Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 11,246
- 15,067
dogo we unaiamini kweli bibilia?Biblia haimtambui muhamadi acha kutafuta ushahidi wa muhamadi ndani ya Biblia
Mtume Muhammad katajwa katika bibilia ya kale kumbukumbu 18:18 Natawainulia wao nabii kutoka katikati ya ndugu zao kama wewe ni msomi wa bibilia nadhani unafaham ndungu wa yahudi ni kinani, kwa ufupi ni Waarabu.
Nabii Musa kazaliwa na Baba na Mama na Muhammed hivyo hivyo, Musa kaowa na Muhammad pia, Musa kapigana vita na Muhammad kapigana vita pia, Musa kaamishwa na Muhammad kaamishwa. Huyo anaetajwa hapo si Yesu, Yesu hana hayo.
Musa kaacha ujumbe juu ya unabii wa Yesu na Muhammad lakini hakutaja jina la nabii yeyote bali alionyesha unabii kwa Milima mitatu.
Kumbukumbu:33:1-4 Mlima Sinai Unamaanisha Musa na Seiri Mlima huu uliitwa tena Mlima wamizaituni ndipo Yesu alipo pata Injili, na Parani ni Arabuni yaani Muhammed. Kama una mashaka ya kwamba parani si Warabuni nitakuonyesheni tena kama Parani ni Bara la Aurabuni.
Mwanzo:20:20- 22 yaani huyo ni Ismail, na ismail kakaa Nyika la Parani na akaolea hapo na yeye ndie Babu wa Waarabu wote Duniani.
Kuna swali lingine?
Wacha kwenda kanisani kuimba kwaya kama mlevi, ingia kwenye msitu wa bibilia uisome kwa kutumia akili.