Ulimwengu wa kiarabu: Je waraabu wanaipuuza dini?

Ulimwengu wa kiarabu: Je waraabu wanaipuuza dini?

Hongera sana kaka
Kama hujui Bora uulize kuliko kuandika uongo bila chembe ya Aibu.
Kwanza lzm uelewe kuwa UISLAMU sio UARABU wala SAUDI ARABIA.

Wewe kuutazama UISLAMU kwa kupitia Saudi Arabia au nchi yyt ni sawa na Kuutazama UKRISTO ktk Nchi ya VATICAN au ISRAEL.

Huko wamefunguliwa mashtaka VIONGOZI WA MAKANISA zaidi ya 270 wenye Kesi mbali mbali za UBAKAJI na ULAWITI wa WATOTO WADOGO.
Ushahidi [emoji116]

Sasa je! tuna haki ya Kusema UKRISTO unafundisha Hayo?

Leo ISRAEL ina Mashoga wa kiume Zaidi ya NUSU MILIONI. Na wanaonyesha HADHARANI Bila kificho.

Ushahidi [emoji116]

UKRISTO Ndio Unafunza USHOGA?

Sasa mwarabu akikataza mwanamke asiendeshe gari Vipi uhusishe na UISLAMU?
mwarabu akiamua kupigana Vipi uhusishe na UISLAMU?

Kwanza Una habari waarabu ni ASILIMIA 15% TU YA WAISLAMU DUNIANI?
ASILIMIA 85% YA WAISLAMU DUNIANI SIO WAARABU!!

La mwisho.
Unadai wanawake kwa waislamu ni sex object. Je! Unajua HAKUNA DINI ILIORUHUSU MWANAMKE KURITHI MALI YA MUME ISPOKUWA UISLAMU?
Nionyeshe imani yyt ingine Inayompa haki mwanamke KURITHI MALI YA MUME aliyefariki.

UISLAMU imeweka SURA KAMILI inayohusu HAKI ZA MWANAMKE ktk QURAAN .
Aya hio inaitwa (SURATU NISAA) maana yake (SURA YA WANAWAKE) na Abadan hakuna Aya inayoitwa ya WANAMME!!

INGIA KTK QURAAN Usome HAKI ZOTE ALIZOPEWA MWANAMKE ambazo ABADAN huwezi kuziona au kuzisoma ktk DINI YYT.

Ukiwa hujui ULIZA.
KUULIZA SIO UJINGA Bali Kujenga hoja bila elimu ni Ujinga uliopitiliza.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mkuu nimecheka sana
Nipe andiko 1 tu kuwa YESU ALIKULA NGURUWE kama wewe na mimi nivae msalaba kilo 10 mninyweshe na kiroba Sunday. Na zile bolingo zenu pia ntacheza mpk mnikataze.
 
Hahaha Dah. .huu mnyukano ulinipita wapi?
Tulia wewee Kenge mwenye jinsia mbili. Wakati wa mwezi wenu mtukufu kitimoto kinadoda kichizi. Eti mwaka mzima ni ruhusa kutenda dhambi ispokuwa huo mwezi wenu mtukufu. Sasa hivi mmemuweka Dilemma na pabaya mnayemuabudu sijui aegemee wapi Iran Shia ama Saudi Arabia Suni?
 
Hayo maandiko hata wao wanayajua yamkini Hata kuliko wewe swali chokonozi ni kwa Nn wanauacha uislam??????
 
Rudi shule sababu bibilia iko wazi hapo.

Au kama kizungu hujui basi hapo sikulaumu.
Yesu kristo Ni jiwe lililo hai, Mwamba, Simba wa Yuda, Mchungaji, nabii, mtume, mwalimu mwinjilisti Nk.. Nk.. Yaani yote katika yote.
Mimi Pia ni jiwe lililo hai. Kwa Mujib wa hiyo aya uliyoitoa.
Mimi nakurudisha ktk mada waislamu huabudu jiwe jeusi Hilo si BWANA Yesu. Rejea torati 6:7-8. Wewe unaliabudu jiwe jeusi hiyo Ni laana njo kwa BWANA Yesu akuongoze acha ubishi.....
 
Hongera sana kaka
Kwa nn jiwe jeusi munaliabudu Lina umbile la uke?????
Screenshot_20190703-075727.jpg
 
waislamu huabudu jiwe jeusi

Huo ni uongo na uzushi kwamba waislamu huabudu "jiwe jeusi".

Waislamu wameamrishwa kumuabudu Allah pekee na fundisho hili linapatikana katika Qur'an, na katika ibada zote za waislamu dua zinazoombwa zinamtaja Allah pekee na siyo "jiwe jeusi", mfano mmojawapo ni pale waislamu wanaposwali ambapo katika hatua moja kwenda hatua nyingine hutamkwa maneno "ALLAH AKBAR" yaani Allah ni mkubwa nk.

Katika historia ya waarabu kabla ya kuja kwa Mtume Muhammad (saw) waarabu wengi SIO WOTE walikuwa wanaabudu masanamu ya kuchongwa kwa mawe yaani walichukua mawe na kuyachonga katika maumbile waliyotaka na kisha kuyaabudu, mawe ambayo yaliyokuwa hayachukuliwi ni ya aina hiyo ya mawe meusi ambayo yalikuwa ni magumu mno kuweza kuchongwa, sasa yakatokea makundi matatu ya waarabu, la kwanza ni wale waliowengi walioabudu masanamu ya kuchonga na la pili ni wale walio wachache wasioabudu masanamu ya kuchonga bali walioabudu mungu mmoja na ili kuwatofautisha kati yao ikawa kwamba mbele ya nyumba zao ikawa wale wanaoabudu masanamu wakawa wanaweka mawe ya kawaida yaliyochongwa au yasiyochongwa na wale wachache ambao walikuwa wakiabudu mungu mmoja wakawa wakiweka mawe meusi mbele ya nyumba zao kama ishara ya kuamini mungu mmoja na lile kundi la tatu ambao hawakuwa na imani yoyote wao hawakuweka chochote mbele ya nyumba zao.

Jiwe jeusi ni miongoni mwa mawe mengi meusi yaliyoanguka kutoka mbinguni ( the showered meteor) "vimondo" na ndiyo maana ni meusi na magumu sana kuchongeka--- kama unajua sayansi kidogo ni kwamba miamba inaposafiri kuingia duniani kutoka anga za mbali huwa inaingia katika anga ya dunia kwa kasi kubwa mno na hii ni kutokana na uvutano wa dunia, kwa kadi hiyo husababisha msuguano kati ya hewa yetu (atmosphere) na hiyo miamba na kazalisha joto linalotosha kuwasha hiyo miamba kama kaa la moto na inapokita ardhini hupoa na kubaki na weusi wake na ugumu, soma kimondo cha mbozi huko mbeya nk.

Ni vipande hivyo vya vimondo ndivyo Nabii Ibrahimu na Ismael (as) walivitumia kujengea Al kabba, kifupi ni kwamba Waislamu hatuabudu jiwe jeusi isipokuwa jiwe jeusi ni ishara ya kuamini Mungu mmoja, Mungu wa Mbinguni, Mungu aliyeshusha jiwe jeusi kutoka mbinguni, jiwe hilo ni ishara ya umoja wa Mungu ambao tumefundishwa na Mtume wetu Muhammad (saw).

Wakristo huvaa misalaba na hata baadhi ya makanisa kule mbele kuna misalaba imewekwa, je tuseme na wao wanaiabudu misalaba?? au tuseme misalaba ni ISHARA ya kumbukumbu na kuthamini mateso ya bwana wao aliyekufa msalabani kwa ajili yao??, akili ya kawaida itasema tu ni ishara ya kumbukumbu, kutambua na kuthamini kujitoa kwake kwa ajili ya kukomboa dhambi za watu. (Ingawa mimi binafsi siamini jambo hilo).

👆🏻Ni katika msingi huo huo ndipo waislamu hulichukulia jiwe jeusi kama ISHARA ya kuwepo kwa Mungu mmoja asiye na mshirika na wala siyo kwamba jiwe jeusi linaabudiwa na hakuna mahali popote Mtukufu Mtume Muhammad (saw) aliliabudu hilo jiwe na hakuna mahala popote waislamu ametuambia tuliabudu jiwe jeusi, kama kuna mahali hapo na utuonyeshe.!!!😁😁
 
Huo ni uongo na uzushi kwamba waislamu huabudu "jiwe jeusi".

Waislamu wameamrishwa kumuabudu Allah pekee na fundisho hili linapatikana katika Qur'an, na katika ibada zote za waislamu dua zinazoombwa zinamtaja Allah pekee na siyo "jiwe jeusi", mfano mmojawapo ni pale waislamu wanaposwali ambapo katika hatua moja kwenda hatua nyingine hutamkwa maneno "ALLAH AKBAR" yaani Allah ni mkubwa nk.

Katika historia ya waarabu kabla ya kuja kwa Mtume Muhammad (saw) waarabu wengi SIO WOTE walikuwa wanaabudu masanamu ya kuchongwa kwa mawe yaani walichukua mawe na kuyachonga katika maumbile waliyotaka na kisha kuyaabudu, mawe ambayo yaliyokuwa hayachukuliwi ni ya aina hiyo ya mawe meusi ambayo yalikuwa ni magumu mno kuweza kuchongwa, sasa yakatokea makundi matatu ya waarabu, la kwanza ni wale waliowengi walioabudu masanamu ya kuchonga na la pili ni wale walio wachache wasioabudu masanamu ya kuchonga bali walioabudu mungu mmoja na ili kuwatofautisha kati yao ikawa kwamba mbele ya nyumba zao ikawa wale wanaoabudu masanamu wakawa wanaweka mawe ya kawaida yaliyochongwa au yasiyochongwa na wale wachache ambao walikuwa wakiabudu mungu mmoja wakawa wakiweka mawe meusi mbele ya nyumba zao kama ishara ya kuamini mungu mmoja na lile kundi la tatu ambao hawakuwa na imani yoyote wao hawakuweka chochote mbele ya nyumba zao.

Jiwe jeusi ni miongoni mwa mawe mengi meusi yaliyoanguka kutoka mbinguni ( the showered meteor) "vimondo" na ndiyo maana ni meusi na magumu sana kuchongeka--- kama unajua sayansi kidogo ni kwamba miamba inaposafiri kuingia duniani kutoka anga za mbali huwa inaingia katika anga ya dunia kwa kasi kubwa mno na hii ni kutokana na uvutano wa dunia, kwa kadi hiyo husababisha msuguano kati ya hewa yetu (atmosphere) na hiyo miamba na kazalisha joto linalotosha kuwasha hiyo miamba kama kaa la moto na inapokita ardhini hupoa na kubaki na weusi wake na ugumu, soma kimondo cha mbozi huko mbeya nk.

Ni vipande hivyo vya vimondo ndivyo Nabii Ibrahimu na Ismael (as) walivitumia kujengea Al kabba, kifupi ni kwamba Waislamu hatuabudu jiwe jeusi isipokuwa jiwe jeusi ni ishara ya kuamini Mungu mmoja, Mungu wa Mbinguni, Mungu aliyeshusha jiwe jeusi kutoka mbinguni, jiwe hilo ni ishara ya umoja wa Mungu ambao tumefundishwa na Mtume wetu Muhammad (saw).

Wakristo huvaa misalaba na hata baadhi ya makanisa kule mbele kuna misalaba imewekwa, je tuseme na wao wanaiabudu misalaba?? au tuseme misalaba ni ISHARA ya kumbukumbu na kuthamini mateso ya bwana wao aliyekufa msalabani kwa ajili yao??, akili ya kawaida itasema tu ni ishara ya kumbukumbu, kutambua na kuthamini kujitoa kwake kwa ajili ya kukomboa dhambi za watu. (Ingawa mimi binafsi siamini jambo hilo).

[emoji1312]Ni katika msingi huo huo ndipo waislamu hulichukulia jiwe jeusi kama ISHARA ya kuwepo kwa Mungu mmoja asiye na mshirika na wala siyo kwamba jiwe jeusi linaabudiwa na hakuna mahali popote Mtukufu Mtume Muhammad (saw) aliliabudu hilo jiwe na hakuna mahala popote waislamu ametuambia tuliabudu jiwe jeusi, kama kuna mahali hapo na utuonyeshe.!!![emoji16][emoji16]
Vema, umejitahidi kufafanua ingawa bado nitaendelea kukuhoji,
Kwa mfano wako huo kwa nn musilotukuze jiwe la mbozi?
Kwa nn misikiti yote hulielekea jiwe jeusi na si vinginevyo?
Katika Kitabu cha vibri hiji (sina uhakika na speling) kuanzia ukurasa wa 16-21 kinatoa maelekezo sahihi juu ya hija tena zikiwa mmevaa lubega Muhamadi aliliambia jiwe jeusi neno "Mungu wangu " na kulibusu mara tatu, wewe unakanusha vipi kuwa hamuliabudu na kulisujudu?
He unajua kwa nn liilishuka ikiwa jeupe na baadae kubadilika kuwa jeusi??
MUNGU Mwenyezi Anasema Usijifanyie jiwe au kitu chochote ndani ya ardhi au toka angani (kimondo) na ukakiabudu?
 
Na unajua kwa nn jiwe jeusi Lina umbile la uke?????

Kuwa muazi ukweli utakuweka huru BWANA Yesu alituambia kila kitu kilichofanywa siri basi tukiweke hadharani, yaliyofundisha ktk siri yatupasa kuyahubiri juu ya Paa...
 
Pia ukiristo ni dini ya mtu binafsi, zamani ilikua kuna dini ya Kiislam na uyahudi, ilikua hakuna dini ya Kristo, Kristo imekuja juzijuzi baada ya Yesu kupaa

yesu ni nani mbona una mtaja kama sio heshima ni kama muhamed s.a.w ambaye uwezi kumtaja kama unamtaja baba yako bila heshima wote hawa waheshimu kwa kuwa ndio wapo kwenye vitabu vyote viwili kutuletea hizi dini.
hakuna aliye bora wala zaidi ya mwenzake

dini tofauti,miungu tofauti lakini shetani ni mmoja
 
Warabu waliostaarabika? Au walio potea na kupotezwa na dunia, yani cc tulio baki hatukustaarabika sio?

FYI wazungu kila kukicha wanataka kujua nini Uislam na wengi wanaingia kwenye Uislam, nyie bakini na BBC yenu hawaeezi kuwaonyesha clip kama hizi hata siku moja, hii clip haikuwa translate lakini inaonyesha vipi Wakristo wanavyo taka kufahamu Uislam in details, sababu wameona dini ya kikristo haina ukweli.

ndugu yangu wala usikasirike wala kubabaika hii ndio dunia iliyopo leo, mabadiliko yanaenda kwa kasi ya mwanga. misukosuko si katika uislam tu hata ukristo una changamoto nyingi kwa leo, mambo yaliyokuwa miiko na haramu kabisa leo yanapata baraka makanisani mfano ndoa za jinsia moja, mapadri wanataka waruhusiwe kuoa n.k. kwa hiyo hilo la utafiti wa bbc wala usifikiri ni uongo pacee. angalia leo nick minaj ataangusha shooo la nguvu saudia!!!!!!. dunia inabadilika ndugu yangu yakubali tu mabadiliko vinginevyo yatakuadhibu
 
Vema, umejitahidi kufafanua ingawa bado nitaendelea kukuhoji,
Kwa mfano wako huo kwa nn musilotukuze jiwe la mbozi?
Kwa nn misikiti yote hulielekea jiwe jeusi na si vinginevyo?
Katika Kitabu cha vibri hiji (sina uhakika na speling) kuanzia ukurasa wa 16-21 kinatoa maelekezo sahihi juu ya hija tena zikiwa mmevaa lubega Muhamadi aliliambia jiwe jeusi neno "Mungu wangu " na kulibusu mara tatu, wewe unakanusha vipi kuwa hamuliabudu na kulisujudu?
He unajua kwa nn liilishuka ikiwa jeupe na baadae kubadilika kuwa jeusi??
MUNGU Mwenyezi Anasema Usijifanyie jiwe au kitu chochote ndani ya ardhi au toka angani (kimondo) na ukakiabudu?

Ndugu yangu kama ungesoma kwa makini maelezo yangu bila shaka usingaliuliza hayo maswali, lakini nitakujibu kwa kadiri ya uwezo alionijalia Allah mtukufu.

1) unauliza kwanini tusilitukuze jiwe la mbozi, Jibu ni kwamba hatukuambiwa na Allah pamoja na mtume (saw) tulitukuze hilo jiwe.

2) kwanini misikiti yote huelekea jiwe jeusi na si vinginevyo, jibu lake ni kwamba waislamu hatuelekei jiwe jeusi bali huelekea al kaba na hii ni alama ya umoja wetu katika kufanya ibada ya kumuabudu Allah.

3) Unauliza kwamba kwa mtume (saw) Kubusu jiwe jeusi mara tatu ni sio kuabudu na kulisujudia hilo jiwe???, jibu ni kwamba kubusu ni kitendo tofauti na kusujudu na kuabudu, hivi mtu akimbusu mpendwa wake hapo inakuwa kamuabudu au kamsujudia??!😁

Mimi nilikuambia kwamba jiwe jeusi ni ishara ya umoja wa Allah na sio zaidi ya hapo, jiwe litabaki kuwa jiwe na ishara itabaki kuwa ishara.

Kipindi cha ukhalifa wa Seydna Umar (ra) alipokuwa anazunguka kaaba alibusu hilo jiwe na akasema; "wewe ni jiwe tu ninakubusu kwa sababu mpendwa wangu alifanya hivyo"--- maneno hayo yanaashiria kuwa lile lilikuwa ni jiwe tu kama mawe mengine isipokuwa lipo pale kuashiria umoja wa Allah.

Maana ya ishara:- Ishara ni kitu au jambo linaloashiria juu kuwepo kwa jambo fulani. Mfano mtoto anapozaliwa ishara ya kwanza kwamba yupo hai ni lazima alie, asipolia basi huyo huwa ni mfu, sasa hapo tofautisha ishara ya kulia na kutolia dhidhi uhai na kifo-- ni mambo tofauti yanayohusiana na ndivyo ilivyo kwa jiwe jeusi ambalo ni ISHARA ya umoja wa Mungu.

Wakristo hutoa ishara ya msalaba vifuani mwao, (kwa jina la baba na la mwana na la roho mtakatifu), je ishara hiyo maana yake wanasujudia na wanaabudu MSALABA??
 
Kwa Nn lipo Kaaba?
Je hilo jiwe jeusi asili yake Ni wapi?
No vipi ilitokea na kuwa jeusi?

Kwa Nn Lina umbile la uke?
 
Wewe dhamira na akili yako unapenda maumbile ya kike, ndiyo maana kila kitu unaona ni maumbile ya kike.
Kama hujui Sema sijui ili usaidiwe acha kujitutumua.
Unajua mtume wako alijamiana na Wanawake wangapi????????????
So far usitafute kunijua mimi kuliko kumjua mtume wako kwanza
 
Kama hujui Sema sijui ili usaidiwe acha kujitutumua.
Unajua mtume wako alijamiana na Wanawake wangapi????????????
So far usitafute kunijua mimi kuliko kumjua mtume wako kwanza

Wewe domo lako ni chafu kama choo cha stendi umezoea kutukana watakatifu kama wale MASHOGA wanaomtukana Bwana Yesu kwa kunukuu maneno yake kutoka katika Injili na wanasema kuwa yeye ndiye aliyefundisha USHOGA na ndiyo maana leo tunashuhudia MASHOGA wengi ni kutoka huko Ulaya, sasa wewe usiwe na tabia za hao mashoga kutukana watakatifu ama sivyo laana itakushika.
 
Hivyo vitisho ndivyo vinavyokufanya uogope kutafuta njia ya kweli na uzima, fanya maamuzi MUNGU Ni mwema atakulinda tu.

Uturuki Ni nchi ya kiislamu ebu jionee hao mashoga
Screenshot_20190702-120829.jpg
 
Nikuambie kitu kuna tofauti ya uislamu na uarab najua hilo unalijua ila tatizo unaendeshwa na chuki ulizo pandikizwa ukiwa mdogo......kuna watu wamechangia vizuri mpaka na video wamepost pitia ujue dini ya uislamu imezungumza nn kuhusu mwanamke na tofautisha quran na katiba au sheria za nchi
Uislam unamtukuza mwanamke kivipi wakati ktk nchi zingine hawaruhusiwi hata kutizama mechi ya mpira wala hata kuendesha gari hadi majuzi tu wameruhusiwa nchini Saudi Arabia.

Mwanamke akikutwa anazini ni yeye ndio anauwawa kwa kupigwa mawe huku mwanamume akiachwa asepe.

Ktk nchi nyingi zenye waislamu wengi wanawake hubaguliwa sana kwenye ajira na wengi wa wanaoajiriwa ni wanaume huku mwanamke akifanywa kukaa ndani tu kama mfungwa. Ktk uislam mwanamke ni "Sex Object" tu.
 
Back
Top Bottom