikwa kwenye msalaba, mungu kawekwa jela na shetani , yani utachoka afu wanasema wana akili.

Hata beberu anajua kuna Mungu na hafi wala hazaliwi na wao bado tu.
Mtume alilogwa na alikufa kwa kulogwa. Waarabu wanajiuliza mtume gani wa Mungu analogeka? Wameamua kuachana na mtume wa majini
 
Kama hujui Bora uulize kuliko kuandika uongo bila chembe ya Aibu.
Kwanza lzm uelewe kuwa UISLAMU sio UARABU wala SAUDI ARABIA.

Wewe kuutazama UISLAMU kwa kupitia Saudi Arabia au nchi yyt ni sawa na Kuutazama UKRISTO ktk Nchi ya VATICAN au ISRAEL.

Huko wamefunguliwa mashtaka VIONGOZI WA MAKANISA zaidi ya 270 wenye Kesi mbali mbali za UBAKAJI na ULAWITI wa WATOTO WADOGO.
Ushahidi [emoji116]

Sasa je! tuna haki ya Kusema UKRISTO unafundisha Hayo?

Leo ISRAEL ina Mashoga wa kiume Zaidi ya NUSU MILIONI. Na wanaonyesha HADHARANI Bila kificho.

Ushahidi [emoji116]

UKRISTO Ndio Unafunza USHOGA?

Sasa mwarabu akikataza mwanamke asiendeshe gari Vipi uhusishe na UISLAMU?
mwarabu akiamua kupigana Vipi uhusishe na UISLAMU?

Kwanza Una habari waarabu ni ASILIMIA 15% TU YA WAISLAMU DUNIANI?
ASILIMIA 85% YA WAISLAMU DUNIANI SIO WAARABU!!

La mwisho.
Unadai wanawake kwa waislamu ni sex object. Je! Unajua HAKUNA DINI ILIORUHUSU MWANAMKE KURITHI MALI YA MUME ISPOKUWA UISLAMU?
Nionyeshe imani yyt ingine Inayompa haki mwanamke KURITHI MALI YA MUME aliyefariki.

UISLAMU imeweka SURA KAMILI inayohusu HAKI ZA MWANAMKE ktk QURAAN .
Aya hio inaitwa (SURATU NISAA) maana yake (SURA YA WANAWAKE) na Abadan hakuna Aya inayoitwa ya WANAMME!!

INGIA KTK QURAAN Usome HAKI ZOTE ALIZOPEWA MWANAMKE ambazo ABADAN huwezi kuziona au kuzisoma ktk DINI YYT.

Ukiwa hujui ULIZA.
KUULIZA SIO UJINGA Bali Kujenga hoja bila elimu ni Ujinga uliopitiliza.
Mfale wa Saudi ndio anasay ya mwisho juu ya uislam. Leo akitangaza mkampige mawe shetani tanga mtaenda kwa maana yeye ndio mwenye dini yake. Saudi ndio anatoa nini kimeruhusiwa juu ya uislam na nini hakijaruhusiwa. Kwahiyo acha ujinga. Naashoga wengi ni waarabu kwasababu mtume aliwafundisha
 
Kizungu kigumu sana! Na inaonekana kuwa kigumu zaidi kinapowazidi hata watangazaji wa BBC Swahili! NOT TO BE RELIGIOUS sio KUTOKUWA NA DINI! Not to be religious ni kuishi bila kufuata misingi ya dini! Kwamba, wewe ni Mkristo lakini kanisani hutokei hadi Mkesha wa X-Mass! Wewe ni Mwislamu, lakini msikitini kwenda kwako ni Idd hadi Idd!! Huna muda na ibada wala shughuli za kidini! Au unakuta mtu anaenda msikitini si kwa sababu ya wito wa kiroho bali ni kutokana na mazoea tu (Hii ipo sana kwa Waarabu waishio Middle East na hata TZ sehemu kama Zanzibar au Mafia)! Inafika Ramdhani unafunga si kwa sababu za kiroho, bali ndo vile imeshazoeleka ikifika Ramdhani unafunga!! Unakuta matakwa ya kidini mtu hayamfungi kwenye maisha yake ya kawaida! Kwamba, yeye dini yake inaamini pombe haramu lakini ana baa!

Watu wa aina hiyo ndiyo wanaitwa NOT RELIGIOUS lakini sio kwamba hawana dini! Na majority ndo tupo hivyo, including myself! Kwa Wazungu ndo kabisa! Hata Wakristo wengi they're not religiou!!

Generally, tulioletewa dini na meli ndio tupo too religious kuliko kule ilikoanzia; iwe ni Ukristo au Uislamu!! Hadi wakati mwingine mtu unaweza kujiuliza hivi hawa jamaa sio wanajua haya mambo ni magumashi ndo maana wala hawana time nayo ukilinganishwa na sie tulioletewa!

Na ajabu ya haya mambo, hata sie tulioletewa dini kwa mashua tunafuata mkondo ule ule! Yaani leo Mohammed akibadili dini na kuwa Mkristo basi yeye ndo atajifanya anaujua sana Ukristo kuliko wale aliowakuta na hiyo dini! Mkristo akisilimu badi ndo atajifanya anaujua sana Uislamu kuliko wale walioishi kwenye Uislamu since Day 1!
 
Kwa sasa waarabu wengi wanabadili Sana dini juzi hapa nilikuwa naangalia wairan wanvyobatizwa hadi raha.
Kiukweli wanachuchuka wanajua walikuwa wanapigwa fix hakuna cha iman wala Mungu
Sasa kinachokushangaza ni nini hapo? Au ni mara ya kwanza kusikia watu wa-Iran wanaingia kwenye Ukristo? Kama ni mara yako ya kwanza, wasome PEW RESEAECH hapa:-
One striking difference between former Muslims and those who have always been Muslim is in the share who hail from Iran. Those who have left Islam are more likely to be immigrants from Iran (22%) than those who have not switched faiths (8%). The large number of Iranian American former Muslims is the result of a spike in immigration from Iran following the Iranian Revolution of 1978 and 1979 – which included many secular Iranians seeking political refuge from the new theocratic regime.
Na kama unaamini hao wametoka kwenye Uislamu na kuingia kwenye Ukristo kwa sababu hatimae wamejuwa kwamba walikuwa wanapigwa fix kwenye Uislamu, kuna wengine hawa hapa:
Among those who have converted to Islam, a majority come from a Christian background. In fact, about half of all converts to Islam (53%) identified as Protestant before converting; another 20% were Catholic. And roughly one-in-five (19%) volunteered that they had no religion before converting to Islam, while smaller shares switched from Orthodox Christianity, Buddhism, Judaism or some other religion.
Kwa wanaoifahamu Pew Research, wanaweza kupuuza utafiti wa BBC lakini sio wa Pew Research.
 
Mfale wa Saudi ndio anasay ya mwisho juu ya uislam. Leo akitangaza mkampige mawe shetani tanga mtaenda kwa maana yeye ndio mwenye dini yake. Saudi ndio anatoa nini kimeruhusiwa juu ya uislam na nini hakijaruhusiwa. Kwahiyo acha ujinga. Naashoga wengi ni waarabu kwasababu mtume aliwafundisha
Kawaida ya kuku mdogo huwa anapenda kuhara mbele za wakubwa. Hilo tumelizoea.

Mimi naandika vitu kwa ushahidi.
Ushoga umekuwa ni ibada kwenu.

Report from Guardian la Uingereza linasema
Ktk KILA WACHUNGAJI WATANO VATICAN basi WANNE MASHOGA.

.

Hii sijasema mimi wewe bata mdogo.
Wamesema makafiri wenzako wa Uingereza.
Bishana nao sasa uwaonyeshe kuwa viongozi wenu sio MBOGA.
 
Asilimia kubwa ni wale waliotoka nchi ya Kiarabu. Alafu hao Vatican ndio waanzilishi wa uislam uarabuni so inawezekana wale waliobase kwenye uislam wakawa mashoga. Inabidi kuwafatilia. Siunajua hadi ubakaji wa watoto chini ya miaka 9 walimfundisha Mudy. Wakuangaliwa sana hao
 
We bwabwaja.
Mimi nakuwekea data kamilifu.

Wanaolawiti watoto hawa hapa LIVE!
sio mipasho km hio unayoleta hapa.

Huu ndio UKRISTO wa Leo.
Ushoga, Uliberali na kulawiti watoto wachanga.
 
Kabirini kunakuongea? Kweli wewe umepagawa na majini uliyoyasilimisha
Tatizo lenu huwa hamfahamu Yesu aliwambia nini.

Wakristo wengi wana fikra mbaya kuhusu kifo, mnanadhani mtakwenda kutoka nchi ya maisha hadi nchi ya kufa.

Lakini ukweli kinyume na mnavyo dhania, ikiwa umemfahamu Yesu, amekusudia ni hivi unakwenda kutoka nchi ya kufa hadi nchi ya walio hai.

Kama unadhani kaburini hupigwi swali basi kasome ile point ya bibilia inasema hivi we Mauti ngumi yako iko wapi? Hapo anambiwa nani? Wewe au Aliye kufa.

Utajua maiti anaulizwa au haulizwi, si ngojea ufe utajionea.

Corinthians 15:55
Berean Study Bible
“Where, O death, is your victory? Where, O death, is your sting?”

😀 😂

Usisahau pitia ujumbe hu unaweza kukusaidia, kukutoa usingizini, usidhani Mungu kakuleta hapa kula na kulala tu, kakuleta hapa dunia kufanya mtihani ama ufauli au usifauli na matokea yananza pale kaburini, akifauli kaburini basi kwenye Mtihani wa mwisho unakuwa mwepesi kwako yani we ni wa peponi tu, ama ukifail pale kaburini basi kupita final inatabu sana
 
Mtume alilogwa na alikufa kwa kulogwa. Waarabu wanajiuliza mtume gani wa Mungu analogeka? Wameamua kuachana na mtume wa majini
Kabla hapo umewahi kukisikia kisa cha Mtume Ayoub? Kuna Mtume wa Mungu kapitia Mtihani aliye pitia Nabii Ayoub?

Kurogeka nini dogo mbona kitu cha kawaida? We unajua faida ya korokega au hujui? Kwanza aliye kuroga anachukua dhambi zako mpaa pale urudi kwenye hali ya kawaida.

Sa we unashangaa Mtume korogwa? Hujashangaa Yesu kutekwa na shetani 😬 😀 😂
 
Unaposema warabu wanasena kwenye BBC hawana dini, wanakusudia nini na dini ipi?

Hizo research zao wamefanya kwenye nchi za kiarabu ambazo kuna wakristo na Waislam.

Kwanini wasifanye hizo research nchi kama Saud Arabia, Kuwait, Qatar, Oman, na Baharain ? Ambao wakristo ni zero almost.

Isije kuwa BBC kaenda kwa wakristo au wayahudi kuwa hoji?

Hizo nchi walizo hoji wananchi wao, wako kiwestern western style isipo kuwa Yemen tu, na Yemen labda wamewahoji wale Wayahudi, lazima ujuwe Yemen bado wako wanaishi hao Wayahudi.

Tukirudi tena ujinga wa BBC kama wamekusudia uislam una mnyima mwanamke freedom! Wambie wanaota.

Hakuna dini inamtukuza mwanamke kama Uislam, leta dini gani inawatukuza na kuwaheshimu wanawake kama Uislam.

Research zingine huwa zimekaa kinafiki nafiki tu, kama wewe mtoa hii mada.
Dooh!!,Mbona unaongea kwa hasira sana mkuu?,Huo ni just utafiti tu,na sample ilikuwa watu 25k,Sasa kama hukubaliani na huo utafiti,Tulia fanya wako leta data hapa.Au achana nao,yaani upotezee tu.Plain and simple.Huna haja ya kutoka povu,utazeeka mapema mkuu...
 
Kwanza lazima ufahamu kitu uhuru haumaanishi uweze kuishi kwa tamaa ya moyo unavyo taka, au shetani anavyo taka.

Wewe akili yako unadhani kutazama mpira na kuwachia mwili wa mwanamke wazi, atembea na sketi, au atembea nusu uchi ndio kumtukuza mwanamke, basi we utakuwa hauko sawa kichwani.

Kumtukuza mwanamke ni kuishi kama anavyotaka Mungu, mtu asiyetii anacho taka Mungu, huyo hatukuzwi na binadamu, we akili yako Mwanamke Muislam akipita kajistiri na nguo haionyeshi mwili wake, na wafuasi wa paulo kinguo kimebana matako yake na supu za miguu ziko wazi nani anaheshimika?

Kama unautembeza mwili wako nusu uchi hio ndio heshima au freedom?

Nani anaye sema Mwanamke akizini na Mwanaume, anaye pigwa ni mwanamke? Hivi nani kakudanganya wewe mwanaume hafanywi kitu.

Tazama point nakupa namna Mwanamke wa kislam anavyo tukuzwa.

Huwezi kumsalimia mwanamke wa kislam kwa mkono kama c mkeo au dada yako au mama yako au mtoto wa kaka yako au dada yako, sababu mkono wake unathami kubwa sana haupaswi kuguswa na mwanaume yoyote.

Mwanamke wa kislam akiolewa ni lazima ahudumiwe na mme wake kila kitu, na akiwa anapesa kukusaidia ni ushauri wake yeye, tofauti na wengine nusu kwa nusu kila kitu.

Mwanamke wa kislam level ingine list ni nyingi sana unaweza kukesha hapa unasoma mpaa asubuhi.

We baki na akili za Paulo mwanamke akatazeme mpira na kupapaswa uwanjani na kila mtu 😁 😂😬
Kila mtu na imani yake na hata katiba inaruhusu na kila moja huridhika na imani yake. Shangaa wengine huabudu hata wanyama but who are you to judge, make hata wewe utahukumiwa.

Watu wengine wamekuwa watumwa wa sheria na wameacha sheria iwatawale wakati mwili huu ni wa kuozea makaburini huku roho zao zikiwa chafu ajabu.
 
Swali dogo sana kama kila Mtu anaimani yake wengine wanabudu wanyama? Sa nakuliza nini mana ya ibada?
 
Unaposema warabu wanasena kwenye BBC hawana dini, wanakusudia nini na dini ipi?

Hizo research zao wamefanya kwenye nchi za kiarabu ambazo kuna wakristo na Waislam.

Kwanini wasifanye hizo research nchi kama Saud Arabia, Kuwait, Qatar, Oman, na Baharain ? Ambao wakristo ni zero almost.

Isije kuwa BBC kaenda kwa wakristo au wayahudi kuwa hoji?

Hizo nchi walizo hoji wananchi wao, wako kiwestern western style isipo kuwa Yemen tu, na Yemen labda wamewahoji wale Wayahudi, lazima ujuwe Yemen bado wako wanaishi hao Wayahudi.

Tukirudi tena ujinga wa BBC kama wamekusudia uislam una mnyima mwanamke freedom! Wambie wanaota.

Hakuna dini inamtukuza mwanamke kama Uislam, leta dini gani inawatukuza na kuwaheshimu wanawake kama Uislam.

Research zingine huwa zimekaa kinafiki nafiki tu, kama wewe mtoa hii mada.
Saudi Arabia wakristo wapo lakini hawaruhusiwi kujenga majengo ya makanisa.
Wakristo wa Saudi Arabia wanaruhusiwa kufanya ibada ndani ya nyumba zao wanazoishi,kwa mujibu wa sharia.
Ukionekana unafanya kusanyiko la dini nyingine mbali ya uislamu unavunja sheria na unapata hukumu ya kwenda jela na kupigwa viboko

Nenda kasome vyanzo mbalimbali kuhusu dini ya kikristo na wakristo nchini Saudi Arabia
 
Back
Top Bottom