Ulimwengu wa kiarabu: Je waraabu wanaipuuza dini?

Ulimwengu wa kiarabu: Je waraabu wanaipuuza dini?

Hahahahaha hadi raha naona harakati za kutetea kupata hururani 72


Naam, sio mabikira 72 tu huko peponi, wapo zaidi ya hao, je nyinyi huko mtapata nini???, au huko mtaishi kama mashoga maana humuwapendi mabikira 72.

Ni wivu wa kike unawasumbueni tu, kwanini na nyie msimuombe Bwana Mungu wenu awapeni kitu kizuri zaidi kuliko kuwa na husuda juu na neema watakazopewa wenzako!!.
 
Mkuu, Mungu yupo, lakini yakupasa ujue kwamba katika dunia kuna mambo ambayo ni lazima mwanadamu afanye na yapo mambo ambayo ni lazima Mungu afanye, mfano ili upate chakula ni lazima mwanadamu upande mazao na Mungu ni lazima alete mvua hapo ndipo mazao hupatikana.

Katika kujihami kuna mambo mawili ya kufuata, jambo la kwanza ni kulipiza na la pili ni kusamehe, kulipiza ni pale unapotaka kumrekebisha mtu kwa kumtendea jambo lile lile alilokutendea ili naye apate uchungu kama ule wa jambo alilokutendea, kusamehe kunakuja pale unapoona huyo jamaa labda aliteleza kwa bahati mbaya na amekiri kuteleza kwake.

Kwa hiyo nilichofanya sio kosa ila ni kile Mungu alichonijalia kufanya kuwarekebisha hao jamaa wajue unaposhambulia pia na wewe utashambuliwa, "and that's the law of reprocity.", na sisi tunafundishwa yote kwamba kisasi ni haki na kusamehe inafaa pale "PANAPOSTAHILI" ni suala la "common judgement tu".

Tunafanya hivi si katika kuwachukia hao ndugu zetu balill ni kuwatanabahisha ili wasipende kutoa lugha chafu kuwatusi watakatifu wa Mungu, ni sawa tu na mzazi anapompatia mwanaye dawa CHUNGU ili apone maradhi.
Binadamu hawezi mtetea Mungu kama yeye mwenyewe kashindwa kujitetea , kama yupo aje ajitetee mwenyewe sio nyie kutusiana hapa kwa maneno makali, ndio maana mnafikia hatua ya kuuana kwa kisingizio cha Mungu huyo huyo, Mungu gani amejificha wakati damu za watu zinamwagika , angalieni mtakwisha kwa ujinga
 
Naam, sio mabikira 72 tu huko peponi, wapo zaidi ya hao, je nyinyi huko mtapata nini???, au huko mtaishi kama mashoga maana humuwapendi mabikira 72.

Ni wivu wa kike unawasumbueni tu, kwanini na nyie msimuombe Bwana Mungu wenu awapeni kitu kizuri zaidi kuliko kuwa na husuda juu na neema watakazopewa wenzako!!.
Naamini utakuwa unalewa sana maana na gongo umeahidiwa Pia. Hahahahaha
Na Ungejua kuwa hata mud guy Pia alikuwa shoga
 
Naamini utakuwa unalewa sana maana na gongo umeahidiwa Pia. Hahahahaha
Na Ungejua kuwa hata mud guy Pia alikuwa shoga


Wewe Mwehu kweli!!, shoga huwa anaoa??!!, Mtume wetu alikuwa na wake 9 na akapata watoto, je huyo anaweza kuwa shoga??, huna hata aibu, Yesu alikuwa na wake wangapi??, 😁😁, sasa huyo tukimwita shoga utasemaje kwa mujibu wenu?? (Mimi najua Yesu alioa na alipata watoto).

"Kweli nyani haangalii kundule"

Toa kwanza boriti jichoni kwako ndipo uondie kibanzi jichoni kwa mwenzako.---- maneno ya Yesu hayo.
 
Kwa kwetu nguzo kuu ni upendo miongoni mwetu wana wa MUNGU na pia kwa wana wa Adam wenzetu. Natangaza kuwa Kila nilichokiandi si tusi bali ndo ukweli ulivyo, shida ni kuwa waislam hawakukuzoea kuambiwa ukweli (Hata mimi kabla nilikuwa hivyo). Hali hii itawatesa na watajikuta wakitukana sana
 
Mara nyingi sana utawasikia wakitusi na kuwaita Wakristo Ni makafiri na mara zote Wakristo tumekuwa wapole na kuishia kuwaombea kwa Mungu ili siku moja basi Yesu awakumbuke na kuwaokoa kama alivyoahidi na kutuokoa wengine wetu.
Ila kwa sasa tutakua tunayafunua moja baada ya jingine, siku hata siku kwa kadri tutakavyokuwa tunashirikishana jumbe mbalimbali za Mungu.
 
Na Wewe shoga mweusi umetoka wapi??---au kiherehere cha kutafuta wanaume ndiyo kilichokuleta kwangu??, nenda kwa Mapadri ndiyo wanaweza mchezo huo, fyuuuu!!.

Domo chafu kama kinyesi cha kitimoto,[emoji200][emoji200]
We Dada unamatusi
 
Naam, sio mabikira 72 tu huko peponi, wapo zaidi ya hao, je nyinyi huko mtapata nini???, au huko mtaishi kama mashoga maana humuwapendi mabikira 72.

Ni wivu wa kike unawasumbueni tu, kwanini na nyie msimuombe Bwana Mungu wenu awapeni kitu kizuri zaidi kuliko kuwa na husuda juu na neema watakazopewa wenzako!!.
Fikiria mamayako yeye atakuwa bikira wa nani?
 
Nimetaja wapi kama sio heshima mkuu au nimemvunjia wapi heshima?
yesu ni nani mbona una mtaja kama sio heshima ni kama muhamed s.a.w ambaye uwezi kumtaja kama unamtaja baba yako bila heshima wote hawa waheshimu kwa kuwa ndio wapo kwenye vitabu vyote viwili kutuletea hizi dini.
hakuna aliye bora wala zaidi ya mwenzake

dini tofauti,miungu tofauti lakini shetani ni mmoja
 
Fikiria mamayako yeye atakuwa bikira wa nani?


Atakuwa bikira wa baba yangu, kwa upande wenu je wewe mama yako atakuwa shoga wa kusagana, pia fikiria baba yako naye atakuwa shoga wa aina gani??.

Usifikirie upande mmoja tu, fikirieni na upande wenu pia, maana yake kwa imani yenu huko peponi mtaishi tu kama mashoga kama jinsi mnavyoishi hapa duniani.

Sisi tutaoana jinsi tunavyooana hapa duniani. Raha juu ya raha, hupendi😁😁??, kijuba cha roho kitakushika, wifi😁😁.
 
Mnavyotaka mnaona kuachiwa mwanamke kuvaa bikini, kurudi nyumbani mda anataotaka, kufanya kazi anayotaka nk ndio UHURU wa mwanamke sio??
Jamaa huwa siwaelewiii kabisaaa aiseee, mtu hata kuendesha tu Gari ni mtihaniii
 
Atakuwa bikira wa baba yangu, kwa upande wenu je wewe mama yako atakuwa shoga wa kusagana, pia fikiria baba yako naye atakuwa shoga wa aina gani??.

Usifikirie upande mmoja tu, fikirieni na upande wenu pia, maana yake kwa imani yenu huko peponi mtaishi tu kama mashoga kama jinsi mnavyoishi hapa duniani.

Sisi tutaoana jinsi tunavyooana hapa duniani. Raha juu ya raha, hupendi[emoji16][emoji16]??, kijuba cha roho kitakushika, wifi[emoji16][emoji16].
Sisi hatutumii Quran maana hakika quraan ni kitabu cha shetani na shetani hajawai kuwa mkweli. Sisi Tunaenda kuwa malaika.
 
... sasa unanilaumu mimi ndiye niliyefanya hiyo research? Mimi ni just copy and paste; kama huna imani na huo utafiti upuuze tu Mkuu; usikusumbue. By the way, waarabu (baadhi) kusema hawana dini inakuathiri vipi wewe?
Yeye ndo mdini. Utadhani kuwa yeye ndio mwarabu. Kaja na povu kubwaaaa.....yaani anamwabudu mwarabu km Mungu
 
Sisi hatutumii Quran maana hakika quraan ni kitabu cha shetani na shetani hajawai kuwa mkweli. Sisi Tunaenda kuwa malaika.


Mnaenda kuwa malaika??!!, wewe unajua nini kuhusu neno MALAIKA??,
Unaropoka tu bila elimu ya kutosha!;, nenda kajifunze kwanza ndipo uje hapa ulingoni, take care of the deep sea with strong currents.
 
Kwahiyo dini ya kiislam inamtukuza mwanamke, ama sijakuelewa vizuri?
Mi namshangaga mtu anayesema dini ya kiislam inamtukuza mwanamke...nadhani anakuwa anasikiliza hadithi zaidi kuliko kusoma vitabu vyao.
Mo anasema mwanamke ana akili ndogo sana na haaminiki so ushahidi wa mwanamke mmoja haukubaliki mpk wawe wawili.
Mo anasema haina shida kupiga mwanamke..( sijui inamtukuzaje hapo)
Aisha mwenyewe anasema mwanamke kwenye uislam anateseka sana.
Vitu kibao mwanamke haruhusiwi kwenye ulimwengu/nchi zinazoendeshwa kwa sheria za kiislam ambavyo mwanaume anaruhusiwa....
 
Back
Top Bottom